Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAITI YA ‘MTOTO WA BOSKI’ YAGOMBANIWA

Stori: Dastan Shekidele, Morogoro
MVUTANO mkubwa umeibuka juu ya wapi azikwe marehemu Nasra Mvungi, mtoto aliyeishi ndani ya boksi kwa miaka minne baada ya kufariki dunia hivi karibuni katika Hospitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam. Mwili wa mtoto Nasra Mvungi ukishushwa kwenye gari ndani ya Uwanja wa Jamhuri Morogoro kuagwa. Habari zilizopatikana mjini hapa, zinasema kuwa mzozo umeibuka kwa ndugu wa marehemu Nasra ambapo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WAZAZI WASUSA MAITI YA MTOTO WAO

Haijakaa sawa! Tofauti na desturi ya Kitanzania watu kuwa pamoja katika kipindi cha matatizo, wazazi wa marehemu, Leonard Jorome Mwakanyamale, wanadaiwa kususa kuzika maiti ya mtoto wao kisa ugomvi kati ya marehemu na nduguze. Kijana Leonard Jorome Mwakanyamale,enzi za uhai wake Leonard ambaye alikuwa akiishi Buguruni jijini Dar, alifariki dunia Mei 10, mwaka huu kwa Ugonjwa wa Malaria.Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa jirani...

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanaswa kwa kula maiti ya mtoto

Polisi nchini Pakistan wamenasa jamaa moja na wanamsaka mwenzake baada ya maiti kupatikana imekatwa

 

11 years ago

GPL

AKAMATWA KWA KULA MAITI YA MTOTO PAKISTAN

Tamaa ya mchuzi wa nyama ya binadamu yatongea kaka wawili. Ni visa mbavyo wengi tulivisikia katika hadithi za kale, watu kuliwa na majitu, lakini katika siku za karibuni tumeshuhudia watu wakila viungo vya wenzao Jamhuri ya Afrika ya Kati katika jazba ya kulipiza kisasi dhidi ya watu waliowadhulumu katika uongozi uliong'olewa mamlakani wa Seleka. Nchini Pakistan Polisi wamewakamata wanaume wawili kwa makosa ya kuiba maiti ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Mtoto aliyepotea auawa kikatili, maiti yaokotwa

 Mtoto Nuru Mohamedi (7) ameuawa kikatili na kisha mwili wake kutelekezwa kwenye nyumba ambayo haijakamilika ujenzi iliyo Majohe Kichangani mjini hapa.

 

9 years ago

Global Publishers

Mtoto wa Miaka 4 aishi na maiti ya mama yake kwa siku 2

maittiBryan Allen akiwa na mama yake Shaleena Hamilton (enzi za uhai wake).maitinBryanmaitiiBaiskeli aliyozawadiwa Bryan.

Bryan Allen is “doing well” after he survived 48 hours, after his mom died. Thought mom was sleeping @news4buffalo pic.twitter.com/UZXUma2c6S

— Marissa Perlman (@MPerlman4) December 14, 2015

Bryan won’t be here, but here’s his new bike pic.twitter.com/pOjtb55QFu — Aaron Besecker (@AaronBesecker) December 14, 2015

Donations have come from police, people dropping off at districts, other...

 

10 years ago

GPL

SKENDO WODINI: MAMA ADAI KUJIFUNGUA MTOTO WA KIUME, APEWA WA KIKE TENA MAITI

Na Mwandishi Wetu, Moro
SKENDO mpya imeikumba Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro kufuatia mwanamke mmoja, Rukia Fikiri (pichani) kudai kujifungua mtoto wa kiume kisha baadaye kukabidhiwa mtoto wa kike akiwa amefariki dunia, Uwazi linatiririka.Tukio hilo la kushangaza lilijiri Machi 25, mwaka huu katika wodi ya wazazi ya hospitali hiyo. Rukia Fikiri(kulia) akiwa na ndugu zake wakiwa wamebeba maiti ya mtoto wanaodai...

 

11 years ago

Dewji Blog

Maiti yaokotwa Singida

DSC00179111

Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, SACP Geofrey Kamwela.

Na Nathaniel Limu

Mwili wa mwanaume ambaye hajafahamika jina wala  makazi yake anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 28,umeokotwa maeneo ya Misuna makaburini tarafa ya Mungumaji Singida mjini.

Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, SACP Geofrey Kamwela, amesema mwili huo umeokotwa Agosti 5 mwaka huu saa moja asubuhi ukiwa umetelekezwa kwenye makaburi ya Misuna.

Alisema mwanaume huyo siku ya tukio alikuwa amevaa shati la...

 

11 years ago

Habarileo

Maiti yapigwa makofi

MAZIKO ya mtuhumiwa wa mauaji ya watu tisa na unyang'anyi wilayani hapa, Charles Kichune, yamesuswa na ndugu zake. Tangu Kichune afariki dunia Februari 9 kwa ugonjwa wa pumu katika Hospitali ya Wilaya ya Tarime, hakuna ndugu aliyefika kuchukua mwili huo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani