Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Gari la kitalii lanaswa na shehena ya bangi



NA LILIAN JOEL, ARUSHAGARI la Kampuni ya Kitalii ya Wengert Windrose, linashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kukutwa likiwa limepakiza shehena ya magunia 11 ya bangi. Gari hilo namba T 695 ARR aina ya Toyota Land Cruiser, likiendeshwa na Frank Faustine, lilikamatwa eneo la Ranch wilayani Longido. Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas, alisema gari hilo lilikamatwa saa 5:00 usiku na kwamba, bangi hiyo ilikuwa ikisafirishwa kwenda Kenya. Juzi, wabunge waliibana serikali wakitaka...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Gari Aina la BMW Alilopewa Kama Zawadi na Maneja Wake Martin Kadinda Lazua Maneno. Watu wahoji uwezo wa meneja wake huyo kumnunulia gari hilo huku ye akiendesha gari ''isiyoeleweka''.

Achana na lile gari aina ya Nissan Murano alilozawadiwa na mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, gari lingine aina ya BMW 545i aliloletewa Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ kwenye pati ya ‘bethidei’ yake ni utata mtupu na maswali kibao

NYUMBANI KWA MADAM
Pati hiyo ambayo iliandika historia katika ulimwengu maridhawa wa mastaa iliangushwa nyumbani kwa mwanadada huyo, Mtaa wa Bwawani, Kijitonyama jijini Dar, wikiendi iliyopita ambapo alitimiza umri wa miaka 26.
Katika shughuli...

 

10 years ago

Vijimambo

Askari Polisi Wagongwa Na Gari Baada Ya Gari Hiyo Kukataa


Ajali Arusha: Askari Polisi wagongwa na gari Ni baada ya dereva kusimamishwa akakataa, Trafiki wakapiga simu mbele, alipofika akakutwa askari wameweka kizuizi njiani akapita nao.

 

11 years ago

Mwananchi

Shehena ya magogo yanaswa

Makontena sita yaliyobeba magogo yaliyokuwa yakisafirishwa kwenda nje kwa njia za magendo yamekamatwa katika Bandari ya Malindi, Kisiwani Unguja kabla ya kusafirishwa kuelekea nchini China, imefahamika visiwani humu.

 

11 years ago

Habarileo

Uwindaji wa kitalii wa tembo kupunguzwa

SERIKALI imeamua kuanzia Julai mwaka huu kupunguza uwindaji wa kitalii wa tembo kwa asilimia 50 ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kupunguza upotevu wa idadi ya Tembo nchini.

 

11 years ago

Mwananchi

Wataka uwindaji wa kitalii kuzuiwa

Mawakala wa biashara ya kusafirisha watalii (Tour operators), wameiomba Serikali kupiga marufuku kwa muda uwindaji wa kitalii kama njia ya kukabiliana na uwindaji haramu nchini.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kenya na TZ kutatua mgogoro wa kitalii

serikali za Tanzania na Kenya zitakutana mjini Arusha kutafuta suluhu ya mzozo kuhusu marufuku ya magari ya kitalii kutoka TZ.

 

9 years ago

Mwananchi

TFDA yateketeza shehena ya vipodozi

Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA), Kanda ya Kati imetekeza shehena ya vipodozi vyenye viambata vya sumu vya thamani ya Sh49 milioni.

 

9 years ago

Mwananchi

Shehena ya karafuu yakamatwa Pemba

Kikosi Maalumu cha Kuzuia Magendo (KMKM), kimekamata shehena ya makonyo na karafuu kavu iliyodaiwa kusafirishwa kwenda nje ya nchi kwa njia ya magendo katika Bandari ya Milango Mikavu kisiwani hapa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Uingizaji shehena waongezeka bandarini

UINGIZAJI wa shehena katika bandari za mamlaka umeongezeka kutoka tani 1.185 wakati wa uhuru mwaka 1961 hadi kufikia tani 13,500  mwaka jana. Hayo yalibainishwa jijini Dar es Salaam jana na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani