Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mahojiano na Omar Ally Mwenyekiti wa Zanzibar Diaspora Association

Sikiliza kwa makini Mahojiano na Omar Ally, Mwenyekiti wa Zanzibar Diaspora Association, akiongelea njia nzuri kuhusu  maendeleo ya kuinua wana ZADIA pamoja na Zanzibar kwa ujumla.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAKONGWE WA DANSI PROFESA ABBU OMAR NA FRESH JUMBE WAMPA SHAVU ALLY CHOKI NCHINI JAPAN

Imeripotiwa na Hiroshi Takeuchi Tokyo,Japan, 
Wanamuziki wa kongwe wa muziki wadansi Abbu Omar Njenga aka Abbu Omar na Fresh Jumbe Mkuu wenye ngome yao nchini Japan,siku ya jumamosi 21 Machi 2015 walitia fora kwa kushiriki jukwaani na kumpa baraka zote mwanamuziki Ally Choki katika onyesho lililofanyika katika ukumbi wa Sonudai-Kanagawa Prefecture, Sagamihara City,Tokyo, Japan. 
Wakongwe hao waliobobea katika muziki kwa maiaka mingi Abbu Omar Njenga mpiga gitaa au mpini na mtunzi aliyewahi...

 

10 years ago

Vijimambo

Mahojiano na Zahir Ally Zorro kuhusu kifo cha mwanamuziki BanzaStone

Photo Credits: Bongo5.comKatika kipindi cha MISHUMAA YA KALE (bofya hapa kukifuatilia) cha Julai 17, 2015, tulipata fursa ya kipekee kuzungumza na msanii mkongwe wa muziki wa dansi nchini Tanzania, Zahir Ally Zorro, kuzungumzia kuhusu maisha na kifo cha msanii mwenzake Ramadhan Masanja, maarufu kama BanzaStone
Msikilize

 

10 years ago

Vijimambo

JAJI MKU WA ZANZIBAR MHE. OMAR OTHMAN MAKUNGU, AZINDUA MAHAKAMA YA BIASHARA ZANZIBAR. MAY 18.

JAJI mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu akitoa hutuba wakati wa uzinduzi wa Mahakama ya biashara huko Mahakama kuu Vunga Zanzibar. WASHIRIKI wa uzinduzi huo wakimsikiliza jaji mkuu.WASHIRIKI wa uzinduzi huo wakimsikiliza jaji mkuu.JAJI mkuu akikata utepe kuzindua mahakama ya biashara. Jaji Mkuu akifuahia jambo na Washiriki.Picha ya pamoja

 

11 years ago

Michuzi

Eric Ng'imaryo mwenyekiti mpya Tanzania Horticultural Association (TAHA)

 Mwenyekiti mpya wa TAHA, Bw. Eric Ng'imaryo, akizungumza mara baada ya kuchaguliwa kushika wadhifa huo.    Na Mwandishi Wetu TAASISI inayoshughulika na kilimo cha maua na mboga mboga nchini (Tanzania Horticultural Association -TAHA) imemteua Bw. Eric Ng'imaryo kama Mwenyekiti wake mpya kuchukua nafasi iliyoaachwa wazi na Bw. Colman Ngalo, ambaye ameiendesha taasisi hiyo kwa mafanikio kwa takribani miaka kumi ya utawala wake. Sambamba na uteuzi huo pia Bw. Ng'imaryo. Pia taasisi hiyo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Usikose kuperuzi modewjiblog katika mahojiano maalum na Mwanasheria mwenye ‘Albinism’ Dk. Ally Possi

DSC_0391

Mwanasheria mwenye Albinism Dk. Ally Possi akiwa ndani ya ofisi za modewjiblog.

Na modewji blog team

“JAMII  yenye ushirikina ndio yenye kuamini suala la mauaji ya watu wenye ulemavu wa  ngozi ambao wana alibinisimu, hivyo ilikuondoa imani hii potofu ni kutoa elimu katika maeneo yote na kuwalinda popote pale, Jambo hili ni jukumu letu sote” anaeleza Dk. Ally Possi.

Hata hivyo alibainisha kuwa, licha ya kuwapo kwa vitendo hivyo vya kikatili vikiwemo vya mauaji dhidi ya watu wenye ulemavu wa...

 

10 years ago

Michuzi

Mhe. Omar Mjenga akutana na Mwenyekiti wa Shirika la Nyumba la Serikali ya Dubai (NAKHEEL) Bwa. Rashid Lootah.

Balozi Mdogo wa Tanzania- Dubai, mhe. Omar Mjenga, leo amemtembelea na kufanya mazungumzo na Bw. Rashid Lootah, Mwenyekiti wa Nakheel, Shirika la Nyumba la Serikali ya Dubai.
Katika mazungumzo yao, wamezungumzia ziara ya Mwenyekiti huyo pamoja na ujumbe wake kuitembelea Tanzania, itakayofanyika kuanzi tarehe 16-20 Septemba, ambako anatarajia pamoja na kuonana na baadhi viongozi wa Serikali, watafanya mazungumzo na Shirika la Nyumba la Taifa(NHC) yatakayowezesha kusainiwa makubaliano ya...

 

11 years ago

Michuzi

Rais wa Zanzibar Dk.Shein akutana na Diaspora wa Zanzibar Ikulu

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Wazanzibari wanaoishi   nchi za nje (Diaspora)  wakati alipowaalika katika chakula maalum leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar (kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Baadhi ya Wazanzibari wanaoishi nje ya Nchi (Diaspora)wakiwa katika chakula walichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein leo katika viwanja vya Ikulu Mjini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani