Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makamu wa Rais wa Fifa, Blatter kuchuana

Makamu wa Rais wa Fifa Ali bin Al Hussein atachuwana na bosi wake Sepp Blatter kuwania urais Fifa

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MALINZI ATUMA RAMBIRAMBI FIFA KUOMBOLEZA KIFO CHA MAKAMU WA BLATTER

HAYATI JULIO GRONDORA
Rais wa Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amemtumia salamu za rambirambi Rais wa Shrikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (Fifa), Sepp Blatter kutokana na kifo cha makamu wake mwandamizi Julio Grondora.Amesema yeye binafsi na jamii ya mpira wa miguu Tanzania kwa ujumla wanaomboleza msiba wa Grondora ambaye pia alikuwa Rais wa Chama cha Mpira wa Miguu cha Argentina (AFA).Ameongeza kuwa Grondora alikuwa mtumishi mwandamizi wa mpira wa miguu, kwani alijitoa katika...

 

10 years ago

BBCSwahili

Blatter:Sikujiuzulu kama rais wa FIFA

Rais wa shirikisho la soka duniani Sepp Blatter amekariri kuwa hakujiuzulu kama rais wa shirikisho hilo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Rais wa Fifa Sepp Blatter achunguzwa

Rais Fifa Sepp Blatter amehojiwa na afisi yake kupekuliwa na viongozi wa mashtaka nchini Uswizi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais wa FIFA Sepp Blatter kujiuzulu

Rais wa shirikisho la soka duniani FIFA Sepp Blatter amesema kuwa atajiuzulu kama rais wa shirikisho hilo kufuatia kashfa ya ufisadi.

 

9 years ago

Mwananchi

Mimi bado rais halali Fifa, adai Blatter

Siku moja baada ya kufungiwa miaka minane, aliyekuwa rais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), Sepp Blatter ameibuka na kueleza kuwa yeye bado ni kiongozi wa shirikisho hilo.

 

10 years ago

Michuzi

MALINZI AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA FIFA

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF jana ijumaa alipokea ugeni wa makamu wa Rais wa FIFA ambaye pia ni mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu nchini Jordan, HRH Prince Ali Bin Al Hussein. (picha ya Rais Jamal Malinzi na HRH Ali imeambatanishwa)
Jioni Prince Ali Bin AliHussein na ujumbe wake walifanya mazungumzo na Rais wa Shrikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF, Jamal Malinzi  katika hoteli ya Hyatt Regency (zamani Kilimanjaro Kempsinki) iliyopo jijini Dar es salaam.
Katika mazungumzo hayo,...

 

10 years ago

Mwananchi

Blatter kujiuzulu Fifa

Zurich, Uswisi. Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (Fifa), Sepp Blatter ametangaza kuwa atajiuzulu nafasi yake hiyo kutokana na kashfa ya rushwa iliyolikumba shirikisho hilo.

 

10 years ago

GPL

BLATTER AJIUZULU FIFA

Rais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), Sepp Blatter. Zurich, Uswis
RAIS wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), Sepp Blatter, jana alijiuzulu cheo chake kutokana na kashfa ya rushwa iliyolikumba shirikisho hilo.Blatter alitangaza kujiuzulu jana jioni zikiwa ni siku nne tangu alipochaguliwa kwa mara ya tano kuiongoza Fifa. Alitangaza uamuzi huo kwenye makao makuu wa Fifa mjini Zurich akiwa ametumikia cheo cha urais...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani