Majambazi wawapora watalii 17
Kundi la watu wanaoaminika ni majambazi wakiwa na bunduki wamevamia Hoteli ya kitalii ya Weruweru River Lodge iliyopo wilayani Hai na kuwapora watalii fedha na vitu vingine.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili18 Mar
Watalii wauawa Tunisia
11 years ago
Tanzania Daima28 Feb
Watalii kupungua Zanzibar
KAMPUNI inayojishughulisha na kupokea watalii imesema hali ya kuwepo milipuko ya mabomu mara kwa mara katika visiwa vya Zanzibar inaweza kuchangia kupungua kwa watalii katika visiwa hivyo iwapo hali hiyo...
11 years ago
Tanzania Daima26 Jul
Watalii 17 wavamiwa hotelini
KUNDI la watu wanaoaminika kuwa ni majambazi wakiwa na silaha za moto na mapanga, wamevamia watalii 17 kutoka mataifa mbalimbali na kuwapora kiasi kikubwa cha fedha, kamera na kompyuta mpakato...
11 years ago
Tanzania Daima27 Jan
Watalii watapeliwa Kilimanjaro
WATALII wanane raia wa Australia waliokuwa nchini kwa ajili ya kupanda mlima Kilimanjaro na kutembelea vivutio vya utalii katika visiwa vya Zanzibar, wamejikuta katika wakati mgumu baada ya kutapeliwa zaidi...
11 years ago
Habarileo06 May
Watalii waongezeka Hifadhi ya Tarangire
IDADI ya watalii wa nje na ndani wamekuwa wakiongezeka kila mwaka katika Hifadhi ya Tarangire iliyopo wilayani Simanjiro mkoani Manyara.
10 years ago
BBCSwahili28 Jun
UK: Huenda watalii zaidi wakashambuliwa
10 years ago
BBCSwahili10 Jul
Watalii wa Uingereza kuondoka Tunisia
10 years ago
Mwananchi16 Nov
Wafugaji wateketeza kambi ya watalii
10 years ago
BBCSwahili10 Jun
Watalii 8 'walisababisha' tetemeko la ardhi