Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Majadiliano ya masuala ya kodi Afrika yafanyika Arusha

 Waziri wa Fedha, Mh. Saada Mkuya akizungumza na Waandishi wa habari wakati wa ufunguzi wa  mkutano wa siku 3 wa majadiliano ya masuala ya kodi Afrika uliofanyika jijini Arusha jana katika hotel ya naura spring. Waziri wa fedha Saada mkuya akijadiliana jambo na rais wa kituo cha kimataifa cha ukusanyaji kodi na uwekezaji Daniel Witt wakati wa mkutano wa siku 3 wa majadiliano ya masuala ya kodi Afrika uliofanyika jijini Arusha jana katika hotel ya naura spring. Waziri wa Fedha,Mh. Saada Mkuya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA TATU WA AFRIKA KUHUSU MASUALA YA USIMAMIZI WA KODI


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi mkutano mkuu wa tatu wa Afrika kuhusu masuala ya usimamizi wakodi uliofanyika kwenye Hoteli ya Double Tree, jijini Dar es Salaam, leo Septemba 16, 2014.Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, kufungua rasmi mkutano mkuu wa tatu wa Afrika kuhusu masuala ya...

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO WA TATU WA SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WATAALAMU WA MASUALA YA CHAKULA NA LISHE AFRIKA KUFANYIKA JIJINI ARUSHA.

 Raisi wa FANUS  Prof.Joyce  Kinabo,akizungumza na waandishi wa Habari hawapo pichani kuhusiana na mkutano wa tatu wa shirikisho la vyama vya wataalamu wa masuala ya chakula na lishe Afrika,unaotarajiwa kufanyika Mei 24 hadi 29 jijini Arusha kushoto ni Dkt Joyceline Maganda Kaimu Mkurungenzi  Mtendaji ,Taasisi  ya Chakula na Lishe.Mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO  Jiji Dar es Salaam leo.Baadhi ya waandishi  wa Habari walio hudhuria katika mkutano wa tatu wa...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAID DKT. BILAL, AFUNGUA MKUTANO WA KIMATAIFA UNAOJADILI MASUALA YA AMANI BARANI AFRIKA, LEO JIJINI ARUSHA

 Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano wa Tano wa Mwaka wa kimataifa unaojadili masuala ya Amani barani Afrika kutoka Nchi mbalimbali Barani humo, wakifuatilia kwa makini hotuba ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, alipokua akifungua mkutano huo leo oktoba 21/2014 katika ukumbi wa Maunt Meru Hotel jijini Arusha. Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano wa Tano wa Mwaka wa kimataifa unaojadili masuala ya Amani barani Afrika kutoka Nchi mbalimbali Barani humo,...

 

9 years ago

Michuzi

WAANDISHI WA HABARI WAPEWA ELIMU YA MASUALA YA KODI

 Meneja wa Kampuni ya Business Connexion Tanzania Limited Ebenezer Massawe akitoa mafunzo juu ya kupata taarifa ya vyanzo vya mapato  kwa waandishi wahabari  wakati wa  semina iliyoandaliwa na Chama cha waandishi wa habari za kodi Tanzania  (TAWNET jijini Dar es Salaam. Kwa udhamini wa Vodacom Tanzania.  Afisa Mwandamizi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) Hamisi Lupenja,akifafanua jambo  kwa waandishi wahabari (hawapo pichani ) wakati wa semina iliyoandaliwa na Chama cha waandishi wa...

 

5 years ago

Michuzi

WAFANYABIASHARA WAISHUKURU TRA KWA KUWAELIMISHA MASUALA YA KODI

Na Veronica Kazimoto-Dar es Salaam.
Wafanyabiashara wa Tabata jijini Dar es Salaam wameishukuru Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kuwaelimisha masuala mbalimbali yanayohusu kodi na kusema kuwa, elimu hiyo itawasaidia kuongeza uhiari wa kulipa kodi kwa ajili ya maendeleo ya nchi.

Wakizungumza wakati wa kampeni ya elimu kwa mlipakodi inayofanyika jijini hapa, wafanyabiashara hao wamesema kwamba kitendo cha TRA kuwatembelea katika maduka yao na kutoa elimu ya kodi kutaongeza ari ya kulipa...

 

10 years ago

Michuzi

MAJADILIANO YA RIPOTI YA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA MAFANIKIO NCHI ZA AFRIKA

 Katibu Mkuu wa Wizara ya fedha   na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dkt. Servacius Likwelile akiwaeleza Mawaziri wa Fedha kuhusu serikali ya Tanzania ilivyonufaika na fedha za Benki ya Maendeleo katika kutekeleza mipango yake hasa  kwenye miundombinu. Kutoka kulia ni Waziri wa Fedha wa Rwanda Bw. Claver Gatete  na kushoto kwake ni  Mchumi Mkuu Rugwabiza Minega Leonard.Katibu Mkuu wa Wizara ya fedha   na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dkt. Servacius Likwelile akitoa ufafanuzi kuhusu Tanzania...

 

10 years ago

Michuzi

MASPIKA WA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA JIJINI DAR KUJADILI MASUALA MBALIMBALI YANAYOHUSU NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI

Na Bakari Issa,Dar es Salaam
Maspika wa Bunge wa Afrika Mashariki wamekutana jijini Dar es Salaam ili kujadili masuala mbalimbali yanayozihusu nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki likiwemo suala la Ugaidi pamoja na vurugu zinazotokea ,maendeleo hususan Barani Afrika.
Katika Mkutano huo wenye jina la ‘Jukwaa la Maspika wa Mabunge ya Afrika Mashariki’ulihuduliwa na Maspika wa nchi za Tanzania,Kenya,Uganda, Rwanda pamoja na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki(EALA),Mhe.Daniel Kidega....

 

9 years ago

Dewji Blog

MEFMI yafanya majadiliano na magavana wa nchi za Afrika Mashariki na kusini

IMG_8228

Dr. Servacius Likwelile Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali (wa kwanza kushoto) akiwa katika picha ya  pamoja na Magavana wa Mashariki na Kusini mwa Afrika  baada ya mkutano wa MEFMI.(Picha na Eva Valerian, Peru – Lima).

Katika kipindi hiki cha mikutano ya mwaka ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa, kumekuwa na mikutano mbalimbali inaendelea hapa nchini Peru. Mikutano hiyo inaendeshwa na Taasisi mbalimbali zenye utaalamu wa kiuchumi na kifedha....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani