Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makaburi 2,514 kuhamishwa

MAKABURI 2, 514 yaliyoko eneo la Stendi Ndogo Jijini Arusha, yatahamishwa kupisha ujenzi wa miundombinu, ikiwemo stendi ya kisasa ya kushusha na kupakia abiria.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Idris Sultan aibuka mshindi wa shilingi milioni 514 za Big Brother

Idris Sultan ndio mshindi wa Big Brother Africa Hotshots. Baada ya kutupa karata yake kwa takriban miezi miwili ndani ya jumba hilo lililopo nchini Afrika Kusini, Afrika imemchagua kuwa mshindi wa msimu huo wa Big Brother na hivyo kushinda kitita cha $300,000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 514 za Tanzania. Idris ambaye ni mpiga […]

 

11 years ago

Michuzi

SERIKALI YAWAPA VYETI VYA URAIA WATANZANIA WENYE ASILI YA KISOMALI 1,514

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kulia) akimpa cheti cha uraia wa Tanzania, Mkimbizi wa Kisomali mwenye asili ya Kibantu, Ramadhani Haji katika hafla iliyofanyika katika Kijiji cha Chogo, Wilaya ya Handeni mkoani Tanga. Waziri Chikawe alitoa vyeti vya uraia kwa wakimbizi 1,514 waliopo katika Makazi ya Chogo ambao waliomba kupewa uraia kwa mujibu wa Sheria ya Tanzania. Kulia kwa Waziri ni Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Kimataifa la Kuwahudumia Wakimbizi (UNHCR), Joyce...

 

10 years ago

Habarileo

Wakimbizi waomba kuhamishwa kambi

WAKIMBIZI wa Burundi wameiomba serikali ya Tanzania kufanya haraka kuwahamishia katika kambi nyingine kutokana na kambi ya Nyarughusu kujaa mno.

 

10 years ago

Habarileo

Waandamana kupinga kuhamishwa eneo la CN

WAFANYABIASHARA wa daladala zinazofanya safari zake kati ya Bunda na Musoma, waendesha bodaboda na wajasiriamali wakiwemo mama lishe, juzi waliandamana na kwenda kwa Mkuu wa wilaya ya Bunda, wakipinga kitendo cha kuhamishwa eneo la CN, lililoko mjini Bunda wanakofanyia biashara yao.

 

10 years ago

BBCSwahili

Somalia yapinga kuhamishwa kwa wakimbizi

Somalia imesema kuwa kutakuwa na madhara makubwa iwapo Kenya itatekeleza uamuzi wake wa kuwahamisha mamia ya wakimbizi

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Nyarandu azungumza na wanahabari kuhusu uvumi wa kuhamishwa kwa jamii ya wamasai katika hifadhi ya ngorongoro

Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Lazaro Nyalandu akizungumza na Waandishi wa Habari (hawako pichani) katika Ukumbi wa Habari wa Bunge Mjini Dodoma leo Novemba 21,2014, kuhusu Uvumi ulioanza kuenea kuwa jamii ya wamasai wanaoishi katika hifadhi ya Hifadhi ya Ngorongoro kuwa watahamishwa.

 

5 years ago

Michuzi

WAFUASI WA CHADEMA ARUSHA WAFURAHIA ALIYEKUWA KAMANDA WA POLISI MKOA HUO KUHAMISHWA, WENGINE WASIKITISHWA


Na Woinde Shizza, Michuzi Tv- Arusha

WAFUASI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) wamefurahia uhamisho wa kikazi wa aliyekuwa Kamanda wa polisi Mkoa wa Arusha Jonathan Shanna ambaye amehamishiwa katika chuo cha mafunzo ya Polisi CCP kuwa Ofisa Mnadhimu rasilimali watu,Fedha na vifaa mkoani Kilimanjaro.

Shanna ambaye alifanikiwa kutekeleza amri ya Rais John Magufuli ya kuzuia mikutano ya vyama vya siasa mkoani Arusha,wafuasi wa chadema wameonekana kuchekelea uhamisho huo wakidai kwamba...

 

10 years ago

BBCSwahili

Makaburi yafukuliwa Tikrit

Wataalamu wa kuchunguza maiti, wameanza kuyafukua zaidi ya makaburi 12 ya halaiki, katika mji wa Tikrit nchini Iraq

 

10 years ago

Habarileo

JK aweka mashada makaburi ya marais

Rais Jakaya Kikwete.RAIS Jakaya Kikwete ametembelea na kuweka mashahada ya maua ya marais watatu wa Zambia katika eneo la Maziko ya Marais katikati ya Jiji la Lusaka, Zambia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani