Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mahari ni mzigo kwa wanaume?

Mahari ya kiwanja yaleta maafa, bwana harusi aamua kuwatoa uhai familia yake na wakweze kwa kukataa kumlipia mahari hiyo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Wazazi msipokee mahari kwa ajili ya watoto wenu walioko shule

Wazazi na walezi wilayani Mafia wametakiwa kutokubali kupokea mahari za watoto wao wakiwa wanafunzi bali wawasimamie na kuhakikisha wanasoma kwa bidii na kufika elimu ya chuo kikuu.
Rai hiyo imetolewa jana na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akiongea na wanafunzi pamoja na wazazi wa shule ya Sekondari Bweni iliyopo kata ya Kanga wilaya ya Mafia mkoani Pwani.Mama Kikwete ambaye ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) alisema baadhi ya wazazi wanapokea mahari za watoto wao...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Ni Bajeti mzigo kwa wavujajasho’

>Wasomi wameichambua Bajeti ya mwaka 2014/15 na kusema kuwa kwa kiasi kikubwa inategemea wafadhili na imeendelea kumbana mvuja jasho na kuwanufaisha wanasiasa

 

11 years ago

BBCSwahili

Wakimbizi wa Syria, mzigo kwa Lebanon

Idadi ya wakimbizi waliotoroka Syria na kukimbilia Lebanon imeongezeka na kufika watu milioni moja. Lebanon inasema huu ni mzigo mkubwa

 

10 years ago

Bongo Movies

Damwani: Mzigo Mpya Kutoka Kwa Riyama

Tukiwa ndio tuanaunza mwaka huu wa 2015, tegemea kazi mpya kutoka kwa mwigizaji mahili kabisa wa filamu hapa nchini,  Riyama Ally ambae kwa sasa yupo katika hatua za mwisho kuikamilisha kazi hiyo.

Filamu itakwenda kwa jina la DAMWANI ambayo itakua inahusu maswala ambayo yapo kwenye jamii yetu kwenye maisha yetu ya kila siku, filamu hii imejumuisha waigizaji wakongwe na wachanga na wageni kwenye tasnia hii ya filamu hapo bongo.

Akionekana mbele ya kamera,Riyama akiwa na mwigizaji mwenzie...

 

9 years ago

Mwananchi

Waongoza watalii watua mzigo kwa JPM

Chama cha Waongoza Watalii Tanzania (TTGA) kimemuomba Rais John Pombe Magufuli kuingilia kati na kutatua migogoro baina yao na wamiliki wa kampuni za utalii ya kudai maslahi, baada ya baadhi ya tume kushindwa kuipatia ufumbuzi.

 

9 years ago

Mwananchi

Mwanyamaki wa Chadema atua mzigo kwa Mwakyembe

Aliyekuwa mgombea ubunge Jimbo la Kyela, Abraham Mwanyamaki (Chadema), amesema hatima ya kulipa ama kutolipa gharama alizoamriwa na Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya baada ya kushindwa kuendelea na kesi yake ya kupinga matokeo ya uchaguzi huo iko mikononi mwa Dk Harrison Mwakyembe.

 

11 years ago

Mwananchi

Vizuizi, mizani mzigo mkubwa kwa wafanyabiashara

Biashara katika ukanda wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) inaendelea kukumbwa na vikwazo katika miundombinu na kusababisha wafanyabiashara kuingia gharama kubwa za kusafirisha bidhaa mbalimbali.

 

11 years ago

Mwananchi

Obama ni mzigo kwa wagombea ubunge wa Democratic

Licha ya kwamba Rais Barack Obama bado ana miaka miwili zaidi kukamilisha awamu yake ya pili na ya mwisho kama Rais wa Marekani hata hivyo, mwezi ujao, Novemba 4, kutafanyika uchaguzi wa mabaraza yote mawili ya Bunge la nchi hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Uhaba wa dawa, vifaa tiba mzigo kwa Serikali

Suala la uhaba wa dawa na vifaa tiba katika hospitali nchini ikiwamo Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, limeonekana kuielemea Wizara ya Afya baada ya Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid kuthibitisha, huku akidai kuwa Serikali itapeleka fedha kwa awamu Bohari ya Kuu ya Dawa ili kupunguza uhaba huo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani