Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makalla aonja joto la CHADEMA

KITENDO cha wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kupenyeza siasa katika mikutano ya kiserikali, kimemponza Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla, baada ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Chadema, CCM wakunjana ziara ya Makalla

Ziara ya Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla jana iliingia dosari baada ya Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kinondoni, Salum Madenge na Diwani wa Kata ya Kimara, Paschal Manota (Chadema), kurushiana matusi mbele ya wananchi na nusura wakunjane mashati.

 

11 years ago

Dewji Blog

Wafuasi wa CCM,CHADEMA nusura wazitwange mkutano wa Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla

01

Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, Idd Azzan wa CCM (KULIA), akiamulia ugomvi wa Diwani wa Kimara, Pascal Manota wa Chadema (kushoto) na Mwenyekiti wa CCM, Wilaya ya Kinondoni, Salum Madenge waliotaka kuzichapa ulipotokea mzozo katika mkutano wa hadhara wa Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla katika Uwanja wa Shule ya Mavurunza, Kata ya Salanga, Jimbo la Ubungo, Dar es Salaam jana.

Na Mwandishi wetu

Jitihada za Mbunge wa Ubungo John Mnyika kuwazuia wananchi wasiendelee kumzomea Naibu waziri wa...

 

10 years ago

GPL

USHINDI WA CHADEMA SUMBAWANGA, VIGOGO CCM TUMBO JOTO

John Mnyika. Stori: MWANDISHI WETU
Kufuatia ushindi wa kishindo walioupata Chama cha Demokrasia na Maendeleo  (Chadema) katika uchaguzi wa marudio wa serikali za mitaa uliofanyika wiki hii katika kata tatu za Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa, viongozi wa juu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ngazi ya mkoa na taifa, wanadaiwa kuhaha huku na kule ili kujua chanzo cha kushindwa huko. Kwa mujibu wa chanzo chetu, ushindi huo...

 

5 years ago

Michuzi

JOTO LA URAIS CHADEMA LAPAMBA MOTO, MCH MSIGWA ATAJA MAMBO MATATU ATAKAYOYAFANYA AKIWA RAIS


Charles James, Michuzi TV

UCHUMI imara, kusimamia utawala bora na kuboresha elimu nchini, ndivyo vipaumbele vitatu ambavyo Mtia nia wa Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mch Peter Msigwa amevitaja.

Mch Msigwa ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini ametangaza rasmi nia yake hiyo ya kugombea Urais kupitia Chadema leo jijini Dodoma ambapo pia alisindikizwa na wabunge wenzake, Godbless Lema, Joseph Mbilinyi 'Sugu' Hawa Mwaifunga na John Heche.

Akizungumza na wandishi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sitta aonja shubiri

MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, na Waziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Samuel Sitta, jana alipata wakati mgumu baada ya kulakiwa na kundi kubwa la watu, wengi wao wakiwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Mkenya Naggi aonja jeuri ya Yanga

Mkurugenzi wa Uufundi wa Yanga, Patrick Naggi aliyetangaza kumwaga manyanga hivi karibuni kwakile alichodai ni ubabaishaji wa viongozi wa klabu hiyo, bado anaendelea kusota Dar es Salaam akisubirli mafao yake.

 

11 years ago

GPL

MAGIGE AONJA MACHUNGU YA MAADUI WA ZITTO

Na Mwandishi Wetu
KUNDI la watu ambao inadaiwa kwamba wamekula yamini ya kumchafua Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe kwa namna yoyote ile, wamemuonjesha machungu Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Arusha, Catherine Magige. Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Arusha, Catherine Magige. Zitto, baada ya msululu wa tuhuma ambazo nyingi zilibainika kupikwa makusudi ili kuichafua taswira yake mbele ya jamii, sasa...

 

10 years ago

Michuzi

ankal aonja na kushuhudia live uendeshaji wa kizembe barabarani...

Kamanda Mpinga na kikosi chake cha Usalama Barabarani kweli wana kazi. Ankal kalishuhudia hili wakati akirejea kutoka Dodoma kikazi kurudi Dar es salaam ambapo wakati akisafiri barabara ya Morogoro alikutana na mambo ya kutisha yanayoelekea kuendelea katika barabara zetu na kupelekea ajali za kila siku.  Kwanza Ankal alishuhudia ajali za barabarani takriban tatu hivi katika siku moja tu ya Machi 20, 2015 ambapo alishuhudia lori la semi-trela za gari (zote) za Scania ambapo ya kwanza ilikuwa...

 

11 years ago

GPL

WAZIRI MAKALLA...

Stori: Mwandishi Wetu
NAIBU Waziri wa Maji, Mheshimiwa Amos Makalla amegeuka mbogo kufuatia madai ya kukwepa kodi kupitia gari analodaiwa kulimiliki aina ya Toyota Dyna lililokamatwa na maofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wilayani Mvomero mkoani Morogoro hivi karibuni. Naibu Waziri wa Maji, Mheshimiwa Amos Makalla Akizungumzia habari zilizoandikwa na gazeti moja linalotoka kila siku nchini kukanusha tuhuma hizo,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani