Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TRA wateketeza shehena ya sigara

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) kitengo cha ushuru wa bidhaa na forodha Mkoa wa Mbeya, imeteketeza shehena ya sigara aina ya SM mali ya Kampuni ya TCC zenye thamani ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo5

Kampuni ya sigara yaamriwa kumlipa mjane wa mvuta sigara aliyekufa kwa kansa ya mapafu dola bil.26.6!

Kundi la waamuzi wa kesi (jury) katika mahakama ya Florida nchini Marekani limeiamuru kampuni ya sigara ya RJ Reynolds Tobacco kumlipa mwanamke aliyefiwa na mume wake kwa saratani ya mapafu dola bilioni 23.6. Adhabu hiyo inajulikana kitaalum kama ‘Punitive damages’ na hutolewa kuyakatisha tamaa makampuni au watu kufanya mambo mabaya huku fidia au ‘compensatory damages’ […]

 

11 years ago

Mwananchi

Shehena ya magogo yanaswa

Makontena sita yaliyobeba magogo yaliyokuwa yakisafirishwa kwenda nje kwa njia za magendo yamekamatwa katika Bandari ya Malindi, Kisiwani Unguja kabla ya kusafirishwa kuelekea nchini China, imefahamika visiwani humu.

 

10 years ago

Habarileo

Shehena za magendo zakamatwa Sirari

MAOFISA wa Kituo cha Forodha cha Sirari na wenzao wa kodi za ndani wamekamata magari matatu yenye shehena ya mali za magendo, zinazodaiwa kuingizwa nchini kwa njia za panya kutoka Kenya bila kulipiwa ushuru.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Uingizaji shehena waongezeka bandarini

UINGIZAJI wa shehena katika bandari za mamlaka umeongezeka kutoka tani 1.185 wakati wa uhuru mwaka 1961 hadi kufikia tani 13,500  mwaka jana. Hayo yalibainishwa jijini Dar es Salaam jana na...

 

9 years ago

Mwananchi

TFDA yateketeza shehena ya vipodozi

Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA), Kanda ya Kati imetekeza shehena ya vipodozi vyenye viambata vya sumu vya thamani ya Sh49 milioni.

 

9 years ago

Mwananchi

Shehena ya karafuu yakamatwa Pemba

Kikosi Maalumu cha Kuzuia Magendo (KMKM), kimekamata shehena ya makonyo na karafuu kavu iliyodaiwa kusafirishwa kwenda nje ya nchi kwa njia ya magendo katika Bandari ya Milango Mikavu kisiwani hapa.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Gari la kitalii lanaswa na shehena ya bangi



NA LILIAN JOEL, ARUSHAGARI la Kampuni ya Kitalii ya Wengert Windrose, linashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kukutwa likiwa limepakiza shehena ya magunia 11 ya bangi. Gari hilo namba T 695 ARR aina ya Toyota Land Cruiser, likiendeshwa na Frank Faustine, lilikamatwa eneo la Ranch wilayani Longido. Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas, alisema gari hilo lilikamatwa saa 5:00 usiku na kwamba, bangi hiyo ilikuwa ikisafirishwa kwenda Kenya. Juzi, wabunge waliibana serikali wakitaka...

 

10 years ago

StarTV

Shehena ya mizigo zakamatwa kwenye makontena.

Na Josephine Mwaiswaga,

Dar es Salaam.

 

Shehena ya mizigo mbalimbali zimekamatwa kwenye makontena yenye thamani ya shilingi milioni 300 katika ukaguzi wa kushtukiza uliofanyika kwenye Bandari Kavu ya jijini Dar es Salaam.

 

Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akiongozana na Maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wamefanya ukaguzi huo baada ya Serikali kubaini ongezeko la wafanyabishara wanaokwepa kodi kupitia udanganyifu wa bidhaa zinazoingizwa nchini.

 

Akizungumza mara baada ya...

 

11 years ago

Mwananchi

TBS yakamata shehena ya nguo za ndani

>Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limekamata shehena ya marobota ya nguo za ndani za mitumba ambazo thamani yake haijajulikana kwa kuwa zimechangaywa na nguo za watoto.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani