Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mahusiano mgodi wa Barrack, jamii yaimarika

MAHUSINO baina ya Kampuni ya African Barrick Gold Mines Ltd inayomiliki mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu wilayani Kahama uliokuwa umetetereka na kuzua migogoro na jamii inayozunguka mgodi yanazidi kuimarika kutokana...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

MGODI WA BUZWAGI WAZINDUA LIGI YA MAHUSIANO-KAHAMA.

Baadhi ya Maafisa kutoka Mgodi wa Buzwagi wakifatilia mashindano hayo wakati wa ufunguzi, kutoka kushoto ni Bwana, Jamal Rwambol, (Security Operations Section Leader), George Mkanza-(Sustainability Manager), Amos John – (Commercial Manager and Acting Mine General Manager), Bahati Mwambene-Community relations section Leader na Magesa Magesa-(Stakeholder engagement & communications officer) Bwana Jamal Rwambol Security Operations Section Leader wa mgodi wa Dhahabu wa Buzwagi akizungumza wakati...

 

10 years ago

Michuzi

M/KITI WA KAMATI YA MAHUSIANO YA JAMII UVCCM JUMA MHINA AZINDUA BARAZA LA WAZAZI KAWE

 Mwenyekiti wa kamati ya mahusiano ya jamii UVCCM Dar es Salaam kamanda mstaafu wilaya ya Kinondoni Wakili Juma Mhina(PIJEI) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa baraza la wazazi wa jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam wimshoni mwa juma. Kushoto ni Mjumbe wa Halmashauri kuu jimbo la kawe Ramadhan Ndanga (POTIPOTI). Mwenyekiti wa kamati ya mahusiano ya jamii UVCCM Dar es Salaam kamanda mstaafu wilaya ya Kinondoni Wakili Juma Mhina(PIJEI)wakiteta jambo katika mkutano wa...

 

10 years ago

Michuzi

TIMU YA MAJAJI KWA AJILI YA KUMTAFUTA MSHINDI WA TUZO YA RAIS YA HUDUMA ZA JAMII NA UWEZESHAJI YATEMBELEA MGODI WA NORTH MARA

 Meneja Mahusiano wa  Mgodi wa North Mara Bi Fatuma Mssumi (mbele) akielezea shughuli za mgodi wa North Mara mbele ya jopo la majaji waliotembelea mgodi huo ili kuendelea na zoezi lake la  kumtafuta  mshindi wa Tuzo ya Rais ya Huduma za Jamii na Uwezeshaji.

 Afisa Mahusiano wa Mgodi wa North Mara Bw. Zakayo Kalebo (wa tatu kutoka kushoto) akielezea mchango wa mgodi wa North Mara katika ujenzi wa nyumba za  wauguzi wa zahanati ya Matongo (zinazoonekana nyuma)  mbele ya timu ya  majaji  na...

 

10 years ago

Michuzi

JOPO LA MAJAJI KWA AJILI YA KUMTAFUTA MSHINDI WA TUZO YA RAIS YA HUDUMA ZA JAMII NA UWEZESHAJI LAFANYA ZIARA KATIKA MGODI WA GEITA GOLD MINE

Mgodi wa dhahabu wa Geita Gold Mine uliopo mkoani Geita. Mgodi huu ni moja ya makampuni yanayowania tuzo ya Rais ya Huduma za Jamii na Uwezeshaji. Mshauri wa Mkurugenzi Mtendaji wa Geita Gold Mine katika masuala ya serikali na jamii Bw. Clement Msalangi (mbele kwa mbali) akielezea mafanikio ya mgodi wa Geita Gold Mine katika utoaji wa huduma bora kwa jamii na uwezeshaji kwa timu ya majaji na sektretarieti iliyofanya ziara katika mgodi huo. Meneja Mahusiano ya Jamii Bw. Manase Ndoloma...

 

10 years ago

Mwananchi

Shilingi yaimarika sokoni

>Siku mbili baada ya shilingi ya Tanzania kuanza kuimarika dhidi ya Dola, Waziri wa Fedha na Uchumi, Saada Mkuya amezitaja mbinu zilizochukuliwa ili kuiimarisha ikiwa ni pamoja na kuzuia uhamishwaji wa fedha kutoka benki moja kwenda nyingine kitaalamu ‘swapping.’

 

11 years ago

Mwananchi

Afya ya Marsh yaimarika

Hali ya afya ya aliyekuwa Kocha Msaidizi wa Taifa Stars, Sylvester Marsh ambaye amelazwa katika Hospitali ya Ocean Road jijini Dar es Salaam imeelezwa kwamba imezidi kuimarika na sasa ameanza kula mwenyewe.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Afya ya Mbowe yaimarika

AFYA ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, imeimarika na tayari ameruhusiwa kutoka hospitalini.

Mbowe alilazwa Muhimbili baada ya afya yake kutetereka wakati akitoka kumsindikiza mgombea urais wa chama hicho, Edward Lowassa, kuchukua fomu ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) mwanzoni mwa wiki hii.

Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Ofisa Habari wa Chadema, Tumaini Makene, alisema Mbowe yupo nyumbani kwake kwa sasa kwa mapumziko...

 

11 years ago

BBCSwahili

Hali ya Schumacher yaimarika

Madaktari wa bingwa wa zamani wa mbio za magari ya langa langa, Michael Schumacher, wamesema hali yake imeimarika kiasi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani