MAJUTO, MSANII WAMIMINIANA MABUSU
![](http://api.ning.com:80/files/-a-FzCyHE-DFGhxbqiAGVJNU0378edKu*iIxc9KmTlUAAoUZaANN62Z8iDm6jUVUSprulhra5vcxuItDmstcdxI4rird404C/majuto.jpg?width=650)
Stori: IMELDA MTEMA MH! Mchekeshaji maarufu Bongo, Amri Athuman ‘King Majuto’ ameibua utata wa aina yake baada ya kunaswa na msanii wa filamu aitwaye Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ wakimiminiana mabusu motomoto. Mchekeshaji maarufu Bongo, Amri Athuman ‘King Majuto’ akipokea busu tata kutoka kwa msanii wa filamu Sabrina Omary ‘Sabby Angel’. Akizungumza na paparazi wetu mara...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi20 Feb
MSANII KING MAJUTO,LUFINGO,MUHOGOMCHUNGU WATOKA NA XDENT
![](https://4.bp.blogspot.com/-UFKO6fVytfU/UwUbuUBZqcI/AAAAAAAANKY/lUHX4NYWoyE/s1600/POSTAZ.jpg)
utakutana na King Majuto, Muhogo Mchungu, Lufingo, Mzee Pembe na wasanii mbalimbali walio bobea katika sanaa hii ya filamu nchini
filamu hiyo iliyorekodiwa kwa ubora wa hali ya juu na umakini mkubwa yenye mafundisho ndani yake itakuwa chachu kwa jamii...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BM3*tIQqFL-1t3czhDzsBUqICqnJMEUxUqXlhDUEAv5oxnwf3WghA0*A0Y7EoYtu8s5peei4r7X8AMzH26KCzD1xC4a0cCI3/Vikongwe...jpg)
VIKONGWE WAMWAGIANA MABUSU KWAUPEE!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/m1tWer77BeBrwiFVde9KBWa0g7ITPNYaxG6*FPWpJnJQmoPVVRAdeXJghhOzEb1F*YfGABnillQW7LMd-8n5NpcLPajY4B5q/sharapova.jpg?width=650)
SHARAPOVA, MWENZAKE WAMMIMINIA MABUSU NYAMWELE
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Q7T2q86GkzXwNflOhDKo5JHZ4bTAXK8PPtRa40dfkvPRRCCMTzMl8bdJ0FxFrM**V8JlL-ovgW63disT51sKb6dCDUsjpKcJ/jini.jpg)
BAADA YA KADINDA, WEMA AMSHUSHIA MABUSU MTANGAZAJI
5 years ago
BBCSwahili14 Mar
Coronavirus: Rais Magufuli atoa angalizo la utamaduni wa salamu za mikono na mabusu
10 years ago
Raia Tanzania13 Aug
Watanzania, majuto ni mjukuu!
UKIWAANGALIA Watanzania wa leo utaona kwenye fikra zao, nyuso zao na hisia zao utaona wazi kabisa kuwa iko kiu ya mabadiliko. Watu wanataka mabadiliko wamechoka na mazoea waliokuwa nayo na ambayo yanaendelea kuwafanya wawe dhalili.
Kila mtu anatamani mambo yaache kuwa na hali ilivyo sasa, anatamani yachukue mkondo mpya na njia mbadala ambayo inaweza kuwa na matumaini. Katika hali hii unatarajia kuwa wao ndiyo wawe chemichemi na chachu ya mbadiliko.
Bahati mbaya kwetu ni kwamba,...
10 years ago
Bongo Movies31 May
King Majuto Agutuka
Staa mkongwe wa filamu za vichekesho King Majuto ameamua kufanya filamu zake mwenyewe na si zakushirikishwa kama kipindi cha nyuma.
Akizungumza na gazeti la Nipasge wiki hii, Majuto alisema ameamua kuwa anatoa filamu zake baada ya kuona vijana wadogo ambao wameanza kazi za uigizaji hivi karibuni wanafanya kazi za kutengeneza filamu zao wenyewe katika kampuni zao.
Majuto alisema anatafakari mbinu za kujiekea mazingira mazuri kwa ajili ya kutengeneza filamu zake.
“Nimechoka kucheza...