Mahmoud achukua fomu kwa mikogo Z’bar
Mgombea wa CCM katika Jimbo la Kiembesamaki, Mahmoud Thabit Kombo jana amechukua fomu ya kuwa mwakilishi na kuwa mgombea wa tatu huku akisifu demokrasia ya chama hicho kwamba ni adilifu na shirikishi kuliko vyama vingine vya siasa nchini.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://2.bp.blogspot.com/-L3XM2EMGpmY/VcDBaC04m2I/AAAAAAAAxTI/pv7JtdcMuo4/s640/DSC_0002.jpg)
DK. MAGUFULI ACHUKUA FOMU KWA KISHINDO, AIWASILISHA KWA RAIS KIKWETE KUTHIBITISHA
11 years ago
Mwananchi15 Feb
Mgimwa achukua fomu za Ubunge kwa mbwembwe
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-ZTv0sPEsuqY/Vafq5pC_K6I/AAAAAAAAHoY/Fzsuqcp8vXs/s72-c/IMG-20150716-WA0051.jpg)
MANGE KIMAMBI ACHUKUA FOMU NA KUKAMATWA KWA 'CYBERBULLYING'
![](http://2.bp.blogspot.com/-ZTv0sPEsuqY/Vafq5pC_K6I/AAAAAAAAHoY/Fzsuqcp8vXs/s640/IMG-20150716-WA0051.jpg)
Mange alipokwenda kuchukua fomu ya Ubunge wa Kinondoni kabla ya Kukamatwa na Kupelekwa Rumande na Anasubiri Kufikishwa Mahakamani wakati wowote kuanzia kesho
![](http://3.bp.blogspot.com/-fKBV-Vn7Yys/Vafq5rp3UHI/AAAAAAAAHoU/1a4Z-WXaY3o/s640/IMG-20150716-WA0052.jpg)
10 years ago
Mwananchi02 Aug
Mtikila achukua fomu ya urais kwa shingo upande
10 years ago
Dewji Blog21 Jul
JUST IN: Saed Kubenea achukua fomu ya kuwania ubunge kwa tiketi ya Chadema jimbo la Ubungo
Mwanahabari mkongwe Saed Kubenea (pichani) achukua fomu kuomba ridhaa ya kuwania ubunge kupitia Chadema jimbo la Ubungo.
Saed Kubenea ni mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Hali Halisi Publishers Ltd., inayochapisha magazeti ya MwanaHALISI; MSETO; MwanaHALISI Online na MwanaHALISI Forum na ndiye mmiliki wa kampuni hiyo.
10 years ago
Dewji Blog16 Jul
Mwigulu achukua fomu ya Ubunge na kutoa vitisho kwa wagombea wa nafasi hiyo Iramba
Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akiwa katika usafiri wa bodaboda akiingia kwenye ofisi ya CCM Wilaya ya Iramba ikiwa ni moja ya staili ya kuwaomba kura wapiga kura wa jimbo la Iramba.
Mwigulu Nchemba akiwasili Ofisi za chama cha Mapinduzi Wilaya ya Iramba,Mamia ya Wananchi walijumuika naye kumsindikiza ili awezekuchukua Fomu hiyo na hatimaye kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi kuwa Mgombea Ubunge Wilaya ya Iramba.
Mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM akisaini kitabu cha mahudhurio baada...
9 years ago
Dewji Blog24 Aug
Mgana Msindai achukua fomu ya kugombea ubunge jimbo ya Singida mjini kwa tiketi ya CHADEMA
Aliyekuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida na Mwenyekiti wa wenyeviti CCM mikoa ya Tanzania, Mgana Izumbe Msindai, akikabidhiwa fomu na msimamizi wa uchaguzi halmashauri ya manispaa ya Singida, Joseph Mchina ya kugombea ubunge jimbo la Singida mjini kupitia tiketi ya CHADEMA.(Picha na Nathaniel Limu).
9 years ago
VijimamboMGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR KWA TIKETI YA CHAMA CHA ADC, MH. HAMAD RASHID ACHUKUA FOMU ZEC