Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mahakama yamsubiri mteule wa Mwakyembe

kipandeNa Masyaga Matinyi, Dar es Salaam

KAIMU Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA, Mhandisi Madeni Kipande, aliyesimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi dhidi ya tuhuma mbalimbali zilizoainishwa na Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta, imebainika kuwa anakabiliwa na mashtaka mengine ya ubadhirifu na rushwa.
Kwa mujibu wa vyanzo vya habari vya uhakika kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Kipande alipaswa kupandishwa kizimbani tangu 2010, lakini haijajulikana sababu...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

MAHAKAMA YAAMURU RAIS MTEULE WA BURUNDI AAPISHWE HARAKA


Mrithi wa NkurunzinzaHaki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionJenerali Ndiyashimiye kuapishwa kabla ya Agosti.Mahakama ya kikatiba ya Burundi imeamua kuwa rais mteule Meja Jenerali mstaafu Evariste Ndayishimiye aapishwe urais mara moja na hakutakuwa na rais wa mpito.Toka kutangazwa kifo cha Nkurunziza mapema wiki hii kumekuwa na ombwe la uongozi nchini humo.Katiba ya nchi hiyo inaeleza kuwa spika wa bunge atatakiwa kuchukua nafasi hiyo kwa mpito pale rais anapofariki. Hata hivyo Spika Pascal Nyabenda...

 

9 years ago

Mwananchi

Mahakama yatupa pingamizi la ubunge dhidi ya Dk Mwakyembe

Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya, imetupilia mbali shauri la kesi ya kupinga matokeo yaliyompa ushindi wa ubunge wa Kyela, Dk Harrison Mwakyembe(CCM).

 

9 years ago

Michuzi

MAHAKAMA YA MAFISADI NA WAHUJUMU UCHUMI INAFANYIWA KAZI- DK.MWAKYEMBE

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii.WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk.Harrison Mwakyembe amesema kuwa suala la kuanzisha mahakama ya mafisadi na wahujumu uchumi wanafanyia kazi na muda sio mrefu watatoa taarifa juu ya hatua walizofikia. 
Dk.Mwakyembe ameyasema hayo leo wakati alipotembelea Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP),amesema kuwa suala mahakama linafanyiwa kazi kwa karibu na ofisi yake kutokana na ahadi ya Rais Dk.John Pombe Magufuli wakati wa kampeni. 
Mwakyembe amesema kuwa watu...

 

9 years ago

Michuzi

SUALA LA MAHAKAMA YA MAFISADI NA WAHUJUMU UCHUMI LINAFANYIWA KAZI - DKT. MWAKYEMBE

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dkt.Harrison Mwakyembe amesema kuwa suala la kuanzisha mahakama ya mafisadi na wahujumu uchumi linafanyiwa kazi na kwamba muda sio mrefu ujao taarifa juu ya hatua zilizofikiwa itatangazwa. Dkt.Mwakyembe ameyasema hayo leo wakati alipotembelea Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP), na kutanabahishwa kwamba suala la mahakama hiyo linafanyiwa kazi kwa karibu na ofisi yake kutokana na ahadi ya Rais Dk.John Pombe Magufuli wakati...

 

9 years ago

StarTV

 Mahakama Kuu yamfutia kesi Dk. Mwakyembe kuhusu Kesi Za Kupinga Matokeo

Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imeitupilia mbali kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi iliyofunguliwa na aliyekuwa Mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, kwenye uchaguzi mkuu uliopita, Abraham Mwanyamaki, dhidi ya Mbunge wa Kyela na Waziri wa Katiba na Sheria, Dokta Harrison Mwakyembe.

Mahakama imefikia hatua hiyo baada ya Mwanyamaki kushindwa kulipa ada ya gharama za uendeshaji wa kesi hiyo shilingi Milioni Tatu katika muda wa Siku 14 uliowekwa kisheria.

Baada ya uchaguzi mkuu...

 

10 years ago

Mwananchi

Ngasa atimkia Sauzi, Yanga yamsubiri

Mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngasa amelizua jipya baada ya kubainika kuikimbia timu hiyo na kwenda Afrika Kusini kufanya majaribio katika klabu moja ya huko.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mapokezi makubwa yamsubiri Mbowe Geita

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, anasubiriwa kwa hamu na wakazi wa mkoa huu kwa mujibu wa ratiba yake ya mikutano ya Januari 27, mwaka huu...

 

5 years ago

Michuzi

MAHAKAMA KUU KANDA DARESALAAM YATOA HUKUMU KWA MAHAKAMA MTANDAO

Na Innocent Kansha- Mahakama  Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam jana ilitoa hukumu tatu kwa  njia ya Mahakama Mtandao maarufu kama “Video Conference” kwa kushirikiana na Magereza ya Keko na Segerea Jijini Dar es salaam, huku ikiahirisha mashauri mawili. Mashauri matano ya mauaji yalisikilizwa mbele ya Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam, Mhe. Lameck Mlacha kwa kutumika njia hiyo. Kati ya mashauri hayo matatu yalisikilizwa na kutolewa hukumu,  kwa...

 

5 years ago

Michuzi

MTENDAJI MKUU WA MAHAKAMA YA TANZANIA AKIKAGUA UJENZI WA MAHAKAMA JUMUISHI

 Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Bw. Mathias Kabunduguru ( aliyenyoosha mkono) akikagua  leo ujenzi wa  jengo la Mahakama Jumuishi  la Utoaji Haki (IJC) lililopo eneo la Kihonda Wilaya ya Morogoro. Jengo hilo linajumuisha Mahakama Kuu,  Mahakama ya Hakimu Mkazi na Mahakama ya Wilaya zikiwemo ofisi za wadau wote wa Mahakama. Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Bw. Mathias Kabunduguru (wa pili kulia) akizungumza leo na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Loatha Sanare kuhusu ziara ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani