Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAJALIWA:MKATABA UJENZI BARABARA NANGANGA-RUANGWA KUSAINIWA MACHI


 WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema mwishoni mwa mwezi Machi, 2020 Serikali inatarajia kusaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya Nanganga-Ruangwa yenye urefu wa kilometa 50 kwa kiwango cha lami.
Hatua hiyo itawezesha kutatuliwa kwa kero ya changamoto ya miundombinu ya barabara  inayowakabili wananchi wa wilaya ya Ruangwa kwa muda mrefu.
Waziri Mkuu alitoa kauli hiyo jana jioni (Jumamosi, Machi 14, 2020) wakati akizungumza na wananchi wa wilaya ya Ruangwa kwenye mkutano wa hadhara ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MKATABA UJENZI BARABARA NANGANGA-RUANGWA KUSAINIWA MACHI

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiwasili katika viwanja vya Likangara wilayani Ruangwa, mkoani Lindi, alipozungumza na wananchi, Machi 14, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na wananchi katika viwanja vya Likangara wilayani Ruangwa, mkoani Lindi, Machi 14, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MAJALIWA, KASSIM MAJALIWA AHUTUBIA RUANGWA

rua1Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikabidhiwa zawadi ya shati la asili la  Wamwera  na Mzee Saidi Issa Hanga katika mkutano wa hadhara aliouhutubia  mjini Ruangwa Desemba 20, 2015. rua2Waziri Mkuu, Kassim Majliwa na Mkewe Mary wakisalimiana na wazee wa Ruangwa kabla ya mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkuu mjini Ruangwa Desemba 20, 2015. rua3Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha na kufurahia  silaha  za asili alizokabidhiwa na wazee wa Ruangwa kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara...

 

5 years ago

Michuzi

MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA BARABARA YA MUDA KATIKA ENEO LA KIYEGEYA WILAYANI KILOSA


 Kazi ya ujenzi wa barabara ya muda katika eneo la Kiyegeya wilayani Kilosa Machi 10, 2020. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  amekagua ujenzi huo leo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mtendaji Mkuu wa TANROADS, Mhandisi Patric Mfugale  (mwenye kofia) wakati alipokagua ujenzi wa barabara ya muda  katika eneo la Kiyegeya wilayani Kilosa Machi 10, 2020. Kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro, Mhandisi Emmanuel Kalobelo. (Picha na Ofisi ya Waziri...

 

9 years ago

Michuzi

TANROADS NA KAMPUNI YA SUMITON MITSUI CONSTRACTION CO. LTD WASAINI MKATABA KWAAJILI YA UJENZI WA BARABARA YA JUU ENEO LA TAZARA LEO JIJINI DAR

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara TANROADS Eng. Patrick Mfugale akisoma risala kwa mbele ya wadau wa ujenzi katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, mara baada ya kukutana na kusaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya juu (Fly over) eneo la Tazara jijini Dar es Salaam mkataba uliosainiwa kati ya Tanroads na kampuni ya Sumiton Mitsui Constraction Co. LTD ya nchini Japan mkutano uliofanyika  jijini Dar es Salaam leo.Balozi wa Japan nchini Tanzania, Masaki...

 

11 years ago

Michuzi

MIRADI MIKUBWA YA BARABARA KATIKA MIKOA YA RUVUMA NA MTWARA KUSAINIWA KESHO

Waziri wa Ujenzi, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kesho atakuwa Mgeni Rasmi katika hafla ya utiaji saini mikataba ya ujenzi wa barabara itakayotekelezwa katika mikoa ya Ruvuma na Mtwara.   Miradi hiyo itahusisha ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami kati ya Namtumbo na Tunduru ambayo imegawanywa katika sehemi tatu ambazo ni Namtumbo – Kilimasera (km 68.20), Kilimasera – Matemanga (km 58.70) na Matemanga-Tunduru (km 60.70).   Tayari Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) ambayo inayofadhili...

 

9 years ago

Dewji Blog

Majaliwa ahutubia mkutano Ruangwa

IMGS5951

Waziri Mkuu, Kassim Majliwa na Mkewe Mary wakisalimiana na wazee wa Ruangwa kabla ya mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkuu mjini Ruangwa Desemba 20, 2015. (PIcha na Ofisi ysa Waziri Mkuu).

IMGS5962

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia silaha  za asili alizokabidhiwa na wazee wa Ruangwa kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara mjini hapo Desemba  20, 2015.

IMGS5968

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipokea zawadi ya rungu kutoka kwa Mzee Issa Juma Nangalapa ikiwa ni ishara ya kumtaka awaadhibu wote...

 

10 years ago

Michuzi

PROF. MBARAWA ASHUHUDIA KWA KUSAINIWA MKATABA WA KUPELEKA HUDUMA ZA MAWASILIANO YA SIMU VIJIJINI AWAMU YA 2B MJINI DODOMA

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof Makame Mbarawa (watatu kushoto mstari wa nyuma) akishuhudia utiaji saini wa mikataba ya mradi wa mawasiliano vijijini Awamu ya 2B ambapo makampuni ya simu ya TTCL, Vodacom na Tigo walisaini. Wanaosaini kutoka kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dk. Kamugisha Kazaura, Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano Injinia Peter Ulanga, Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom,Rosalynn Mworia na Mwakilishi wa kampuni ya MIC,...

 

5 years ago

Michuzi

ZIARA YA WAZIRI MKUU MAJALIWA RUANGWA JUNI 24

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akimpa pole, Ramadhani Hamadi mkazi wa Dar es Salaam aliyelazwa katika Zahanati ya Nandagala wilayani Ruangwa  wakati alipotembelea Zahanati hiyo, Juni 24, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi gari la kubeba wagonjwa, Mkuu wa wilaya ya Ruangwa, Hashim Mgandilwa kwa ajili ya Kituo cha Afya cha Luchelegwa  wilayani humo, Juni 24, 2020. Mheshimiwa Majaliwa alikuwa katika ziara ya kikazi wilayani humo. (Picha na...

 

9 years ago

Michuzi

MAJALIWA ATEMBELEA WAPIGAKURA WAKE, AZUNGUMZA NA MADIWANI WA RUANGWA


x35Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza  na  Wazee wa kijiji cha Mbekenyera  wilayani  Ruangwa  wakati alipokwenda nyumbani kwa Bw. Issa Mohamed kutoa pole kufuatia kifo cha mwanafamilia  hiyo, Shari Malanda, Desemba 22, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) x36Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza na Mzee  Mohammed Chingwele (katikati) na mwanae  Issa Mohammed (kulia) wakati alipokwenda nyumbani kwao katika kijiji cha Mbekenyera wilayani Ruangwa kuwapa pole kwa kifo cha mwanafamilia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani