Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mama anapoipenda bia kuliko mtoto wake!

WIKI iliyopita nilipata mwaliko kutoka kwa rafiki yangu wa siku nyingi ambaye aliamua kuandaa sherehe ya kujipongeza baada ya kutimiza miaka kadhaa karibu na nusu karne tangu Mwenyezi Mungu alipomleta...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

SUGU ASHINDA KESI DHIDI YA MAMA MTOTO WAKE FAIZA, MAHAKAMA YAAMUA APEWE MTOTO

Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu) ameshinda kesi aliyomfungulia aliyewahi kuwa mchumba wake Faiza Ally ambaye pia ni mama wa mtoto wake wa kike aitwaye Sasha.Kwa mujibu wa maelezo ya Faiza kupitia akaunti yake ya Instagram, mahakama imetoa hukumu ambayo ni mtoto achukuliwe na kulelewa na baba yake mzazi.Sugu alimshitaki Faiza kwa madai kuwa hana maadili na ana hofia kuwa atamharibu mtoto wao, hivyo alitaka kumchukua mtoto kutoka kwa mama yake aishi naye.

Hiki ndicho amekiandika...

 

11 years ago

Mtanzania

Mama na mtoto wake wauawa kikatili

Arusha Town

Arusha Town

Na Eliya Mbonea, Arusha

MKAZI wa eneo la Baraa Ngulelo, jijini Arusha, Lightness Thomas na mtoto wake wa kike, Joyna Charles (9), wamekutwa wamekufa ndani ya nyumba yao huku vichwa vyao vikiwa vimetobolewa na kitu chenye ncha kali.

Miili ya watu hao iligundulika ndani ya nyumba yao usiku wa Julai 27, mwaka huu, kitandani na kufunikwa blanketi, huku ikiwa imeharibika vibaya.

Akizungumza na MTANZANIA, ndugu wa marehemu ambaye hakupenda jina lake litajwe kwenye gazeti, alidai watu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waliomuua ‘Mama Serengeti’ watoweka na mtoto wake

MAJANGILI yaliyoua faru maarufu kama ‘Mama Serengeti’ yanadaiwa kuondoka na mtoto wa faru huyo aliyekuwa na umri wa miezi minne. Habari ambazo Tanzania Daima ilizipata zilidai kuwa Mama Serengeti ni...

 

10 years ago

Mwananchi

Mama ajeruhi mtoto wake wa miaka miwili

Mtoto Christina Kusale (2) amelazwa katika Hospitali ya Mwananyamala baada ya kufanyiwa ukatili na mama yake mzazi kwa kumkata sehemu mbalimbali za mwili wake na kumsababishia maumivu makali.

 

10 years ago

Bongo5

Fid Q amzunguzia mama wa mtoto wake Fidelie

Rapper Fid Q amesema ni mapema sana kuzungumzia masuala ya ndoa na mpenzi wake kutoka Jamhuri ya Czech aliyejifungua mtoto wa kike aitwaye Fidelie Ijumaa hii. Fid Q ameiambia 255 ya kipindi cha XXL, Clouds FM kuwa kuna mambo mazuri mengi yanakuja kati yao. “Huyu ni mtoto wangu wa kwanza wa kike na kwa haraka […]

 

5 years ago

BBCSwahili

Mama amekutana na mtoto wake baada ya miaka 15

Kukosa kwake stakabadhi kumefanya iwe vigumu kupata usaidizi ama kurejea kwao.

 

10 years ago

Mwananchi

Kagoli Fundikira, mama wa Samuel Sitta anayemhurumia mtoto wake

Kilimo ni uti wa mgongo wa taifa la Tanzania. Zaidi ya asilimia 70 ya Watanzania wanaishi vijijini wakitegemea kilimo hasa cha jembe la mkono.

 

10 years ago

Bongo5

Sugu amshtaki mama wa mtoto wake Faiza, anahisi anamharibu mwanae

Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu amemshtaki aliyewahi kuwa mchumba wake Faiza Ally na aliyezaa naye mtoto kwa madai kuwa mwanamke huyo hana maadili na anahofia atamharibu mtoto wao. Sugu anataka kumchukua mtoto huyo na aishi naye (child custody). Faiza ameiambia Bongo5 kuwa baada ya siku chache zilizopita kupandishwa kizimbani na kujibu shtaka […]

 

11 years ago

Bongo Movies

SHILOLE akataliwa ukweni kisa umri wake kuwa mkubwa kuliko mpenzi wake.


Habari zinadai kwamba baadhi ya ndugu wa msanii wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda ambao ni wakwe wa staa wa muziki na filamu za Kibongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ hawamtaki kwa madai kuwa ana umri mkubwa kuliko ndugu yao.

Wakizungumza na Ijumaa Wikienda kwa nyakati tofauti, baadhi ya wanandugu hao (majina yanahifadhiwa) walisema umri wa Shilole siyo wa kuishi na ndugu yao, Mziwanda kwani hawaendani.

“Ukweli ni kwamba mapenzi hayaingiliwi lakini tunaumia kuona ndugu yetu katika penzi zito na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani