Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafugaji wateketeza kambi ya watalii

Wafugaji wa Kabila la Wamasai, wameteketeza kwa moto kambi ya kifahari ya watalii ya Ndarakwai iliyopo wilayani Siha yenye vibanda 16 vyenye hadhi sawa na vyumba vya hoteli ya nyota nne.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Majaji waendesha mahakama ya wazi kusikiliza na kupokea malalamiko ya wakulima walionyang’anywa Ardhi,Wafugaji na Migogoro ya wakulima na wafugaji

IMG_0113   Jaji Mh. Richard Mziray akitoa hukumu katika Mahakama ya wazi  katika Kesi zote Mbili ya Kiteto na Kilosa ,ambapo katika Kesi ya Wilaya ya Kiteto alitoa Maamuzi kwamba kulikuwa na umuhimu wa utekelezeji wa Amri ya Mahakama na kuheshimu Amri za Mahakama kuwa Mahakama ilisha tamka kuwa ile ni Hifadhi hivyo inatakiwa kulindwa na kuheshimiwa na ameongeza kuwa kama kungekuwa na kuzingatiwa kwa Sera za Ardhi basi kusingekuwa na Migogoro yote hiyo ametolea mfano pia maeneo ambayo yanatakiwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TRA wateketeza shehena ya sigara

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) kitengo cha ushuru wa bidhaa na forodha Mkoa wa Mbeya, imeteketeza shehena ya sigara aina ya SM mali ya Kampuni ya TCC zenye thamani ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Wanafunzi Njombe wateketeza bweni

Shule ya Sekondari ya Wavulana Njombe (Njoss) iliyoko mjini hapa, imefungwa kuanzia jana hadi Novemba 8, mwaka huu, baada ya wanafunzi kuchoma moto bweni, karakana na kuharibu mali mbalimbali za shule na walimu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Moto wateketeza ghala Vingunguti

GHALA la RK Complex la jijini Dar es Salaam limeungua moto na kuteketea mali zote zilizokuwamo ndani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Marietha Minangi, alisema moto huo ulizuka juzi...

 

10 years ago

Habarileo

Moto wateketeza familia Dar

Wananchi wakiangalia nyumba iliyoteketea na kuangamiza familia nzima.WATU sita wa familia moja akiwamo Kapteni mstaafu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi (JWTZ), wamekufa papo hapo baada ya kuteketezwa kwa moto jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Moto wateketeza msikiti wa Hindu

MOTO umezuka juzi maeneo ya Olimpio kata ya Upanga na kuteketeza jengo la msikiti wa dhahabu la hindu ulioko katika mtaa huo na kuunguza vitu mbalimbali vilivyomo ndani yake. Akizungumza...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Moto wateketeza maduka Tanga

MADUKA manne yameteketea kwa moto kutokana na hitilafu ya umeme barabara ya 14 jirani na stendi ya mabasi yaendayo mikoani jijini Tanga, usiku wa kuamkia jana. Moto huo uliozuka majira...

 

9 years ago

Mwananchi

Moto wateketeza mabanda Njombe

Moto ambao chanzo chake hakijajulikana hadi sasa umeteketeza baadhi ya mabanda ya mama lishe na mitumba karibu na kituo cha mabasi mkoani Njombe.

 

10 years ago

Mtanzania

Moto wateketeza hosteli UDSM

NA MICHAEL SARUNGI, Dar es Salaam
WANAFUNZI wawili wanaosoma Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, wameumia baada ya moto kuteketeza hosteli za Mabibo Dar es Salaam, walikokuwa wakiishi.
Akizungumza na waandishi wa habari baada ya tukio hilo, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, Profesa Rwekaza Mukandala, alisema moto huo uliteketeza ghorofa ya tatu ya jengo A linalotumiwa na wanafunzi wa kike.
“Tunamshukuru Mungu hakuna maafa yaliyotokea ingawa kuna wanafunzi wawili wamepata matatizo na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani