Waongoza watalii watua mzigo kwa JPM
Chama cha Waongoza Watalii Tanzania (TTGA) kimemuomba Rais John Pombe Magufuli kuingilia kati na kutatua migogoro baina yao na wamiliki wa kampuni za utalii ya kudai maslahi, baada ya baadhi ya tume kushindwa kuipatia ufumbuzi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
VYAMA VYA WAONGOZA WATALII NA WAPAGAZI TANZANIA WATOA SIKU 30 KWA SERIKALI KUSHUGHULIKIA MADAI YAO.






11 years ago
Mwananchi16 May
Waongoza watalii wamlilia RC Gama
10 years ago
Uhuru Newspaper13 Nov
Mgimwa awapa darasa waongoza watalii
NA JAMES LANKA, MOSHI
NAIBU Waziri wa Maliasili na Utaliii, Mahmoud Mgimwa, amewataka waongoza watalii kuhakikisha wanapewa mikataba halali ya kazi na wamiliki wa kampuni wanayofanyakazi ili kuepuka kunyonywa haki zao.
Mgimwa alitoa rai katika mkutano mkuu wa mwaka wa Chama cha Waongoza Watalii Mlima Kilimanjaro (KGA), kilichofanyika juzi mjini hapa.
Mwenyekiti wa chama hicho, Respicius Baitwa, alimueleza naibu waziri kuwa, pamoja na ugumu wa kazi yao, baadhi ya wamiliki wa kampuni za utalii...
9 years ago
Mwananchi25 Dec
Mishahara ya wapagazi, waongoza watalii yapanda
10 years ago
Tanzania Daima14 Nov
Waziri Mgimwa ataka waongoza watalii wawe na mikataba halali
NAIBU Waziri wa Maliasili na Utaliii, Mahmoud Mgimwa, amewataka waongoza watalii hapa nchini kuhakikisha kuwa wana mikataba halali ya kazi na wamiliki wa kampuni wanayofanyia kazi ili kuepuka kunyonywa haki...
11 years ago
Habarileo26 Feb
Wasichana wa kifugaji waongoza kwa ufaulu
WASICHANA wa jamii ya kifugaji wa wilayani Mbulu mkoani Manyara, wameongoza ufaulu wa masomo ya Sayansi kwenye mtihani wa Kidato cha Nne hadi kusababisha shule ya sekondari ya Chief Sarwatt, kushika nafasi ya kwanza wilayani humo.
10 years ago
Mtanzania04 Mar
Dewji, Rostam waongoza kwa utajiri Tanzania
Mwandishi Wetu na Mashirika ya Habari
MFANYABIASHARA Mohammed Dewji pamoja na Mbunge wa zamani wa Igunga, Rostam Aziz, ndio matajiri zaidi Tanzania.
Kwa mujibu wa orodha mpya ya mabilionea ya mwaka 2015 iliyotolewa na mtandao wa Forbes, Dewji ameshika nafasi ya kwanza nchini akiwa mbele ya Rostam.
Awali nafasi ya kwanza kwa Tanzania ilikuwa ikishikiliwa na mfanyabiashara Rostam.
Dewji (39), mfanyabiashara ambaye pia ni mbunge wa Singida Mjini kupitia CCM, anatajwa na Forbes kuwa na utajiri...
5 years ago
CCM BlogGAMBO ATOA ONYO KWA WAONGOZA UTALII ARUSHA
Tamko hilo kali limekuja baada ya Gambo kutembelea eneo hilo na kujionea uharibifu wa barabara uliofanywa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini.
“Ni marufuku kwa mtu yoyote kusambaza taarifa yoyote kuhusu hifadhi...
5 years ago
MichuziMRISHO GAMBO ATOA ANYO KWA WAONGOZA UTALII JIJINI ARUSHA
Tamko hilo kali limekuja baada ya Gambo kutembelea eneo hilo na kujionea uharibifu wa barabara uliofanywa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini.
“Ni marufuku kwa mtu yoyote kusambaza taarifa yoyote kuhusu hifadhi...