Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAHARI YA WOLPER MILIONI 25

Demu mkali wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper ‘Jack’. AMEPIGWA?! Mahari ya demu mkali wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper ‘Jack’ inawezekana ikawa ndiyo ya kiwango cha juu kwa mastaa wa Bongo waliowahi kuolewa kwa utaratibu unaojulikana kihalali. Chanzo chetu cha kuaminika kimesema na Amani kwamba, familia ya Wolper inataka mahari ya shilingi milioni 25 ikiwa ni ‘zawadi’ kwa wazazi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Vanessa Mdee na Jacqueline Wolper nao wafikisha followers milioni moja Instagram

wolvee

Vanessa Mdee na Jacqueline Wolper wana kila sababu ya kuwashukuru mashabiki wao kwa kuwawezesha kufikisha wafuasi milioni moja kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram.

wolvee

Hadi sasa Vanessa ana followers 1,011,699 huku Wolper akiwa na followers 1,030,784.

“Mashabiki ni mtaji, wasanii tunafanya kazi kwa ajili ya watu ndiyo maana nimefurahi kufikisha idadi hii ya mshabiki milioni moja kwenye Instagram, ni ishara nzuri kuwa kazi zangu zinakubalika,” alisema Vanessa.

vee n wolper insta

Vee Money na Jacqueline...

 

11 years ago

GPL

MAHARI YA LULU LAKI 8

Na Mwandishi Wetu
Imevuja kuwa mwanaume atakayetaka kumuoa staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ atalazimika kutoa si chini ya shilingi laki nane (800,000) kama mahari ili kumuoa mwigizaji huyo. Elizabeth Michael ‘Lulu’. Kwa mujibu wa chanzo makini cha gazeti hili, wanaume wengi wamekuwa wakimendea kufunga ndoa na Lulu lakini wakashindwa njia za kumpata. Ilidaiwa kuwa kikwazo kikubwa...

 

11 years ago

Habarileo

Sakata la mahari msibani

BAADA ya vuta nikuvute iliyosababisha uhasama mkubwa baina ya familia mbili mjini hapa wakigombea kuuzika mwili wa mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu, hatimaye familia ya baba mzazi wa marehemu imekubali ‘yaishe “ na kuruhusu familia ya mama mzazi kumzika mtoto huyo.

 

10 years ago

Bongo Movies

Wolper Alia na Wolper “FEKI” Kwa Kuwachuna Watu Kwa Kutumia Jina Lake!!

"Jacq fake huyu anaomba pesa sana na kajisajili Jacq Massawe na na mie jina langu ni Jacq Wolper Massawe so kuweni makini  na kama mkiweza nisaidieni kumwambia chochote kwani inaniweka pabaya sana mimi kiukweli naweza kujakutana na mtu akanikaba kwakumchuna bila mafanikio hahahha aichekeshi ila huo ndo ukweli kwamba ananitafutia matatizo huyu binadam naukimpigia nisaut i yangu kabisa na ananijua kuliko navyojijua yani kila napoenda anajua.

Huyu jamani anaomba sana pesa tigo pesa na whatsap...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mahari ni mzigo kwa wanaume?

Mahari ya kiwanja yaleta maafa, bwana harusi aamua kuwatoa uhai familia yake na wakweze kwa kukataa kumlipia mahari hiyo.

 

10 years ago

GPL

PENNY: MAHARI YANGU NI JUZUU, MSAHAFU

Jina la Penny limo katika orodha ya mastaa waliowahi kuwa na uhusiano na msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’. Jina lake kamili ni Penniel Mwingilwa. Huyu ni Mtangazaji wa Radio Efm ya jijini Dar. Mtangazaji wa Radio Efm ya jijini Dar Penniel Mwingilwa. Wiki hii yuko hapa kujibu maswali ambayo waandishi wetu Imelda Mtema na Hamida Hassan walimuweka mtu kati.Ijumaa: Mambo Penny, naona sasa hivi una gari...

 

10 years ago

BBCSwahili

Utamaduni wa kurejesha mahari marufuku Uganda

Mahakama ya juu zaidi nchini Uganda imesema kuwa utamaduni wa kurejesha mahari baada ya talaka unakiuka katiba.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mahari yapigwa marufuku Tororo Uganda

Wilaya ya Tororo imepiga marufuku utoaji wa Mahari ikisema inadhalilisha mwanamke

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani