MAWAZIRI WAANZA KWA TAMBO
![](http://api.ning.com:80/files/Gp85O2XzVxiL2qxw5OmfOWz0QwcSOnNbsx7o1*RRBGmUKVDJhsAkuyiH7G4oXdzj*CmU6H3vLPMIVCYnnsBZnZ1*T*Vm55L8/w44.jpg?width=650)
Mhe. Mwigulu Lameck NCHEMBA Naibu Waziri wa Fedha na Mhe. Adam Kighoma Ali MALIMA (Mb) Naibu Waziri wa Fedha na baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya fedha. (PICHA NA IKULU) MAWAZIRI na manaibu waziri walioteuliwa kushika nafasi mbalimbali jana waliapishwa na Rais Jakaya Kikwete katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam, huku baadhi yao wakianza na tambo za uwajibikaji na wengine wakiomba ushirikiano wa karibu kutoka kwa...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo09 Sep
Makocha waanza tambo
MAKOCHA wa timu za Ligi Kuu ya Tanzania Bara wameanza kutoa tambo kuelekea katika mechi za ufunguzi za msimu wa 2015-2016 mwishoni mwa wiki.
10 years ago
Mwananchi01 Dec
Phiri, Maximo waanza tambo
10 years ago
VijimamboMkutano wa Mawaziri wa SADC Waanza jijini Harare
5 years ago
MichuziMKUTANO WA BARAZA LA MAWAZIRI WA SADC NGAZI YA MAKATIBU WAKUU WAANZA
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Maafisa Waandamizi/ Makatibu Wakuu, Balozi Kanali Wilbert Ibuge Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
Wajumbe wengine ni waliohudhuria ni Katibu Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,...
10 years ago
MichuziMkutano wa siku mbili wa Mawaziri wa SADC Waanza jijini Harare
10 years ago
Bongo Movies06 May
Hizi Ndizo Tambo za Asha Boko Kwa Komediani wa Hapa Bongo
Staa wa Bongo Movies ambaye ni moja kati ya wachekeshaji wakongwe, Asha Boko ametamba kuwa hakuna mchekeshaji bora wa kike kama yeye Bongo bali kuna wanao jaribu lakini si kuigiza nafasi ya ucheshi kama yeye kwnai hadi sasa hajaona kabisa msanii mwenye uwezo kama alionao yeye kwa Afrika Mashariki anataka wajitokeze zaidi apate mpinzani.
“Hakuna kama Asha Boko katika sekta hiyo muhimu ya uchekeshaji ni mimi pekee yangu sioni mpinzani kabisa angalau kidogo Dogo Tausi Mdegela anajaribu kuja...
9 years ago
BBCSwahili24 Aug
Mourinho aanza tambo:
9 years ago
BBCSwahili24 Aug
Barcelona waanza kwa ushindi