Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAKUBWA! AKODI KIBAO KATA KWENYE KUMSUTA SHOGA'KE

HAMIDA HASSAN
Wanawake wa mjini wanasema makubwa, madogo yana nafuu! Msemo huo unakwenda sambamba na tukio la hivi karibuni la mwanamke mmoja aliyetajwa kwa jina la Rukia Mabeseni mkazi wa Kigogo jijini Dar kukodi ngoma ya kibao kata kwa lengo la kwenda kumsuta shoga yake aitwaye mama Mariam. Rukia Mabeseni akimsuta shoga yake pamoja na wenzie. Ilikuwaje? Msikie Rukia Mabeseni
“Shost wangu, huyu mama Mariam huyu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MKE AKODI KIBAO KATA KUMKOMESHA MCHEPUKO!

Gladness Mallya na Chande Abdallah
MWANAMKE mmoja ambaye jina lake halikupatikana mara moja, mwishoni mwa wiki iliyopita alijikuta katika wakati mgumu baada ya kundi la wanawake kumvamia kazini kwake na kuanza kumsimanga kwa kitendo chake cha kuchepuka na mume wa mtu huku akipigiwa ngoma maarufu kama kibao kata. Wakimsimanga kwa staili ya kusasambua. Tukio hilo lilitokea Mei 23 mwaka huu maeneo ya Kimara Mwisho, ambapo awali...

 

10 years ago

GPL

CHRISTIAN BELLA 'KING OF THE BEST MELODIES' AAHIDI MAKUBWA SHOO YA VALENTINE'S DAY, DAR LIVE

Christian Bella (kulia) akijibu baadhi ya maswali ya wanahabari (hawapo pichani) kuhusu maandalizi ya shoo yake ya Valentine kwenye Ukumbi wa Dar Live. Bella akisisitiza jambo kwa wanahabari (hawapo pichani).…

 

11 years ago

GPL

MAISHA YA 'GETO' CHANGAMOTO KWA WANAFUNZI SEKONDARI ZA KATA TANGA

Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Kata ya Komnyang'anyo wilaya ya Handeni wakitembea barabarani kuelekea kwenye makazi yao vijiji mbalim. UJENZI wa Sekondari za Kata katika mikoa mbalimbali umesogeza huduma za elimu kwa baadhi ya maeneo. Ipo mikoa ambayo awali ilikuwa na shule chache za sekondari hali ambayo ilifanya wanafunzi wachache kupata fursa ya kujiunga na sekondari.… ...

 

11 years ago

GPL

MTITU AVAMIA KIBAO KATA

Stori: Hamida Hassan MUIGIZAJI na Mkurugenzi wa Kampuni ya Five Effect, William Mtitu amewashangaza watu baada ya kuibuka katika sherehe ya wanawake maarufu kama kibao kata cha Vanita Omary. Muigizaji na Mkurugenzi wa Kampuni ya Five Effect, William Mtitu.
Ishu hiyo ilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita katika Ukumbi wa PG, Kinondoni jijini Dar ambapo mke wa staa huyo alikuwa miongoni mwa waalikwa lakini cha kushangaza Mtitu...

 

10 years ago

GPL

MKESHA WA KRISMASI, MKE WA MTITU AFANYA KIBAO KATA!

Mkurugenzi wa Kampuni ya 5Effects, William Mtitu akiwa na mkewe Yovitha Mtitu . Stori: Waandishi wetu Mke wa Mkurugenzi wa Kampuni ya 5Effects, William Mtitu, Yovitha Mtitu, wikiendi iliyopita kwenye Mkesha wa Krismasi alifanya kibao kata nyumbani kwake ambapo alialika kikundi cha ngoma ya Baikoko na kukesha wakikata mauno na mastaa kibao wa Bongo. Sherehe hiyo iliibua minong’ono kwani baadhi ya waalikwa walikuwa wakihoji...

 

10 years ago

GPL

REMIX YA DRAKE YA WIMBO WA WIZKID WA 'OJUELEGBA' YATAMBA KWENYE INTERNET

Mwanamuziki wa Nigeria Wizkid. RAPA Drake wa Marekani majuzi amefyatua remix yake katika wimbo wa ‘Ojuelegba’ wa mwimbaji Wizkid wa Nigeria. Remix hiyo ambayo ilitumika katika onyesho lake la OVO Sound Radio, na ambayo imemjumuisha rapa wa Uingereza aitwaye Skepta, hivi sasa inatamba vilivyo katika anga za Intaneti. Hatua hiyo imewafanya nyota wengi wa muziki nchini Nigeria kumpongeza Wizkid kwa kuzidi kujiimarisha...

 

10 years ago

Dewji Blog

Diwani Mathius wa kata ya Malangarini afunga kampeni za uchaguzi kwenye kata yake

20141212_150512

Diwani wa kata ya Mlangarini, Mathius Manga akizungumza na wananchi wa kata hiyo katika mkutano wa hadhara wa kuhitimisha kampeni za uchaguzi wa CCM kwa ajili yakuwachagua viongozi wa  serikali za  mitaa utakaofanyika jumapili Desemba 14 mwaka huu.

Diwani Manga amewaasa wananchi wote kujitokeza kwa wingi kuwapigia kura wagombea wa CCM kwani wanasifa stahiki za kuwaongoza.  

Aidha amesisitiza kulimnda amani kipindi chote cha uchaguzi na hata matokeo yatakapo tangazwa na kuepuka vitendo vya...

 

10 years ago

GPL

MPIGIE KURA MISS KIGAMBONI KWENYE SHINDANO LA 'NEXT AFRICA SUPER MODAL ULTIMATE SEARCH 2014'

Aliyekuwa miss Kigamboni mwaka 2013, Miss Magdalena Olotu amepata nafasi ya kuipeperusha bendera ya Tanzania katika anga za kimataifa, baada ya kuchaguliwa kwenye shindano la umtafuta Super modal wa  Afrika shindano hilo linaitwa "Next Africa Supermodel Ultimate Search 2014" litakalofanyika Afrika ya Kusini. Shindano hili linawashilikisha wanamitindo mbalimbali kutoka nchi nne za Afrika.
Sasa unaweza kumpigia kura yako kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani