Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Majimbo sita ya ubunge ‘yako wazi’

Ikiwa imesalia miezi kumi kabla ya kufanyika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa, hadi sasa majimbo sita yako wazi baada ya wabunge wanaoyaongoza kutangaza kutogombea tena ubunge.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

CUF kupinga matokeo ya ubunge majimbo sita

NA PATRICIA KIMELEMETA, DAR ES SALAAM

CHAMA cha Wananchi (CUF) kinatarajia kufungua kesi katika mahakama mbalimbali nchini kupinga matokeo ya majimbo sita katika uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 25, mwaka huu.

Akizungumza na waandishi wa habari  Dar es Salaam jana, Ofisa wa Haki za Binadamu na Sheria wa CUF, Mohamed Mluya, aliyataja majimbo hayo kuwa ni   Lindi Mjini, Newala, Mtwara Vijijini, Pangani, Mbagala na Tabora Mjini ambayo uchaguzi wake uligubikwa na dosari mbalimbali.

Alisema...

 

9 years ago

Mwananchi

Ukawa wapinga ushindi wa CCM majimbo sita

Vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa); NCCR – Mageuzi na Chadema vimefungua kesi mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi wa ubunge katika majimbo sita.

 

10 years ago

Habarileo

Wanachama 17 CCM wawania ubunge majimbo ya Dodoma

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman KinanaMAKADA 17 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamejitokeza kuchukua fomu za kuwania Ubunge katika Majimbo ya Dodoma Mjini, Mtera, Chilonwa, Mpwapwa na Kibakwe.

 

10 years ago

Vijimambo

KATIKA MAJIMBO 28 HAWA NDIO WALIOPITISHWA KUGOMBEA UBUNGE KUPITIA CCM


KURA ZA MAONI CCM
1. Mwigulu - Iramba2. Nape - Mtama3. Mwakasaka - Tabora Mjini4. Mama Sitta - Urambo5. Kadutu - Ulyankulu6. Bashe - Nzega7. Ngeleja - Sengerema8. Seif - Igunga ktk jimbo jipya.9. Masaburi - Ubungo10. Patel - Ukonga11. Prof Kamala - Nkenge, Misenyi12. Kagasheki - 13. Lukuvi - Isimani14. January - Bumbuli
15. Muhongo - Musoma vijijini16. Ndugai - Kongwa17. Chumi - Mafinga18. Kigola - Mufindi kusini19. Mgimwa - Mufindi kaskazini20. Filikunjombe - Ludewa21. Mgimwa - Kalenga...22....

 

11 years ago

Mwananchi

Sita Chadema wawania ubunge jimboni Chalinze

 Wanachama sita wa Chadema wamechukua fomu kuwania Ubunge wa Jimbo la Chalinze, Mkoa wa Pwani katika uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika mapema Aprili, mwaka huu.

 

9 years ago

Mwananchi

Mgombea ubunge wa Chadema ahukumiwa miezi sita

Mgombea ubunge katika Jimbo la Kilombero mkoani Morogoro kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Peter Lijuakali amehukumiwa kifungo cha nje cha miezi sita baada ya kukutwa na hatia ya kumtukana ofisa mtendaji wa kata.

 

9 years ago

Vijimambo

TAZAMA HAPA MAJINA YA WAGOMBEA WA CHADEMA PAMOJA NA MAJIMBO WATAKAYOGOMBEA UBUNGE KUPITIA UKAWA

MARA 
Rorya - STEVEN J OWAWA
Tarime Mjini - ESTHER N MATIKO
Tarime Vijijini - JOHN HECHE
Musoma Vijijini - ZAKARIA MBULA CHIRAGWILE
Butiama - YUSUPH R KAZI
Bunda Mjini - ESTHER BULAYA
Mwibara - HARUN D CHIRIKO
Musoma Mjini - VINCENT J NYERERE
Bunda Vijijini - SULEIMAN DAUDI


SIMIYU 
Bariadi - GODWIN SIMBA
Maswa Magharibi - ABDALA PATEL
Maswa Mashariki - SYLVESTER KASULUMBAYI
Kisesa - MASANJA MANANI
Meatu - MESHACK OPULUKWA
Itilima - MARTINE MAGILE


SHINYANGA 
Msalala - PAULO MALAIKA
Kahama Mjini - JAMES...

 

9 years ago

Dewji Blog

Kamati kuu ya CCM Taifa yateua wagombea Ubunge katika majimbo mawili ya Singida Mashariki na Kiteto

1

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Sekretarieti, Makao Makuu ya CCM, Ofisi Ndogo Lumumba.

2015 – Nape – Press Conf – Kamati Ya Kampeni Za Uchaguzi 2015 – 18.8.2015

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani