Majambazi yateka mabasi sita
Na Mary Mwita, Arusha
WATU zaidi ya 40 wanaodhaniwa kuwa majambazi, wameteka mabasi sita ya abiria yanayofanya safari kati ya Jiji la Arusha na Nairobi, Kenya.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas, alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema atalitolea ufafanuzi leo.
Kamanda Sabas, alisema mabasi hayo yalitekwa juzi saa 8 usiku, baada ya kufika eneo la Mbuga Nyeupe, Wilaya ya Longido, Mkoa wa Arusha.
Taarifa zilizopatikana jijini Arusha, zinasema baada ya majambazi hayo...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo19 Jan
Majambazi yateka mabasi saba Arusha
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/sabas-19Jan2015.jpg)
Kundi la watu wanaosadikiwa kuwa majambazi, wameteka mabasi saba ya abiria yanayofanya safari zake kati ya Jiji la Arusha na Nairobi, Kenya na kupora mali na fedha ambavyo thamani yake haijafahamika.
Tukio hilo ambalo limethibitishwa na Jeshi la polisi, mkoani Arusha llitokea usiku wa kuamkia jana katika eneo la Mbuga Nyeupe, wilayani Longido Mkoa wa Arusha baada ya watu hao kuweka mawe barabarani na...
9 years ago
Mwananchi24 Nov
Majambazi yateka magari ya abiria
11 years ago
Mwananchi12 Jun
Majambazi yateka kituo cha polisi, yaua
10 years ago
Mwananchi21 Jan
Majambazi yateka kituo cha polisi, yaua askari wawili, yapora SMG tano
10 years ago
Mtanzania20 Jan
Walioteka mabasi sita wakamatwa
Na Mary Mwita, Arusha
JESHI la Polisi Mkoa wa Arusha limewatia mbaroni watu kadhaa kwa kuhusishwa na tukio la ujambazi wa kuteka mabasi sita ya abiria yaliyokuwa yanatoka nchini Kenya kuelekea jijini Arusha.
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini hapa, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas, alisema katika msako huo ulioanza jana wamefanikiwa kukamata watu hao katika maeneo tofauti mkoani humo.
Kamanda Sabas alisema kwa sasa jeshi hilo haliwezi kutaja majina ya watuhumiwa...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-zX_90Q8EEHw/UxCOrHhgxAI/AAAAAAAFQSE/FDJmBi1IL2o/s72-c/unnamed+(45).jpg)
DR.MAGUFULI AKAGUA MRADI WA MABASI YAENDAYO KASI (BRT) JIJINI DAR ES SALAAM: BARABARA YA KIMARA HADI KIVUKONI KUKAMILIKA NDANI YA MIEZI SITA
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/vdXfYFOgkyQ/default.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-yJAGhtU4gAs/Vf6bOiCejDI/AAAAAAAH6Rk/QXlbDbF8TM8/s72-c/unnamed%2B%252812%2529.jpg)
Mabasi 138 ya Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) yawasili bandarini Dar es salaam
11 years ago
MichuziNEWZZ ALERT:STENDI KUU YA MABASI MOSHI,WAMILIKI WA MABASI MADOGO WAGOMA KUTOA HUDUMA