Mallah kuzikwa Jumatano Moshi
MWILI wa a l i y e k u w a m g o m b e a ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia ACT- Wazalendo, Estomih Mallah unatarajiwa kuwasili siku ya Jumanne nyumbani kwake eneo la Suye Kimandolu jijini Arusha kwa ajili ya kuagwa.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-QOwA3H--RtQ/U1VAqKk_nsI/AAAAAAAAFWo/FSbnbPLRrwk/s72-c/Untitled-1.jpg)
TAARIFA RASMI KWA UMMA YA KIFO CHA MKUU WA WILAYA YA KALAMBO MHE. MOSHI CHANG'A, KUZIKWA JUMATANO MKOANI IRINGA
MKOA WA RUKWA Anuani ya simu:”REGCOM” Simu Na:(025)-2802138/2802144 Fax Na. (025) 2802217 Baruapepe: rasrukwa@yahoo.com
![](http://2.bp.blogspot.com/-QOwA3H--RtQ/U1VAqKk_nsI/AAAAAAAAFWo/FSbnbPLRrwk/s1600/Untitled-1.jpg)
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella M. Manyanya (Mb) kwa masikitiko makubwa anapenda kuwajulisha juu msiba mkubwa ulioukumba Mkoa wetu wa Rukwa wa kuondokewa na Mkuu wa...
9 years ago
Mwananchi11 Oct
Mallah wa ACT kuzikwa Sango
9 years ago
TheCitizen09 Oct
ACT Wazalendo’s Estomih Mallah dies in Moshi
10 years ago
Dewji Blog15 Dec
Mama wa wanahabari kuzikwa Jumatano Mbeya
Marehemu Bi. Twitikege Mlagha Mafumu enzi za uhai wake.
![Sehemu ya waombolezaji wakiwa katika msiba wa marehemu Bi. Twitikege Mlagha Mafumu unaofanyika Mbagala Kuu, eneo la Bucha jijini Dar es Salaam nyumbani kwa mtoto wake mkubwa wa kike.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_00131.jpg)
Sehemu ya waombolezaji wakiwa katika msiba wa marehemu Bi. Twitikege Mlagha Mafumu unaofanyika Mbagala Kuu, eneo la Bucha jijini Dar es Salaam nyumbani kwa mtoto wake mkubwa wa kike.
![Kwaya ya Kanisa la Moravian Mtoni Kijichi jinini Dar es Salaam ikiimba kuomboleza msiba huo jana.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_0043.jpg)
Kwaya ya Kanisa la Moravian Mtoni Kijichi jinini Dar es Salaam ikiimba kuomboleza msiba huo jana.
![Baadhi ya wanakwaya wa Kanisa la Moravian Mtoni Kijichi jinini Dar es Salaam wakiimba kuomboleza kwa pamoja na waombolezaji katika msiba huo jana.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_0049.jpg)
Baadhi ya wanakwaya wa Kanisa la Moravian Mtoni Kijichi jinini Dar es Salaam wakiimba kuomboleza kwa pamoja na waombolezaji katika msiba huo jana.
![Baadhi ya wanakwaya wa Kanisa la Moravian Mtoni Kijichi jinini Dar es Salaam wakiimba kuomboleza kwa pamoja na waombolezaji katika msiba huo jana.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_0048.jpg)
Baadhi ya...
10 years ago
Mtanzania11 May
John Nyerere kuzikwa Jumatano Butiama
Na Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam
MTOTO wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, John Nyerere, anatarajiwa kuzikwa Jumatano hii kijijini kwao Mwitongo wilayani Butiama mkoani Mara, baada ya kukamilika kwa taratibu za mazishi.
John alifariki juzi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), alipokua amelazwa baada ya kuugua maradhi ya mapafu na kisukari yaliyosababisha kifo chake.
Akizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwao marehemu Msasani jijini Dar es Salaam, mjukuu wa Mwalimu...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zvxMwCoWaaqBWVPP0Nk24kPdRbGH78VXciF8ETpCrYuD2ob3GXkr83NOu1MDlcZ1ZvC54l5Jvx53g0icUX97B1*Rkghrh67x/komanya1.jpg?width=600)
APOSTLE JOHN KOMANYA KUZIKWA JUMATANO MAKABURI YA SEGEREA, DAR
11 years ago
CloudsFM02 Jun
GEOGRE TYSON KUAGWA LEADERS JUMATANO,KUZIKWA KISUMU,KENYA JUNI 7
Mwili wa aliyekuwa mwongozaji na mtayarishaji wa filamu, George Otieno Tyson aliyefariki dunia kwa ajali ya gari mwishoni mwa wiki mkoani Morogoro ambapo mwili wake utaagwa siku ya Jumatano katika viwanja vya Leaders, Kinondoni na kusafirishwa kwenda Kisumu, Kenya na kuzikwa Juni 7.Tyson alifariki dunia Ijumaa usiku akiwa njiani kukumbizwa Hospitali ya Mkoa ya Rufaa Mkoa wa Morogoro kufuatia ajali mbaya ya gari iliyotokea maeneo ya Gairo, Morogoro.
Katika ajali hiyo, mbali na marehemu...
11 years ago
MichuziKatibu Mkuu wa Yanga wa zamani, George Johnson Mpondela ‘Castor’ afariki dunia, kuzikwa tabora jumatano
Katibu Mkuu wa Yanga wa zamani, George Johnson Mpondela ‘Castor’ (kulia) enzi za uhai wake akiwa katika moja ya mikutano ya klabu hiyo. Kushoto ni mmoja wa wazee maarufu wa klabu hiyo Mzee Yusuf Mzimba. Na Mahmoud Zubeiry Katibu Mkuu wa Yanga SC wa zamani, George Johnson Mpondela ‘Castor’ amefariki dunia jana saa nne usiku katika hospitali ya Muhimbili, Dar es Salaam alikokuwa amelazwa kwa matibabu ya moyo. Mtoto wa marehemu, Hilton Mpondela amemwambia mwandishi wa habari hii...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-zabmWDE3UV8/VcljiLY0xCI/AAAAAAAHv-I/Eiy1VPMtWgQ/s72-c/unnamed%2B%252810%2529.jpg)
Marehemu Mzee SK George Mallya kuzikwa Maili-Sita Moshi Alhamisi Agosti 13, 2015
![](http://4.bp.blogspot.com/-zabmWDE3UV8/VcljiLY0xCI/AAAAAAAHv-I/Eiy1VPMtWgQ/s640/unnamed%2B%252810%2529.jpg)