Majambazi wanne waua asiyeona na mwanawe
WATU wanne wanaodhaniwa kuwa majambazi wamevamia duka la mfanyabiashara Aloyce Lusoka wa Holili wilayani Rombo na kupora kiasi cha fedha kisichojulikana, kisha kumuua kwa risasi mama asiyeona na mwanawe, waliokuwa karibu na duka hilo.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo12 Aug
Wananchi waua majambazi wanne
WATU wanne, watatu wakidaiwa kuwa Wakenya, wanaotuhumiwa kuwa majambazi wameuawa na wananchi mjini hapa.
11 years ago
Habarileo23 Sep
Majambazi waua, wapora
WATU wanne wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wanatuhumiwa kumwua mtu mwenye umri kati ya miaka 35 na 40 ambaye jina lake halikuweza kufahamika na kumjeruhi mwingine. Tukio hilo lilifanyika kwenye maduka yaliyopo kwenye Stendi Kuu ya Maili Moja wilayani Kibaha, jirani na kituo cha Polisi baada ya watu hao kufanya tukio la uhalifu.
11 years ago
Habarileo02 Jun
Majambazi waua, wapora Sh milioni 20
WATU wawili wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wakiwa na silaha aina ya Short gun wamepora kiasi cha Sh milioni 20 kutoka kwa mtumishi wa duka la kubadilishia fedha za kigeni la Northern Bureau de Change na kumpiga risasi mtu mmoja na kufa papo hapo.
11 years ago
Mwananchi16 Apr
Majambazi waua mmoja, wapora
10 years ago
Habarileo05 Mar
Majambazi waua ofisa mtendaji
OFISA Mtendaji wa Kijiji cha Mpona kata ya Totowe Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya, Bahati Mwanguku (38) ameuawa na majambazi wawili wenye mapanga kisha kuporwa pikipiki na simu ya kiganjani.
10 years ago
Habarileo01 Dec
Majambazi waua, wapora mil 4/-
MKULIMA aliyeshambuliwa na kundi la majambazi na kuporwa zaidi ya Sh milioni 4 za Tanzania na Sh 37,00O za Kenya amefariki dunia akipatiwa matibabu katika hospitali ya Misheni Masanga.
10 years ago
Habarileo02 Jan
Majambazi waua, wapora mil 44/-
WATU wasiofahamika wamevamia na kumuua mlinzi wa jadi katika ofisi ya Chama cha Msingi cha Chikundi Amcoss kilichopo katika kijiji cha Mtunungu, kata ya Mwena tarafa ya Chikundi Halmashauri ya wilaya ya Masasi mkoani Mtwara na kufanikiwa kuiba Sh milioni 44, mali ya chama hicho.
10 years ago
Tanzania Daima18 Nov
Polisi Dar waua, wakamata majambazi
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limewaua majambazi wawili na kuwakamata wanane katika harakati za kupambana na uhalifu wa kutumia silaha. Akizungumza na waandishi wa habari jijini...
10 years ago
Habarileo14 Jul
Majambazi waua 7 kituo cha Polisi
ASKARI wanne na raia watatu wameuawa baada ya watu wanaosadikiwa kuwa majambazi kuvamia Kituo cha Polisi cha Sitakishari kilichopo Ukonga katika Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam.