Wanawake 2 wanyongwa kisiwani
POLISI mkoani Mwanza imetaka wakazi wa kisiwa cha Ukara wilaya ya Ukerewe, kuacha usiri badala yake wasaidie kupata watu waliohusika na mauaji ya wanawake wawili yaliyotokea kisiwani hapo jana.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-FmA6f0RxMiU/VPw7KsPMkRI/AAAAAAABneY/6Pd8NEfKjRU/s72-c/2216.jpg)
MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE KISIWANI PEMBA
![](http://4.bp.blogspot.com/-FmA6f0RxMiU/VPw7KsPMkRI/AAAAAAABneY/6Pd8NEfKjRU/s640/2216.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-TkMr41EDkg8/VPw7Qbb5oDI/AAAAAAABneg/2UGeM6FhUjQ/s640/2268.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-ZLWkp7iqi0w/VewRCwA1npI/AAAAAAABG7M/yd4CjTn99kw/s72-c/Aaa.jpg)
MAALIM SEIF SHARIF HAMAD AZINDUA KAMATI ZA USHINDI ZA WANAWAKE KISIWANI PEMBA
![](http://4.bp.blogspot.com/-ZLWkp7iqi0w/VewRCwA1npI/AAAAAAABG7M/yd4CjTn99kw/s640/Aaa.jpg)
Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad akiwahutubia wajumbe wa Kamati za Ushindi za Wanawake wa CUF kutoka Wilaya nne za Pemba huko skuli ya Fidel Castro.
![](http://2.bp.blogspot.com/-ze4jKryF0-s/VewRDBXr3qI/AAAAAAABG7U/74GAvt47nIU/s640/Aa1.jpg)
Wajumbe wa Kamatui za Ushindi za Wanawake kisiwani Pemba wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Chama hicho, Mhe. Maalim Seif Sharif Hanmad mara baada ya kuzindua kamati hizo huko skuli ya Fidel Castro mkoa wa Kuisni Pemba.
Na. OMKR Zanzibar
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad leo amezindua Kamati za Ushindi za...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-ctji6OGamAY/VMP0r03ZDyI/AAAAAAACyaw/_tn7PfJOKX0/s72-c/5.jpg)
KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AHITIMISHA ZIARA YAKE YA SIKU KUMI KISIWANI UNGUJA,KESHO KUWASILI KISIWANI PEMBA.
![](http://2.bp.blogspot.com/-ctji6OGamAY/VMP0r03ZDyI/AAAAAAACyaw/_tn7PfJOKX0/s1600/5.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-GjL_wqY7lAA/VMP0l6gdbhI/AAAAAAACyao/FIXQQLLlgt0/s1600/6.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-75ydcxwb_AI/VMP00NUjv_I/AAAAAAACya4/wVVMpGASCI4/s1600/7.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-gmAYbv0acTg/VD7Xg9q-jFI/AAAAAAAGqxo/LCQm8LyOSF0/s72-c/unnamed%2B(6).jpg)
Airtel yakarabati duka jingine kisiwani Zanzibar, Wateja kufurahia huduma bora kutoka Airtel kisiwani Zanzibar.
Airtel Tanzania imefungua duka lake la kisasa kisiwani Zanzibar lililopo mtaa wa Mlandege lenye uwezo wa kuhudumia wateja zaidi ya 100 kwa siku. Ni duka la kisasa ambalo lipo karibu na wateja lenye kurahisisha maisha ya wateja wote wa Airtel kisiwani Zanzibar. Akizungumza katika uzinduzi wa duka hilo Mkurugenzi kwa huduma kwa wateja , Bi Adriana Lyamba alisema, "kwamba kupanua kwetu kwa huduma za mtandao kwa wateja wetu ni ishara tosha ya kuonyesha ni jinsi gani Airtel inajali wateja...
11 years ago
Habarileo12 Jul
Wasichana wabakwa, wanyongwa
WASICHANA saba wamepoteza maisha wilayani Nachingwea mkoani Lindi baada ya kubakwa na kunyongwa kisha kuwekewa vijiti na chupa kwenye sehemu zao za siri.
10 years ago
BBCSwahili15 Jan
Watanzania wanyongwa kwa mihadarati
Kasisi mmoja amefuchua kuwa kuna idadi kubwa ya wafungwa wenye asili ya Afrika katika magereza ya Hong Kong wengi wao wakiwa ni kutoka Tanzania ambao wamenyongwa.
9 years ago
BBCSwahili22 Nov
Viongozi 2 wa upinzani wanyongwa Bangladesh
Viongozi wawili wa upinzani wamenyongwa nchini Bangladesh kutokana na uhalifu wa kivita wakati wa vita vya uhuru 1971.
10 years ago
BBCSwahili02 Feb
Wanyongwa kwa kufanya ushirikina China
Wanachama wawili wa kundi la ushirikina nchini Uchina wamenyongwa kwa madai ya kumuua mwanamke mmoja katika mkahawa wa McDonald's.
5 years ago
BBCSwahili20 Mar
India: Wanaume wanne wanyongwa kwa kumbaka mwanamke ndani ya basi
Wanaume hao walishitakiwa kwa kumbaka na kumuua mwanamke katika mji mkuu wa India
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania