ZIARA YA WAZIRI MKUU MAJALIWA RUANGWA JUNI 24

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole, Ramadhani Hamadi mkazi wa Dar es Salaam aliyelazwa katika Zahanati ya Nandagala wilayani Ruangwa wakati alipotembelea Zahanati hiyo, Juni 24, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi gari la kubeba wagonjwa, Mkuu wa wilaya ya Ruangwa, Hashim Mgandilwa kwa ajili ya Kituo cha Afya cha Luchelegwa wilayani humo, Juni 24, 2020. Mheshimiwa Majaliwa alikuwa katika ziara ya kikazi wilayani humo. (Picha na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
ZIARA YA WAZIRI MKUU MAJALIWA KATIKA JIMBO LA RUANGWA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa kijiji cha Mbekenyera wilayani Ruangwa akiwa katika ziara ya kikazi, Juni 23, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

9 years ago
Michuzi21 Dec
WAZIRI MKUU MAJALIWA, KASSIM MAJALIWA AHUTUBIA RUANGWA



9 years ago
Michuzi20 Dec
WAZIRI MKUU MAJALIWA AWAONYA WATUMISHI WA SERIKALI, AWASILI KIJIJINI KWAKE NANDAGLA RUANGWA

5 years ago
Michuzi
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASEMA ANATAMBUA UMUHIMU WA DINI ZOTE,AFUNGUA MSIKITI WA ANNUR WILAYANI RUANGWA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiitikia dua, iliyosomwa na Mwenyekiti wa Taasisi ya Al-Hikma, Sheikh Sharif Abdulqader, kwenye Msikiti wa Annur baada ya swala ya ijumaa na baadae kufungua rasmi Msikiti huo, uliyojengwa...
5 years ago
CCM BlogMAJALIWA AWASILI NACHINGWEA AKIENDA RUANGWA KWA ZIARA YA KIKAZI
9 years ago
Dewji Blog29 Dec
Ziara ya Waziri Mkuu Majaliwa Kigoma katika picha
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa mkoa wa Kigoma, Issa Machibya kuhusu bunduki iliyokatwa ili kupunguzwa urefu ambayo ilikamatwa na polisi mkoani Kigoma wakati ilipotumika katika uhalifu. Mheshimiwa Majaliwa alikwenda kwenye Ofisi ya Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Kigoma kukagua silaha mbalimbali zilizokamatwa na polisi Desemba 28, 2015.. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
5 years ago
Michuzi
WAZIRI MKUU MAJALIWA AWASILI TANGA KWA ZIARA YA KIKAZI

5 years ago
MichuziWAZIRI MKUU MAJALIWA KUANZA ZIARA MKOANI TANGA KESHO
MKUU wa Mkua wa Tanga Martine Shigella akizungumza na waandishi wa habari mkoani humo leo ambao hawapo pichani kuhusu ziara maalumu ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa itakayoanza kesho Jumatatu
MKUU wa Mkua wa Tanga Martine Shigella akizungumza na waandishi wa
habari mkoani humo kuhusu ziara maalumu ya Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa itakayoanza kesho Jumatatu mkoani hapa
WAZIRI mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwasili jijini Tanga kesho June Mosi Mwaka huu kwa ziara maalum ya kutembelea na...
9 years ago
Dewji Blog03 Jan
Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa kuanza ziara Mkoani Ruvuma!!
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (Pichani) anatarajia kuanza ziara ya kikazi ya siku nne mkoani
Ruvuma, ambapo atawasili mkoani hapo leo saa tisa alasiri.
Baada ya Waziri Mkuu kuwasili Uwanja wa Ndege wa Songea, atapokelewa na viongozi wa
Chama na Serikali, pia atakwenda Ikulu kupokea taarifa ya maendeleo ya mkoa wa Ruvuma.
Aidha, siku ya jumatatu atakuwa na shughuli za kufungua tawi la Benki ya Posta mjini
Songea, kukagua maghala ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya chakula (NFRA) kanda ya...