MAHINDI YAMEIBEBA DUNIA-2

Mahindi ya njano MWAKA 1974 nchi yetu ilipatwa na janga kubwa la njaa lililotokea baada ya ukame kuikumba nchi. Hayati Mwalimu Nyerere alikwenda kuomba msaada wa chakula nchini Marekani ambako Rais wa wakati huo Hayati John F. Kennedy alimpa msaada wa mahindi yenye rangi ya njano. Ilikuwa kasheshe kuzoea kula ugali wa rangi ya njano na wenye sukari kiasi. Wengi waliupa unga huo jina la ‘unga wa yanga’ bila kujua...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi10 Jul
Tanzania kuuza mahindi Kenya tani 50,000 za mahindi
11 years ago
Tanzania Daima11 Oct
Wakulima wa mahindi waandamana
WAKULIMA wa mahindi wilayani hapa, Mkoa wa Mbeya wameandamana hadi ofisi ya Mkuu wa Wilaya ili kujua hatma ya ununuzi wa mahindi yao. Wakizungumza na Tanzania Daima, wakulima hao walisema...
10 years ago
Habarileo11 Jun
RC asema chakula si mahindi tu
MKUU wa Mkoa wa Singida, Dk Parseko Kone amekataa taarifa za halmashauri za wilaya na Manispaa mkoani humo kuwa na upungufu wa chakula, akidai takwimu hizo ni za kupika.
11 years ago
Habarileo31 Oct
Gunia la mahindi Sh. 12,000/-
WAKULIMA na wavuvi wa mjini Sumbawanga wameendelea kusota kutokana na kushuka kwa bei ya mahindi na samaki wabichi wanaovuliwa katika Ziwa Tanganyika wilayani Kalambo kwa kukosa soko la uhakika.
11 years ago
Tanzania Daima29 Aug
Utata ununuzi wa mahindi Nkasi
HOFU imetanda kwa wakulima wa zao la mahindi Wilaya ya Nkasi, Rukwa kutokana na Mkuu wa wilaya hiyo (DC), Iddy Kimanta, kudai wamekuwa wakipeleka mahindi mabovu na machafu kwenye kituo...
11 years ago
Mwananchi27 Aug
Wafanyabiashara ‘stop’ kuuza mahindi
10 years ago
Mwananchi14 Nov
NFRA kununua mahindi Gairo
10 years ago
TheCitizen08 Nov
MAHINDI: Volunteer doctors from abroad okay, but...
11 years ago
Tanzania Daima03 Aug
Ugonjwa wa mahindi, mihogo watishia
MAGONJWA ya mazao ya mahindi na mihogo yaliyoikumba Wilaya ya Tarime, Mkoa wa Mara yanatishia uwepo wa njaa. Tishio hilo linatokana na baadhi ya wakulima kuanza kung’oa mazao hayo na...