VIKONGWE WAMWAGIANA MABUSU KWAUPEE!
Na Dustan Shekidele, MOROGORO/Amani MAPENZI bwana! Mohamed Khalfan ambaye ni kikongwe wa miaka 78 mwenye ulemavu wa ukoma na mkewe, Habiba Shomari (68) hivi karibuni waliwashangaza watu baada ya kuamua kumwagiana mabusu hadharani. Bw. Mohamed Khalfan(78) akimchumu mkewe, Bi. Habiba Shomari(68). Tukio hilo lilijiri kwenye Kambi ya Walemavu wa Ukoma ya Chazi iliyopo Kata ya Chazi wilayani Mvomero mkoani hapa ambapo kulikuwa na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMAJUTO, MSANII WAMIMINIANA MABUSU
11 years ago
GPLSHARAPOVA, MWENZAKE WAMMIMINIA MABUSU NYAMWELE
11 years ago
GPLBAADA YA KADINDA, WEMA AMSHUSHIA MABUSU MTANGAZAJI
5 years ago
BBCSwahili14 Mar
Coronavirus: Rais Magufuli atoa angalizo la utamaduni wa salamu za mikono na mabusu
10 years ago
Habarileo04 May
Vikongwe wanaswa na magobole
JESHI la Polisi mkoani Katavi linawashikilia watu tisa wakiwemo vikongwe wa miaka 80 na 70 baada ya kukamatwa wakiwa na bunduki tatu za kienyeji aina magobole, risasi zake 15, mtambo wa kutengenezea silaha, baruti na sare za Jeshi la Wananchi la Ulinzi na Usalama (JWTZ).
11 years ago
Tanzania Daima09 Mar
Mauaji ya vikongwe yamuumiza Liana
MAUAJI ya vikongwe wilayani Magu, Mwanza yametajwa kuwa chanzo cha jamii kuishi kwa hofu ya usalama wa maisha yao jambo linalosononesha. Mkuu wa Wilaya ya Magu, Jacqueline Liana, aliyasema hayo...
9 years ago
BBCSwahili14 Oct
Mauaji ya vikongwe yatakoma Tanzania?
11 years ago
Mwananchi05 May
Mauaji ya vikongwe yazidi kutikisha Bukombe