Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makampuni ya mafuta yatakiwa yatosheleze soko la ndani - Pinda

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ameyataka makampuni yanayojihusisha na mafuta na gesi nchini, kuhakikisha yanatimiza mahitaji ya Soko la Ndani na ukanda wa Afrika Mashariki kabla ya kufikia Soko la Nje.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MAKAMPUNI YA UTALII YATAKIWA KUTANGAZA UTALII NDANI NA NJE YA NCHI

IMG-20140704-WA0013Waziri wa Maliasili na utalii Mh. Lazaro Nyarandu akifungua rasmi mkutano wa 30 wa asasi ya wamiliki wa makampuni ya kusafirisha watalii TATO jijini Arusha hivi karibuni. IMG-20140704-WA0009Wadau mbalimbali wa utalii wakisikiliza mada kwa umakiniIMG-20140704-WA0004MAKAMPUNI ya kitalii hapa nchii yametakiwa kuutangaza kwa kiasi kikubwa utalii wa vivutio vyetu hapa nchini  ndani ya nchi pamoja na nje ya nchi ili kuwapa wanachi moyo wa kizalendo katika kujali vivutio walivyo navyo. Hayo yalisemwa juzi jijini Arusha na waziri...

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMPUNI YA MAWASILINANO YA SIMU YATAKIWA KUBORESHA HUDUMA BORA KWA WATEJA WAO ILI KUONDOA MALALAMIKO

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya akifungua semina ya kuwaelimisha na kuwahamasisha watumiaji wa Huduma za Mawasiliano iliyoandaliwa na Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano (TCRA-CCC) katika ukumbi wa Mkapa jijini Mbeya Desemba 15 -2015. Wananchi na baadhi ya watumishi wa serikali na mashirika binafsi wakisikiliza kwa Makini Hotuba ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Ndugu Abbas Kandoro katika semina ya kuwaelimisha na kuwahamasisha watumiaji wa huduma za Mawasiliano Mkoa wa Mbeya Desemba 15...

 

5 years ago

Michuzi

DC ayataka makampuni mafuta na gesi kuimarisha mifumo ya usalama na afya kazini

Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Bi. Sarah Msafiri akiongea na wadau wa Mafuta na gesi (ambao hawapo pichani), Kikao kilichofanyika Ofisi za Mkuu wa Wilaya Kigamboni kwaajili ya kujadiliana masuala ya usalama na afya mahali pa kazi kwa wanyafanyakazi wa sekta hiyo.

Kaimu Mtendaji Mkuu wa OSHA Bi Khadija Mwenda akiongea kwenye Kikao na wadau wa mafuta na gesi, kwenye kikao cha Kujadiliana masuala ya utekelezaji wa masula ya usalama na Afya kwenye sekta hiyo, kilichofanyika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya...

 

10 years ago

Michuzi

TEMESA YATAKIWA KULIKABILI SOKO LA USHINDANI NCHINI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Mussa Iyombe amezungumzia umuhimu wa Wakala wa Ufundi na Umeme nchini (TEMESA) kutangaza huduma wanazozitoa kwa wananchi ili jamii iweze kunufaika na huduma hizo kwa wakati na  gharama nafuu.
Akizungumza na Menejimenti ya TEMESA jijini Dar es salaam leo, Eng. Iyombe amesisitiza Wakala huo kuwa na wafanyakazi wenye weledi, waliokabidhiwa mamlaka kamili na wabunifu ili kuhuisha huduma zinazotolewa kwa wananchi na kujiongezea mapato.
“Hakikisheni mnatumia...

 

11 years ago

Michuzi

MH. PINDA AKUTANA NA VIONGOZI WA MAKAMPUNI YA SOMITO NA CITI BANK

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na viongozi wa Citi Bank ofisini kwake jijini Dar es salaam Julai 23, 2014. Kulia kwake ni Waziri wa Uchukuzi , Dr. Harrison Mwakyembe. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Citi Bank baada ya kuzungumza nao , Ofisini kwake jijini Dar es salaam julai 23, 2014. kushoto ni Waziri wa Uchukuzi aliyemabatana na ujumbe huo na kushoto kwa Waziri Mkuu, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dr....

 

11 years ago

Dewji Blog

Pinda akutana na viongozi wa makampuni ya Somito na Citi Bank

PG4A5925

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na   viongozi wa  Citi Bank  ofisini kwake  jijini Dar es salaam Julai 23, 2014. Kulia kwake ni Waziri wa Uchukuzi , Dr. Harrison Mwakyembe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A5939

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Citi Bank baada ya kuzungumza nao , Ofisini kwake jijini  Dar es salaam julai 23, 2014. kushoto ni Waziri wa Uchukuzi aliyemabatana na ujumbe huo na kushoto kwa Waziri Mkuu, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri...

 

11 years ago

Mwananchi

Gesi kuathiri soko la mafuta

Katibu Mkuu mstaafu wa Wizara ya Nishati na Madini kuanzia mwaka 1972 hadi 1974, Dk Ben Moshi amekiri kwamba ujio wa matumizi ya gesi katika huduma mbalimbali nchini, unaweza kuathiri kampuni nyingi za mafuta zinazofanya biashara nchini.

 

11 years ago

Michuzi

Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala yakaribishwa rasmi Soko la Hisa la Dar

Rais mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Mh.Alhaj Ali HAssan Mwinyi akigonga kengele kuashiria kuingia rasmi kwa kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala kwenye Soko la Hisa la Dar es salaam. Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala Bw. David Mestres akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa sherehe za kukaribishwa rasmi kwa kampuni ya Swala kwenye soko la Hisa la Dar Es Salaam. Mwenyekiti wa Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala Bw. Ernest...

 

11 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala yakaribishwa rasmi Soko la Hisa la Dar es Salaam

1

Rais mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Mh.Alhaj Ali Hassan Mwinyi akigonga kengele kuashiria kuingia rasmi kwa kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala kwenye Soko la Hisa la Dar es salaam. 2

Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala Bw. David Mestres akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa sherehe za kukaribishwa rasmi kwa kampuni ya Swala kwenye soko la Hisa la Dar Es Salaam.

4

Mwenyekiti wa Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala Bw. Ernest...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani