Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Majibu ya RC Dar yamkwaza Mnyika

MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika (CHADEMA), ameeleza kutoridhishwa na majibu yaliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiq, kuhusu mgogoro unaoendelea juu ya usafiri wa pikipiki...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mnyika ataka majibu kero ya barabara

MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika (CHADEMA), amesema amemtumia ujumbe Waziri wa Ujenzi, John Magufuli, ili atoe kauli ya serikali juu ya ujenzi wa Barabara ya Morogoro, ambao umegeuka kuwa kero...

 

11 years ago

IPPmedia

Mnyika: Budget for 2013/2014 failed to address Dar water woes


IPPmedia
Mnyika: Budget for 2013/2014 failed to address Dar water woes
IPPmedia
Ubungo lawmaker John Mnyika (Chadema) has threatened to block the tabling of the 2014/2015 Water and Irrigation ministry's Budget estimates, saying the current budget was not fully implemented. Addressing a press conference in Dodoma yesterday, the ...
Parliament budget session resume on MondayDaily News

all 2

 

10 years ago

Mwananchi

Majibu haya yanakatisha tamaa

Juzi, Mbunge wa Konde (CUF), Said Khatib Haji alitaka kujua Serikali itatimiza lini ahadi yake ya kujenga kiwanda cha matunda mkoani Tanga na akahoji sababu za kubadilisha eneo la kujenga kiwanda kutoka mkoa huo kwenda Bagamoyo, Pwani.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanaosema imekushinda tuwape majibu!

RAIS wangu mara kadhaa sasa umekuwa ukisikika ukisema, wako watu wanakwambia kuwa nchi imekushinda. Ni vema angalau kauli hii imekugusa mpaka moyoni. Umeisikia mwenyewe na mwenyewe umeisema hadharani, si mara moja...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Majibu ya mtoto wa boksi leo

MAJIBU ya vipimo vya afya vilivyofanyika juzi kwa mtoto  Nasra Rashid (4), aliyefichwa kwenye boksi mkoani Morogoro, kwa muda wa miaka minne, yanatarajiwa kutolewa leo. Mtoto huyo awali alilazwa katika...

 

11 years ago

Mwananchi

Maswali na majibu kuhusu UKIMWI

Moja ya changamoto tulizonazo katika mapambano dhidi ya VVU ni tatizo hilo kugusa kila rika na zaidi hasa vijana ambao wako katika hatari ya kupata maambukizi. Ingawa ugonjwa huu umedumu kwa zaidi ya miaka 30 sasa, lakini bado kuna maswali mengi ambayo watu hawayafahamu kuhusu ugonjwa huu.

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa: Majibu ya utafiti Oktoba 25

Matokeo ya utafiti wa Twaweza kuhusu Uchaguzi Mkuu yamepingwa na wasomi, wanaharakati na wanasiasa, akiwamo mgombea urais wa Chadema na Ukawa, Edward Lowassa ambaye ameuponda na kueleza kuwa matokeo halisi yatapatikana Oktoba 25.

 

9 years ago

Raia Mwema

Majibu yatakapotumbuliwa visisahauliwe na vipele

RAIS wa Awamu ya Tano. John Magufuli amekuja na Operesheni Tumbua Majipu.

Lula wa Ndali Mwananzela

 

11 years ago

Mwananchi

Maswali na majibu kuhusu UKIMWI (2)

Maambukizi ya VVU kwa mashine za kunyolea ni 2% ya maambukizi yote.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani