Majaliwa ahutubia mkutano Ruangwa
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa na Mkewe Mary wakisalimiana na wazee wa Ruangwa kabla ya mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkuu mjini Ruangwa Desemba 20, 2015. (PIcha na Ofisi ysa Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia silaha za asili alizokabidhiwa na wazee wa Ruangwa kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara mjini hapo Desemba 20, 2015.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipokea zawadi ya rungu kutoka kwa Mzee Issa Juma Nangalapa ikiwa ni ishara ya kumtaka awaadhibu wote...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi21 Dec
WAZIRI MKUU MAJALIWA, KASSIM MAJALIWA AHUTUBIA RUANGWA



5 years ago
Michuzi
MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA MJINI KIGOMA


5 years ago
MichuziMAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA UWANJA WA JITEGEMEE MUHEZA
5 years ago
Michuzi
ZIARA YA WAZIRI MKUU MAJALIWA RUANGWA JUNI 24


9 years ago
Michuzi23 Dec
MAJALIWA ATEMBELEA WAPIGAKURA WAKE, AZUNGUMZA NA MADIWANI WA RUANGWA


5 years ago
Michuzi
ZIARA YA WAZIRI MKUU MAJALIWA KATIKA JIMBO LA RUANGWA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa kijiji cha Mbekenyera wilayani Ruangwa akiwa katika ziara ya kikazi, Juni 23, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

5 years ago
MichuziMAJALIWA:MKATABA UJENZI BARABARA NANGANGA-RUANGWA KUSAINIWA MACHI
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema mwishoni mwa mwezi Machi, 2020 Serikali inatarajia kusaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya Nanganga-Ruangwa yenye urefu wa kilometa 50 kwa kiwango cha lami.
Hatua hiyo itawezesha kutatuliwa kwa kero ya changamoto ya miundombinu ya barabara inayowakabili wananchi wa wilaya ya Ruangwa kwa muda mrefu.
Waziri Mkuu alitoa kauli hiyo jana jioni (Jumamosi, Machi 14, 2020) wakati akizungumza na wananchi wa wilaya ya Ruangwa kwenye mkutano wa hadhara ...
5 years ago
CCM BlogMAJALIWA: SH. MILIONI 700 KUJENGA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA RUANGWA
Ruangwa, Lindi
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali imedhamiria kuboresha elimu kwa watoto wa kike nchini kote ikiwemo wilaya ya Ruangwa ambayo imepewa sh. milioni 700 kwa ajili ya kuanza ujenzi wa shule maalumu ya sekondari ya wasichana.
Amesema Serikali inataka mtoto wa kike asome kuanzia darasa la...
5 years ago
CCM BlogMAJALIWA AWASILI NACHINGWEA AKIENDA RUANGWA KWA ZIARA YA KIKAZI
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania