Majengo muhimu yaliyobaki historia Kilwa Kisiwani
Mji wa Kilwa Kisiwani Mkoani Lindi ni miongoni mwa miji michache iliyobeba historia ya Bara la Afrika. Inasadikiwa kuwa mji huu ulianza katika karne ya saba baada ya Kristo takribani miaka 1,400 iliyopita.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
TheCitizen30 Nov
Fading glory of Kilwa Kisiwani
11 years ago
MichuziKILWA KISIWANI NA SONGO MNARA YAONDOLEWA KATIKA ORODHA HATARISHI YA UNESCO
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-uTJbmgSsOqU/U6EkCHXK0WI/AAAAAAAFrY0/DIVVnd_fc80/s72-c/unnamed+(1).jpg)
Kilwa Kisiwani and Songo Mnara RUINS removed from UNESCO List of World Heritage in Danger
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-cTCOAOS3Y7I/U_TP8S8jlaI/AAAAAAAGA-M/bp_RnQwgkLE/s72-c/unnamed%2B(52).jpg)
US Ambassadors Fund for Cultural Preservation Supports Cultural Heritage at Kilwa Kisiwani and Songo Mnara, Tanzania
![](http://2.bp.blogspot.com/-cTCOAOS3Y7I/U_TP8S8jlaI/AAAAAAAGA-M/bp_RnQwgkLE/s1600/unnamed%2B(52).jpg)
9 years ago
Bongo505 Dec
Kuoneshwa kwa ‘Going Bongo’ kwenye majumba ya sinema Tanzania kutaandika historia muhimu – Ernest Napoleon
![Ernest Kuonyeshwa_4](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Ernest-Kuonyeshwa_4-300x194.jpg)
Muigizaji wa filamu ya Going Bongo, Ernest Napoleon anaamini kuwa kuoneshwa kwa filamu ya Going Bongo kwenye majumba ya sinema nchini kutaandika historia muhimu kwenye tasnia ya filamu ya Tanzania.
Napoleon amedai kuwa uoneshwaji wa filamu kwenye majumba ya sinema ndio msingi wa mafanikio kwa soko la filamu katika nchi zilizoendelea.
Filamu yake ya Going Bongo itaanza kuoneshwa December 11, kwenye ukumbi wa sinema wa Century Cinemax uliopo Mlimani City jijini Dar es Salaam.
“Tunajaribu...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-ctji6OGamAY/VMP0r03ZDyI/AAAAAAACyaw/_tn7PfJOKX0/s72-c/5.jpg)
KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AHITIMISHA ZIARA YAKE YA SIKU KUMI KISIWANI UNGUJA,KESHO KUWASILI KISIWANI PEMBA.
![](http://2.bp.blogspot.com/-ctji6OGamAY/VMP0r03ZDyI/AAAAAAACyaw/_tn7PfJOKX0/s1600/5.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-GjL_wqY7lAA/VMP0l6gdbhI/AAAAAAACyao/FIXQQLLlgt0/s1600/6.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-75ydcxwb_AI/VMP00NUjv_I/AAAAAAACya4/wVVMpGASCI4/s1600/7.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-gmAYbv0acTg/VD7Xg9q-jFI/AAAAAAAGqxo/LCQm8LyOSF0/s72-c/unnamed%2B(6).jpg)
Airtel yakarabati duka jingine kisiwani Zanzibar, Wateja kufurahia huduma bora kutoka Airtel kisiwani Zanzibar.
10 years ago
Bongo Movies14 Mar
Wema: Kupendeza ni Muhimu Ila Kuelimika ni Muhimu Zaidi
Mrembo na Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu ameandika hayo mtandaoni mara baada ya kuweka picha hiyo hapo juu akiwa anapiga kitabu.
“Kupendeza ni muhimu ila kuelimika ni muhimu zaidi. Je, unajaribu kujifunza kitu kipya kila siku?” Wema alihoji na kuendelea “Elimu haina mwisho na mie binafsi najifunza mengi kwa kaka angu….
Jitahidi kujiendeleza kimawazo na hautakwama ukikutana na vikwazo!”…..
Nadhani kila mmoja wetu atauzingatia ujumbe huu, hongera sana Wema.
Mzee wa...
11 years ago
Habarileo29 May
Wanawake 2 wanyongwa kisiwani
POLISI mkoani Mwanza imetaka wakazi wa kisiwa cha Ukara wilaya ya Ukerewe, kuacha usiri badala yake wasaidie kupata watu waliohusika na mauaji ya wanawake wawili yaliyotokea kisiwani hapo jana.