320 wauawa kwa ushirikina
ZAIDI ya watu 320 wameuawa nchini katika robo ya mwaka huu wakihusishwa na ushirikina.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo17 May
Ateketezwa kwa moto kwa imani za ushirikina
MKAZI wa Kitongoji cha Chanji Kisiwani Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa, Elizabeth Mwananjela (60) ameungua na kufia ndani ya nyumba yake baada ya kuteketezwa na moto na watu wasiojulikana kisha kuibomoa.
10 years ago
Habarileo21 Jan
Ushirikina wahusishwa kuteketea kwa bweni
WANAFUNZI wa kike 64 wa shule ya sekondari Mpwapwa hawana mahali pa kuishi baada ya bweni lao kuteketezwa kwa moto unaosadikiwa na wanafunzi ni wa kishirikina.
10 years ago
BBCSwahili02 Feb
Wanyongwa kwa kufanya ushirikina China
11 years ago
Dewji Blog27 Apr
‘Ushirikina’ Wakwamisha Mapambano ya Mimba kwa Wanafunzi Mbeya Vijijini
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Usoha Njiapanda iliyopo Mbeya Vijijini.
Mwenyekiti wa Kijiji cha Usoha Njiapanda, , Willson Mwamunyila (katikati) akizungumza na mwandishi wa habari hizi kijijini kwake.
Baadhi ya wanakijiji wa Kijiji cha Usoha Njiapanda wakiwa katika mkutano na mwanahabari hizi.
VITISHO na hofu ya vitendo vya ushirikina imebainika kuwa vikwanzo vya mapambano ya baadhi ya watu wanaowatia mimba wanafunzi wa shule za msingi na sekondari katika Kata ya Tembela...
10 years ago
GPLKIKONGWE ALIYEPIGWA MAWE KWA MADAI YA USHIRIKINA HALI MBAYA
5 years ago
MichuziMakete:Mwingine tena atimuliwa na wananchi kwa tuhuma za ushirikina
Na Amiri kilagalila,Njombe
Wananchi wa kitongoji cha Gongoti kijiji cha Ikonda wilayani Makete mkoa wa Njombe wameazimia kumfukuza Bi. Asteria Sanga ambaye alikuwa akiishi kijijini hapo wakimtuhumu kwa vitendo vya ushirikina
Maamuzi hayo yamefikiwa Februari 28, 2020 ikiwa zimepita takribani wiki mbili tangu wananchi wa kitongoji cha Ikonda bondeni kijijini hapo wamfukuze Bw.Mateso Mbilinyi wakimtuhumu kwa vitendo vya ushirikina.
Katika mkutano wa kitongoji hicho wananchi wamemtuhumu mama...
5 years ago
MichuziAua wakwe zake (mme na mke) kwa tuhuma za ushirikina
Aua wakwe zake (mme na mke) kwa tuhuma za ushirikina
Na Amiri kilagalila,Njombe
Kijana aliyejulikana kwa jina la Patrick Ngailo mkazi wa Mlangali wilayani Ludewa mkoani Njombe,anashikiliwa na jeshi la Polisi kwa tuhuma za mauaji ya wakwe zake (mme na mke) akiwatuhumu ni washirikina wanaomsababishia maradhi ya mara kwa mara.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Njombe Hamis Issa amesema kijana huyo alitenda kosa hilo katika kijijji hicho June 8,2020 majira ya saa moja jioni lakini wananchi kwa...
10 years ago
Habarileo25 May
Nasari atoa mifuko 320 ya saruji
MBUNGE wa Arumeru Mashariki, Joshua Nasari amechangia mifuko 320 ya saruji kwa ajili ya ukarabati wa chanzo cha maji kwenye mfereji wa Kipilipili na kuzuia upotevu wa maji uliopo baada ya kuharibika.