MAKONDA: LOWASSA HAFAI KUWA RAIS WA TANZANIA WALA MWENYEKITI WA CCM!

Paul Makonda (UVCCM). TAMKO LA JUMUIYA YA VIJANA KUUNGA MKONO KAZI YA SEKRETARIETI YA CHAMA CHA MAPINDUZI CHINI YA KATIBU MKUU NDUGU ABDULRAHAMAN KINANA “..Chama Cha Siasa chochote duniani hubomoka kutokana na migongano iliyokithiri ya muda mrefu. Uzoefu wa vyama vikubwa vilivyoporomoka umeonyesha hivyo! Chama lazima kidhibiti uchu wa madaraka wa baadhi ya viongozi wake na ndani ya serikali yake...†– Dr...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
LOWASSA ANAFAA AU HAFAI KUWA RAIS 2015?
10 years ago
Mzalendo Zanzibar08 Oct
Dr. Slaa Aanza Rasmi Kumpigia Kampeni Magufuli……Asema Lowassa Hafai Kuwa Rais
Thursday, October 8, 2015 Siku chache baada ya chama cha ACT-Wazalendo kutoa tamko rasmi kuwa hawataweza kumruhusu Dk. Wilbroad Slaa kupanda kwenye jukwaa lao kumnadi mgombea urais wa chama hicho kwa sababu za kiusalama, jana mwanasiasa […]
The post Dr. Slaa Aanza Rasmi Kumpigia Kampeni Magufuli……Asema Lowassa Hafai Kuwa Rais appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
BBCSwahili20 Sep
Carson:Musilamu hafai kuwa rais wa Marekani
10 years ago
Vijimambo
MAGUFULI AHIDI KUANZISHA MAHAKAMA YA MAFISADI NA WALA RUSHWA IWAPO ATACHAGULIWA KUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.


10 years ago
Michuzi
MAGUFULI AHIDI KUANZISHA MAHAKAMA YA MAFISADI NA WALA RUSHWA IWAPO ATACHAGULIWA KUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

Dkt Magufuli amesema kuwa serikali atakayoingoza atakapopata ridhaa ya kuingia Ikulu,itazifanya huduma za Afya kuwa bora na kuwabana wahudumu wa afya wenye tabia ya kuchukua dawa na kuziuza kwa watu binafsi.
Magufuli ambaye...
5 years ago
Michuzi
MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR DKT SHEIN JIJINI DODOMA


10 years ago
Vijimambo
Vijembe Vya Kisiasa Vyatawala Bungeni......Lusinde Asema Dr Slaa Hafai Kuwa Rais Maana Ikulu Sio Wodi Ya Wagonjwa

VIJEMBE vya kisiasa jana vilichukua sehemu kubwa ya mjadala wa Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu unaoendelea, ambapo mvutano mkubwa ulikuwa kati ya Serikali na vyama vya upinzani nani amechoka.
Akizungumza bungeni kwa vijembe, Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde (CCM), alisema hoja ya kambi rasmi ya upinzani kuwa Serikali imechoka, inawezekana ni kweli ila haikuwekwa vizuri.Alifafanua kuwa Serikali imefanya kazi kubwa ya kukopesha wanafunzi, kutoa huduma ya afya, kujenga barabara kusambaza...
10 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE AMTEUA PROFESA MBETTE KUWA MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI WA KAMPUNI YA SIMU TANZANIA

Uteuzi huo ni kwa mujibu wa kifungu Na. 9 (4) (a) cha Sheria...
10 years ago
GPL29 Oct