Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mahakama yamwamuru Gwajima kuthibitisha kama kweli anaumwa

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemwamuru Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima awasilishe Mahakamani hapo vyeti vinavyoonesha kuwa  ni mgonjwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Young Killer atoa ufafanuzi kuhusu kama kweli amejiunga rasmi Mtu Chee, na kama ana beef na Young Dee baada ya kum-unfollow Instagram

Wiki iliyopita mmoja wa waanzilishi wa kundi la Mtu Chee, Country Boy alisema kuwa Young Dee amejiengua kwenye kundi hilo na nafasi yake imechukuliwa na Young Killer. Wiki hii kuna cover imeanza kusambazwa ya ngoma mpya ya Mtu Chee ambayo kweli wanaonekana Country Boy, Stamina na Young Killer. Bongo5 imemtafuta Young Killer kutaka kufahamu kuhusu […]

 

10 years ago

GPL

GWAJIMA ASHITAKIWA MAHAKAMA YA KISUTU DAR

Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, akiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. HATIMAYE Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, ameshitakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa makosa mawili ya kutoa lugha ya matusi na uzembe wa kuhifadhi silaha yake.
Askofu Gwajima ameshitakiwa pamoja na wenzake watatu, waliotajwa mahakamani hapo kuwa ni Yekonia Behanaze, Jofrey Andrew na...

 

10 years ago

GPL

GWAJIMA MBARONI, APELEKWA MAHAKAMA YA KISUTU DAR

Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Mchungaji Josephat Gwajima amekamatwa na Jeshi la Polisi na kwa sasa yupo Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam. Habari zaidi pamoja na picha kuhusu taarifa hizi zitawajia hivi…

 

10 years ago

GPL

GWAJIMA APATA DHAMANA MAHAKAMA YA KISUTU, DAR

Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima leo amepata dhamana Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar atarudi mahakamani hapo Mei 4, 2015. Josephat Gwajima ameshitakiwa kwa makosa mawili kutoa lugha ya matusi na kushindwa kutunza slaha. (Habari: Deogratius Mongela/GPL)

 

10 years ago

Vijimambo

ASKOFU GWAJIMA AFIKISHWA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU JIJINI DAR ES SALAAM

 Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima akiwa ameshikana mkono na mshtakiwa mwenzake askofu msaidizi, Yekamia Behagaza wakati wakitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo, walipofikishwa mahakamani hapo kwa kosa la kutoa lugha za matusi na kukutwa na silaha kinyume cha sheria.(Picha na Francis Dande wa Habari Mseto Blog) Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima akiwa ameshikana mkono na mshtakiwa mwenzake askofu msaidizi,...

 

10 years ago

Vijimambo

KAMA KWELI BASI KILA LA KHELI SAMATTA

Mshambuliaji Mbwana Samatta.Na Mwandishi Wa:GPL
HUU utakuwa ni mwaka wa neema kwa mshambuliaji Mbwana Samatta wa TP Mazembe kwa kuwa timu nne za Ulaya zimeonyesha nia ya kumchukua.Habari za uhakika zimelifikia gazeti hili kuwa, timu nne kati ya hizo ambazo ni kutoka katika nchi za Ufaransa na Italia, zimeonyesha nia ya kufanya kazi na mshambuliaji huyo Mtanzania.
“Kweli tunayajua majina ya timu nne, kumekuwa na mawasiliano kupitia meneja wake Tanzania pamoja na uongozi wa TP Mazembe,”...

 

10 years ago

Mwananchi

NEC ijipambanue kama mtoa haki wa kweli

Hakuna anayeweza kubisha kwamba Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), sasa inakabiliwa na wakati mgumu pengine kuliko wakati mwingine wowote katika kipindi cha miaka 38 ya uhai wake.

 

10 years ago

GPL

KAMA KWELI UNAMPENDA UNAKUBALIJE KUMUACHA KIRAHISI?

Ninachotaka kukizungumzia leo ni kuhusu watu kuachana katika mazingira ambayo wengi wasingetarajia. Zipo ndoa ambazo zimefungwa kwa mbwembwe sana lakini hazikudumu na ukiuliza utaambiwa chanzo ni mambo madogomadogo tena ya kuvumilika. Yapo ambayo kiukweli hayavumiliki kabisa. Kuna sababu ambazo ukitajiwa kuwa ndizo zilizosababisha  flani na flani kuachana, utasema hata ingekuwa wewe usingeweza kuvumilia lakini kuna nyingine...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani