MAJALIWA ATEMBELEA WAPIGAKURA WAKE, AZUNGUMZA NA MADIWANI WA RUANGWA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wazee wa kijiji cha Mbekenyera wilayani Ruangwa wakati alipokwenda nyumbani kwa Bw. Issa Mohamed kutoa pole kufuatia kifo cha mwanafamilia hiyo, Shari Malanda, Desemba 22, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza na Mzee Mohammed Chingwele (katikati) na mwanae Issa Mohammed (kulia) wakati alipokwenda nyumbani kwao katika kijiji cha Mbekenyera wilayani Ruangwa kuwapa pole kwa kifo cha mwanafamilia...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi21 Dec
WAZIRI MKUU MAJALIWA, KASSIM MAJALIWA AHUTUBIA RUANGWA
9 years ago
Dewji Blog21 Dec
Majaliwa ahutubia mkutano Ruangwa
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa na Mkewe Mary wakisalimiana na wazee wa Ruangwa kabla ya mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkuu mjini Ruangwa Desemba 20, 2015. (PIcha na Ofisi ysa Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia silaha za asili alizokabidhiwa na wazee wa Ruangwa kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara mjini hapo Desemba 20, 2015.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipokea zawadi ya rungu kutoka kwa Mzee Issa Juma Nangalapa ikiwa ni ishara ya kumtaka awaadhibu wote...
5 years ago
MichuziZIARA YA WAZIRI MKUU MAJALIWA RUANGWA JUNI 24
5 years ago
MichuziZIARA YA WAZIRI MKUU MAJALIWA KATIKA JIMBO LA RUANGWA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa kijiji cha Mbekenyera wilayani Ruangwa akiwa katika ziara ya kikazi, Juni 23, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Mbekenyera wilayani Ruangwa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kijijini hapo, Juni 23, 2020. (Picha na Ofisi Waziri Mkuu)
5 years ago
CCM BlogMAJALIWA AWASILI NACHINGWEA AKIENDA RUANGWA KWA ZIARA YA KIKAZI
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi, wakati walipowasili kwenye uwanja wa ndege wa nachingwea akiwa njiani kwenda Ruangwa kwa ziara ya kikazi Juni 20,...
5 years ago
CCM BlogMAJALIWA: SH. MILIONI 700 KUJENGA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA RUANGWA
Ruangwa, Lindi
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali imedhamiria kuboresha elimu kwa watoto wa kike nchini kote ikiwemo wilaya ya Ruangwa ambayo imepewa sh. milioni 700 kwa ajili ya kuanza ujenzi wa shule maalumu ya sekondari ya wasichana.
Amesema Serikali inataka mtoto wa kike asome kuanzia darasa la...
5 years ago
MichuziMAJALIWA:MKATABA UJENZI BARABARA NANGANGA-RUANGWA KUSAINIWA MACHI
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema mwishoni mwa mwezi Machi, 2020 Serikali inatarajia kusaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya Nanganga-Ruangwa yenye urefu wa kilometa 50 kwa kiwango cha lami.
Hatua hiyo itawezesha kutatuliwa kwa kero ya changamoto ya miundombinu ya barabara inayowakabili wananchi wa wilaya ya Ruangwa kwa muda mrefu.
Waziri Mkuu alitoa kauli hiyo jana jioni (Jumamosi, Machi 14, 2020) wakati akizungumza na wananchi wa wilaya ya Ruangwa kwenye mkutano wa hadhara ...
5 years ago
MichuziMILIONI 700 KUJENGA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA RUANGWA-MAJALIWA
Waziri Mkuu na Mbunge wa Ruangwa , Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wakati alipotembea katika mitaa ya Ruangwa Juni 21, 2020. Wa pili kulia ni Mkuu wa wilaya ya Ruangwa, Hassim Mgandilwa.
Waziri Mkuu na Mbunge wa Ruangwa, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wakati alipotembelea eneo la Kituo cha Mabasi...
9 years ago
Michuzi20 Dec
WAZIRI MKUU MAJALIWA AWAONYA WATUMISHI WA SERIKALI, AWASILI KIJIJINI KWAKE NANDAGLA RUANGWA
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akisalimiana na wapigakura wke baada ya kuwasili kijijini kwake Nndagala wilayni Luangwa kwa mapumziko mafupi Desemba 20, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)……………………………………………………………………..*Asema wabadhirifu watang’olewa mara moja*Asema wako wasomi wengi wanaotafuta ajiraWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaonya watendaji wa halmashauri nchini kwamba atakayebainika ametumia vibaya fedha za Serikali atang’olewa kazini kwa sababu Serikali ya Awamu ya Tano haina...