Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHARAPOVA, MWENZAKE WAMMIMINIA MABUSU NYAMWELE

Stori: Mwandishi Wetu
MAHABA? Mnenguaji grade one Bongo, Asha Sharapova na mwenzake, Titi Mwinyi wamenaswa wakimmiminia mabusu motomoto, mnenguaji mwenzao wa Bendi ya Extra Bongo, Super Nyamwela. Mnenguaji mpya wa Bendi ya Extra Bongo ‘Wazee wa Kizigo’, Asha Said ‘Sharapova’. Tukio hilo lililogusa hisia za ‘wataalam wa mambo’, lilitokea hivi karibuni pande za Sinza-Afrika Sana jijini...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAJUTO, MSANII WAMIMINIANA MABUSU

Stori: IMELDA MTEMA
MH! Mchekeshaji maarufu Bongo, Amri Athuman ‘King Majuto’ ameibua utata wa aina yake baada ya kunaswa na msanii wa filamu aitwaye Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ wakimiminiana mabusu motomoto. Mchekeshaji maarufu Bongo, Amri Athuman ‘King Majuto’ akipokea busu tata kutoka kwa msanii wa filamu Sabrina Omary ‘Sabby Angel’. Akizungumza na paparazi wetu mara...

 

10 years ago

GPL

VIKONGWE WAMWAGIANA MABUSU KWAUPEE!

Na Dustan Shekidele, MOROGORO/Amani
MAPENZI bwana! Mohamed Khalfan ambaye ni kikongwe wa miaka 78 mwenye ulemavu wa ukoma na mkewe, Habiba Shomari (68) hivi karibuni waliwashangaza watu baada ya kuamua kumwagiana mabusu hadharani. Bw. Mohamed Khalfan(78) akimchumu mkewe, Bi. Habiba Shomari(68). Tukio hilo lilijiri kwenye Kambi ya Walemavu wa Ukoma ya Chazi iliyopo Kata ya Chazi wilayani Mvomero mkoani hapa ambapo kulikuwa na...

 

11 years ago

GPL

BAADA YA KADINDA, WEMA AMSHUSHIA MABUSU MTANGAZAJI

Stori: Mwandishi Wetu
UTAMU kolea! Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ametengeneza kichwa cha habari kwa mara nyingine baada ya picha inayomuonesha akimshushia mabusu Mtangazaji wa East Africa Television ‘EATV’, Tonny Albert ‘T-bway 260’ kunaswa. Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu akimshushia mabusu Mtangazaji wa East Africa Television ‘EATV’, Tonny Albert ‘T-bway 260’...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Rais Magufuli atoa angalizo la utamaduni wa salamu za mikono na mabusu

Rais wa Tanzania, John Magufuli ametoa tahadhari kuhusu ugonjwa unaotokana na virusi vya corona, akiwataka kutopuuza kwani mpaka sasa umegharimu maisha ya watu wengi duniani.

 

9 years ago

BBCSwahili

Majeraha yamuandama Sharapova

Nyota wa tenesi Maria Sharapova ameendelea kuandamwa na majeraha kwenye michuano ya wazi ya Wuhan huko China

 

9 years ago

BBCSwahili

Maria Sharapova kuikosa US Open

Nyota namba tatu wa mchezo wa Tenesi duniani kwa upande wa wanawake Maria Sharapova amejitoa kushirikia michuano Us Open

 

10 years ago

BBCSwahili

Murray,Sharapova waendeleza ushindi

Nyota wa Tenesi Andy Murray ameendeleza wimbi ushindi katika michuano ya wazi ya Melbourne

 

11 years ago

TheCitizen

Tennis star Sharapova still shines

Maria Sharapova exploded onto the international scene 10 years ago as a 17-year-old with a spectacular straight sets demolition of Serena Williams in the 2004 Wimbledon final.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani