Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanyongwa kwa kufanya ushirikina China

Wanachama wawili wa kundi la ushirikina nchini Uchina wamenyongwa kwa madai ya kumuua mwanamke mmoja katika mkahawa wa McDonald's.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Watanzania wanyongwa kwa mihadarati

Kasisi mmoja amefuchua kuwa kuna idadi kubwa ya wafungwa wenye asili ya Afrika katika magereza ya Hong Kong wengi wao wakiwa ni kutoka Tanzania ambao wamenyongwa.

 

5 years ago

BBCSwahili

Wanaume wanne walioshtakiwa kwa ubakaji na mauaji wanyongwa nchini India

Wanaume wanne raia wa India wameuawa kwa kunyogwa nchini humo baada ya kushtakiwa kwa ubakaji na mauaji ya kinyama kwenye basi huko Delhi mwaka wa 2012

 

5 years ago

BBCSwahili

India: Wanaume wanne wanyongwa kwa kumbaka mwanamke ndani ya basi

Wanaume hao walishitakiwa kwa kumbaka na kumuua mwanamke katika mji mkuu wa India

 

11 years ago

Habarileo

Ateketezwa kwa moto kwa imani za ushirikina

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, Jacob MwaruandaMKAZI wa Kitongoji cha Chanji Kisiwani Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa, Elizabeth Mwananjela (60) ameungua na kufia ndani ya nyumba yake baada ya kuteketezwa na moto na watu wasiojulikana kisha kuibomoa.

 

10 years ago

Habarileo

320 wauawa kwa ushirikina

ZAIDI ya watu 320 wameuawa nchini katika robo ya mwaka huu wakihusishwa na ushirikina.

 

10 years ago

Habarileo

Ushirikina wahusishwa kuteketea kwa bweni

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, David MisimeWANAFUNZI wa kike 64 wa shule ya sekondari Mpwapwa hawana mahali pa kuishi baada ya bweni lao kuteketezwa kwa moto unaosadikiwa na wanafunzi ni wa kishirikina.

 

5 years ago

Michuzi

Aua wakwe zake (mme na mke) kwa tuhuma za ushirikina



Aua wakwe zake (mme na mke) kwa tuhuma za ushirikina

Na Amiri kilagalila,Njombe

Kijana aliyejulikana kwa jina la Patrick Ngailo mkazi wa Mlangali wilayani Ludewa mkoani Njombe,anashikiliwa na jeshi la Polisi kwa tuhuma za mauaji ya wakwe zake (mme na mke) akiwatuhumu ni washirikina wanaomsababishia maradhi ya mara kwa mara.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Njombe Hamis Issa amesema kijana huyo alitenda kosa hilo katika kijijji hicho June 8,2020 majira ya saa moja jioni lakini wananchi kwa...

 

10 years ago

GPL

KIKONGWE ALIYEPIGWA MAWE KWA MADAI YA USHIRIKINA HALI MBAYA

Stephano Mango, Songea
KIKONGWE Hilda Johnfan Pili (79) aliyepigwa mawe kutokana na imani za kishirikina katika Kijiji cha Kilagano, Peramiho mkoani Ruvuma hivi karibuni, bado hali yake ni mbaya kutokana na majeraha makubwa aliyoyapata. Kikongwe akiwa hoi baada ya kupigwa mawe kutokana na imani za kishirikina. Kikongwe huyo na Maurus Zenda (46) anayedaiwa kuwa ni mwanaye kiukoo, kwa pamoja walijeruhiwa vibaya baada ya kupigwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani