Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAKALLA ATAKA TATHMINI MPYA BWAWA LA MWANJORO MEATU

Na Athumani Shariff Naibu Waziri wa Maji, Mh. Amos Makalla amewaagiza wataalamu wa maji kutoka Wizara ya Maji na Sekretarieti ya Mkoa wa Simiyu kufanya tathmini mpya ya bwawa la Mwanjoro lililopo katika kijiji cha Jinamo umbali wa kilometa 35 kutoka makao makuu ya Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu. Makalla alilazimika kutembelea bwawa hilo baada ya kupokea maombi ya Mkuu wa Wilaya ya Meatu Rosemary Kiring’ini kuja kujionea hali halisi ya bwawa la Mwanjoro. Kiring’ini alisema taarifa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TATHMINI YA ARDHI YA BANDARI MPYA YA MBEGANI, BAGAMOYO, YAKAMILIKA

Na Saidi Mkabakuli  Tathmini iliyokuwa ikifanyika katika kutimiza ndoto ya kuwa na Bandari mpya ya Mbegani kufikia mwaka 2017 na kutekeleza Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano (2011/12 - 2015/16) imekamilika kwa takribani asilimia 90 ya eneo zima la mradi huo.   Hayo yamedhihirishwa na Mthamini Mkuu wa Ardhi ya Mradi huo, Mhandisi Emmanuel Mrema wakati akizungumza wakati wa mkutano wa pamoja na Timu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango ilipofanya...

 

10 years ago

Mwananchi

Ni mwaka wa tathmini na fikra mpya kwenye elimu yetu

Wiki hii inahitimisha mwaka 2014 na kuanza rasmi Mwaka Mpya 2015. Ni jambo la kumshukuru Mungu kwa neema zake katika mambo yote aliyotujalia mwaka mzima uliopita.

 

9 years ago

Dewji Blog

Mradi wa maji wa sh Milioni 343 wazinduliwa kijiji cha Mabogini, RC Makalla ataka vyanzo vya maji vitunzwe

Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro Amos Makalla mwenye miwani akizindua huduma ya maji katika kijiji cha Mabogini, mkoani Kilimanjaro wenye thamani ya Sh Milioni 343.

Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro

ZAIDI ya wananchi 3000 wa kijiji cha Mabogini, kitongoji cha Shabaha, mkoani Kilimanjaro, watanufaika na huduma ya maji safi na salama, baada ya kupelekewa mradi wenye thamani ya Sh Milioni 343. Mradi huo uliozinduliwa jana na Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro, Amos Makalla, umesimamiwa na Mamlaka ya Maji Safi...

 

10 years ago

Michuzi

Makalla akabidhi pikipiki 5 kwa kata mpya Mvomero

Naibu Waziri wa Maji na Mbunge wa Mvomero, Amos Makalla amekabidhi pikipiki tano kwa kata mpya tano za Chama cha Mapinduzi (CCM) ili kuwasaudia watendaji na viongozi wa Chama kufanya kazi za Chama kwa wepesi na ufanisi.
Akikambidhi pikipiki hizo, Mbunge wa Mvomero alimueleza mwenyekiti wa wilaya ya Mvomero ndg Abdalah Mtiga kuwa msaada huo ni muendelezo wa kukisaidia Chama wilaya ya Mvomero kwani awali alisaidia pikipiki 23 na hizo 5 inafanya jumla ya pikipiki alizosaidia Chama kuwa 28 zenye...

 

11 years ago

Michuzi

KONGAMANO LA TATHMINI YA MIAKA 13 YA UTEKELEZAJI WA SERA MPYA YA MAMBO YA NJE LAFANYIKA DAR ES SALAAM

 Waziri wa Ardhi na Makazi Profesa Anna Tibaijuka akitoa mchango wake katika Mada ya Ushirikiano wa Vijana katika vyama vya Siasa Kimataifa wakati wa Kongamano la Tathmini ya Miaka 13 ya Utekelezaji wa Sera Mpya ya Mambo ya Nje -Diplomasia ya Uchumi , Mafanikio na Changamoto lililofanyika kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam,Julai 5.2014. Mwakilishi wa Mgeni Mualikwa Balozi Joseph Sokoine akizungumza na Vijana waliohudhuria Kongamano la Tathmini ya Miaka 13 ya Utekelezaji wa Sera...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kocha mpya Stars ataka muda

KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Martinus Ignatus ‘Mart Nooij’, ameshindwa kuzungumzia kiwango alichokiona juzi dhidi ya Burundi na kudai kuwa anatakiwa kupewa muda ili afanye...

 

11 years ago

BBCSwahili

Kiongozi ataka serikali mpya Uraq

Kiongozi wa madhehebu ya Shia nchini Iraq Ayatollah Ali al-Sistani ametaka kuundwa haraka kwa serikali mpya.

 

11 years ago

Dewji Blog

CCM Meatu yazoa viongozi wa CHADEMA

-Mwenezi wa Chadema Wilaya ya Meatu arudi CCM pamoja na viongozi wengine wa Chadema

-Lugaila Madama aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema kata ya Mwandoya arudi CCM

-Miyeye Robert aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema kata ya Kisesa arudi CCM

unnamed

Aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Chadema wilaya ya Meatu Kimwaga Jackson Ndibo akirudisha vitu vya Chadema zikiwemo kadi, bendera na katiba kwa viongozi wa CCM baada ya kurudi rasmi.

unnamed (1)

Mwenyekiti wa Vijana  mkoa wa Simiyu na MNEC wa Itilima Ndugu Njalu Silanga...

 

10 years ago

Daily News

Search for missing Meatu herdsmen futile so far


Search for missing Meatu herdsmen futile so far
Daily News
THE two-week long search for the two cattle grazers who went missing since May 29 in the wilderness of Meatu District in Simiyu Region have produced no new results and now the exercise may extend to as far as Karatu District in Arusha Region and Mbulu ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani