Makocha waanza tambo
MAKOCHA wa timu za Ligi Kuu ya Tanzania Bara wameanza kutoa tambo kuelekea katika mechi za ufunguzi za msimu wa 2015-2016 mwishoni mwa wiki.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi18 Sep
Tambo za makocha zatawala kila kona
Ni presha! Ndivyo ilivyo hivi sasa kwa makocha wa timu za Ligi Kuu Tanzania Bara huku kila mmoja akitamba timu yake itafanya vizuri msimu huu.
10 years ago
Mwananchi01 Dec
Phiri, Maximo waanza tambo
 Kocha wa Simba, Patrick Phiri na mwenzake wa Yanga, Marcio Maximo kila moja amejigamba kumtoa nishai mwenzake wakati wa mechi ya Nani Mtani Jembe itakayopigwa Desemba 13, kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
11 years ago
GPL
MAWAZIRI WAANZA KWA TAMBO
Mhe. Mwigulu Lameck NCHEMBA Naibu Waziri wa Fedha na Mhe. Adam Kighoma Ali MALIMA (Mb) Naibu Waziri wa Fedha na baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya fedha. (PICHA NA IKULU) MAWAZIRI na manaibu waziri walioteuliwa kushika nafasi mbalimbali jana waliapishwa na Rais Jakaya Kikwete katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam, huku baadhi yao wakianza na tambo za uwajibikaji na wengine wakiomba ushirikiano wa karibu kutoka kwa...
11 years ago
Tanzania Daima04 Jan
Makocha wapya Yanga waanza kwa mkwara
MAKOCHA wapya wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa na Juma Pondamali ‘Mensah’ wameanza kukinoa kikosi cha klabu hiyo huku wakiwaonya wachezaji hasa watovu wa nidhamu. Pondamali na Mkwasa wameanza kuinoa timu...
11 years ago
Michuzi.jpg)
makocha wa Timu ya Barcelona kutoa mafunzo ya makocha wa Tanzania
.jpg)
10 years ago
BBCSwahili24 Aug
Mourinho aanza tambo:
Kocha wa Chelsea Jose Mourinho amesema matokeo ya timu yake dhidi ya West Brom yatawanyima raha wabaya wao.
11 years ago
GPLSTARS, ZIMBAMBWE TAMBO NZITO
Ofisa Habari wa TFF, Boniface Wambura (katikati mwenye kofia) akitambusha viongozi wa timu ya taifa ya Zimbambwe. Kutoka kushoto ni Mkuu wa Msafara Piraisne Mabnena, Kocha msaidizi Kalisto Pasuwa na meneja wa timu Sharif Mussa. Pasuwa (katikati) akitamba kuiangamiza Stars kesho na kujiweka katika mazingira mazuri ya kufuzu hatua ya kwanza katika mbio za tiketi za kucheza kombe la Afrika mwakani, nchini… ...
10 years ago
Mwananchi26 Oct
Magufuli, Lowassa waendeleza tambo
Wagombea urais jana walikuwa miongoni mwa mamilioni ya Watanzania waliojitokeza kupiga kura, huku Dk John Magufuli wa CCM na Edward Lowassa wakiendeleza tambo za ushindi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania