Makusanyo ya korosho kupungua Lindi
MAKUSANYO ya zao la korosho ya Chama kikuu cha Ushirika cha Muda Lindi Mwambao wilayani hapa, yatapungua kutoka tani 12,000 msimu uliopita na kufikia tani 6,000 katika msimu wa zao la korosho mwaka huu.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
NSSF YASHIRIKI KWENYE MKUTANO WA MWAKA WA WADAU WA KOROSHO MKOANI LINDI LEO
Katika Mkutano huo ambao NSSF imepata nafasi ya kutoa mada imewahimiza wadau hao waweze kujiunga na NSSF ili waweze kupata mafao bora yatolewayo na mfuko huo, Mafao hayo yakiwemo Matibabu bure, Kuumia Kazi, Uzazi kwa Kina mama , Mikopo kwa wanachama...
10 years ago
MichuziMFUKO WA ZAO LA KOROSHO WATENGA BILIONI 6 KUJENGA VIWANDA VYA KUBANGUA KOROSHO.
Akizungumza katika hafla ya utiaji saini wa mikataba baina ya mfuko huo na wataalamu washauri jana (Jumatano Mei 6, 2015), Mwenyekiti wa Bodi ya...
10 years ago
Dewji Blog06 May
Mfuko wa kuendeleza zao la Korosho watenga bilioni 6 kujenga viwanda vya kubangulia Korosho
Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Korosho Tanzania, Mundhir Mundhir akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya utiaji saini wa mikataba ya ujenzi wa viwanda vitatu vya korosho katika Wilaya za Mtwara, Tunduru na Mkuranga kati ya Mfuko Mfuko wa kuendeleza Zao la Korosho Nchini na wataalamu washauri wa kutoka Chuo Kikuu cha Ardhi cha Jijni Dar es Salaam na Shule ya Elimu ya Biashara katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Mtendaji...
10 years ago
Dewji Blog01 Jun
Taarifa ya makusanyo ya ujenzi wa Msikiti



Kwa Jina la M/Mungu nina anza Andika , Nawashukuru Ndugu zangu WA TANZANIA ,KENYA na wasio kuwa hao kwa Upamoja wao wa Michango yao ya hali na Mali katika Kuimarisha UJENZI WA MSIKITI UNAONA KATIKA PICHA .
Nakushukuru BLOGS ZOTE ZA TANZANIA shukran za Pekee kwa Brother Mroki Mroki wa Father Kidevu Blog kwa kuwa Balozi Mzuri wa kulitangaza Jambo hili kwa Jamii pamoja na Blogs nyingi Marafiki wa Father Kidevu Blog. Leo Tarehe 30/5/2015 NAOMBA NIULETE MREJESHO HUU KWENU WA MAKUSANYO TOKA...
10 years ago
Vijimambo
TAARIFA YA MAKUSANYO UJENZI YA MSIKITI



Nakushukuru BLOGS ZOTE ZA TANZANIA shukran za Pekee kwa Brother Mroki Mroki wa Father Kidevu Blog kwa kuwa Balozi Mzuri wa kulitangaza Jambo hili kwa Jamii pamoja na Blogs nyingi Marafiki wa Father Kidevu Blog. Leo Tarehe 30/5/2015 NAOMBA NIULETE MREJESHO HUU KWENU WA MAKUSANYO TOKA TAREHE...
5 years ago
Michuzi
Njombe DC wavuka tena malengo ya makusanyo ya mapato
11 years ago
MichuziNHIF LINDI WAWAPA SOMO VIONGOZI WA TALGWU MKOA WA LINDI
10 years ago
MichuziWANAWAKE MKOANI LINDI WATAKIWA KUKAMATIA FURSA KWA KUJIUNGA NA CHF-RC LINDI
10 years ago
Mwananchi28 Feb
Mkoa wa Lindi (i): Majimbo ya Lindi Mjini na Ruangwa — 50 kwa 50