Mahakimu 20 wafutwa Ghana kwa sababu ya rushwa
Mamlaka ya mahakama nchini Ghana imewafuta kazi mahakimu 20 ambao wamehusishwa na sakata la kupokea rushwa.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo18 Jul
Trafiki 27 wafutwa kazi kwa rushwa
ASKARI 27 wa Kikosi cha Polisi cha Usalama Barabarani wamefukuzwa kazi ndani ya kipindi cha miezi sita kutokana na kujihusisha na makosa ya rushwa.
9 years ago
BBCSwahili10 Sep
Majaji 34 Ghana kuhojiwa kwa kula rushwa
9 years ago
BBCSwahili26 Dec
Wakuu wakamatwa kwa sababu ya rushwa Serbia
11 years ago
Habarileo06 May
JK atangaza neema kwa mahakimu, majaji
SERIKALI inatarajiwa kuajiri mahakimu wapya zaidi ya 300 katika mwaka ujao wa fedha 2014/ 2015 na mwaka unaofuata wa 2015 /2016, itaajiri mahakimu wengine 300.
10 years ago
Habarileo16 Aug
'Mahakimu acheni ubabe'
JAJI Kiongozi, Shaaban Lila amewataka mahakimu nchini kuacha kutumia ubabe na lugha za ukali wakati wanasikiliza na kutoa uamuzi katika mashauri mbalimbali mahakamani.
10 years ago
Vijimambo06 Feb
GHANA 3-0 EQUATORIAL GUINEA AFCON 2015 GHANA KUCHEZA NA IVORY COAST FINAL JUMAPILI.
![](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2015/02/05/255F825900000578-2941812-Ghana_players_celebrate_in_front_of_coach_Avram_Grant_en_route_t-a-58_1423173831453.jpg)
![](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2015/02/05/255FE1F400000578-2941812-PLayers_wait_on_the_pitch_as_a_helicopter_tries_to_control_an_ag-a-59_1423173831469.jpg)
![](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2015/02/05/255FDBF800000578-2941812-Ghana_players_are_shielded_by_riot_police_after_being_pelted_by_-a-60_1423173831479.jpg)
11 years ago
Mwananchi11 Jan
Majaji, Mahakimu wawekwa kikaangoni
11 years ago
Habarileo07 Mar
Mahakimu wa wilaya kununuliwa magari
IDARA ya Mahakama Tanzania inatarajia kununua magari kwa Mahakimu wa Wilaya nchini. Lengo la hatua hiyo ni kuboresha utendaji wa kazi za mahakama wanazozisimamia, zikiwemo za Mahakama za Mwanzo.
11 years ago
Habarileo12 Feb
Maslahi ya mahakimu, majaji kuboreshwa
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imeahidi kuboresha maslahi ya majaji na mahakimu. Aidha, imetaka wawe waadilifu na wasimamie haki katika kazi zao ili wananchi wajenge matumaini kwao.