Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mali za Zitto hadharani

zittoNa Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

UKWASI wa Kiongozi Mkuu wa Chama Cha Alliance for Change and Transparency(ACT Wazalendo), Zitto Kabwe umeongezeka kutoka umiliki wa shamba moja na Sh milioni 30 alizokuwa amezihifadhi katika akaunti za benki mbili tofauti hapa nchini, na sasa anamiliki mali na fedha zinazofikia Sh milioni 690, MTANZANIA Jumamosi linaripoti.

Kwa mujibu wa taarifa hizo mpya alizoziweka hadharani wiki hii katika fomu maalum ya kuonyesha mali zinazomilikiwa na viongozi wa chama...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MALI ZA NELSON MANDELA HADHARANI

Marehemu Nelson Mandela enzi za uhai wake. MALI za marehemu Nelson Mandela, zimetangazwa ambapo aliiachia familia yake mali za dola milioni 4.1 sawa na bilioni 6.7 za Tanzania. Sehemu ya mali hiyo itatolewa kwa chama tawala cha ANC, wafanyakazi wake wa zamani na shule kadhaa ambako alisomea. Mali hizo zinajumuisha nyumba na hakimiliki za vitabu kikiwemo kimoja kuhusu maisha yake kiitwacho ''Long walk to freedom''. Hayo ndio...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Zitto: Fedha za Escrow ni mali ya umma

MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (CHADEMA), amesema kuwa dola za Marekani milioni 250 zilizopaswa kuendelea kuwapo katika akaunti ya ‘Tegeta Escrow’ ni mali ya serikali na hivyo ni mali...

 

10 years ago

GPL

MAMBO HADHARANI

Stori: Hami da Hassan na Haruni Sanchawa
KIFO cha tajiri maarufu mjini Bukoba, Leonard Mtensa (50) ambacho kimetingisha kanda nzima ya ziwa, kilichotokea dakika chache baada ya marehemu kudaiwa kufanya mapenzi ndani ya gari lake, sasa mambo hadharani juu ya kila kitu kilichotokea, Risasi Jumamosi linakupa mkanda mzima. Tajiri maarufu mjini Bukoba, Leonard Mtensa akichunguzwa na daktari. Tukio hilo lililozua gumzo mjini...

 

11 years ago

Mwananchi

Wabunge waumbuana hadharani

Wabunge jana waliumbuana kuhusu matumizi mabaya ya fedha za umma huku Kiongozi wa Kambi ya Upinzani, Freeman Mbowe akituhumiwa kuagiza kubadilishwa kwa tiketi ya ndege ya Mbunge wa Viti Maalumu (Chadema), Joyce Mukya ili afupishe ziara yake ya kikazi huko Marekani na kwenda Uarabuni kwa shughuli binafsi.

 

10 years ago

Habarileo

Ajira za walimu hadharani

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Jumanne SaginiSERIKALI imetenga Sh bilioni tisa kwa ajili ya posho ya kujikimu na nauli kwa ajili ya walimu 31,056 na mafundi sanifu maabara 10,625, ambao ajira zao zimetangazwa jana huku wakitakiwa kuanza kazi Mei Mosi mwaka huu.

 

11 years ago

Habarileo

Hati ya Muungano hadharani

HATIMAYE baada ya upotoshwaji mkubwa wa baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, hasa waliojiundia kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kuwa Hati ya Muungano haipo, sasa Serikali imeweka hati hiyo hadharani. Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue alisema kuwa Rais Jakaya Kikwete ameridhia hati hiyo ioneshwe na waandishi wa habari walikuwa wa kwanza kuiona hati halisi jana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani