Makamanda wa Kosovo washtakiwe - Ripoti
Mwendesha mashtaka kutoka kwa Jumuia ya Ulaya amesema baadhi ya viongozi wa zamani wa Jeshi la Kosovo, wanapaswa kushtakiwa.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili10 Dec
Kosovo yatambuliwa na kamati ya Olimpic
Kamati ya Olimpic ya kimataifa imeitambua Kosovo kama mwanachama wake,hii ina maana kwamba jimbo la Serbia linaweza kuingiza timu .
11 years ago
BBCSwahili30 Jul
Viongozi wa zamani Kosovo kushitakiwa
Waendesha mashitaka wa jumuiya ya Ulaya wamesema kuwa baadhi ya viongozi wa zamani wa Kosovo wanastahili kufunguliwa mashitaka
10 years ago
Habarileo01 Apr
IGP apangua makamanda
INSPEKTA Jenerali wa Polisi, IGP Ernest Mangu amefanya mabadiliko kwa baadhi ya makamanda wa polisi wa mikoa (RPC).
9 years ago
BBCSwahili27 Aug
Makamanda wa Iraq wauawa na waasi wa I-S
Makamanda wawili wa ngazi ya juu katika jeshi la Iraq wameuawa katika shambulio la bomu lililotegwa ndani ya gari.
9 years ago
BBCSwahili31 Aug
Makamanda wa Boko Haram wakamatwa
Idara ya ujasusi nchini Nigeria zinasema kuwa zimewakamata takriban makamanda ishirini wa kundi la Boko Haram
10 years ago
BBCSwahili02 Jul
Vikwazo kwa makamanda wa S Sudan
Umoja wa Mataifa umeweka vikwazo hivyo dhidi ya makanda sita Sudan Kusini
9 years ago
BBCSwahili14 Sep
Makamanda wa Sudan.K wakutana Ethiopia
Makamanda wa kijeshi kutoka pande mbili zinazopigana nchini Sudan Kusini wanakutana mjini Addis Ababa nchini Ethiopia
10 years ago
Mwananchi29 Mar
UVCCM inavyomezwa na makamanda wafanyabiashara
Wakati alipoingia madarakani, Rais Jakaya Kikwete alieleza mara kwa mara dhamira yake ya kutenganisha biashara na siasa na kwamba angeunda sheria ya kuzuia jambo hilo, lakini hali inaonekana kuwa tofauti ndani ya chama chake cha CCM, ambacho wafanyabiashara wanazidi kufurika kwa mgongo wa makamanda wa vijana.
10 years ago
BBCSwahili21 Aug
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania