Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMA ATUPA MTOTO, KISA UGOMVI WA MAPENZI!

Gabriel Ng’osha Binadamu wamepoteza utu! Mwanamke mjamzito aliyefahamika kwa jina la mama Janeth, mkazi wa Kimara-Suka jijini Dar anadaiwa kujifungua kisha kukiweka kichanga kwenye begi na kukitupa shambani, kisa kikielezwa kuwa ni mgogoro wa kimapenzi na mwanaume aliyempa ujauzito. Mama anadaiwa kutupa kichanga hicho akijaribu kuangalia huku na kule kama kuna mtu anamuona alifahamika kwa jina la mama Janeth. Mmoja wa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Mama atupa watoto watatu porini

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, mama wa watoto watatu, mkazi wa wilayani hapa, mwanzoni mwa wiki hii aliwatekeleza porini watoto hao, akiwemo mwenye umri wa miezi mitatu.

 

5 years ago

Bongo5

Shamsa Ford apasuka uso kisa ugomvi

Msanii wa filamu Shamsa Ford amepokea kichapo Jumanne hii katika harakati za kuamlia ugomvi wa watu ambao haijajulikana moja kwa moja ni nani, na sababu za ugomvi wao ni nini.

Malkia huyo wa filamu amekutwa na mkasa huo ikiwa ni mwezi mmoja toka aibiwe akaunti yake ya Instagram yenye followers zaidi ya milioni 2.

Muigizaji huyo amedai alipigwa ngumi ya uso katika harakati za kutafuta usalama wa watu hao ambao walikuwa wakipigana.

“Jana kwa moyo mmoja nimeenda kuamlia ugomvi watu wasipigane...

 

11 years ago

Habarileo

Atupa mtoto wa siku moja kulinda ndoa yake

MTOTO wa kike mwenye umri wa siku moja amenusurika kufa baada ya kuokolewa na wasamaria kutoka katika shimo alimotupwa na mama yake mzazi.

 

11 years ago

Mwananchi

Ali Kiba: Atoboa kuhusu 'mapenzi' na Lulu,ugomvi na Diamond-2

>Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Ali Salehe Kiba maarufu Alikiba, amezungumzia yaliyomsibu hata kujiweka kando ya shughuli za muziki na ujio wake mpya.

 

11 years ago

GPL

WEMA AANIKA UGOMVI WAKE NA MAMA’KE

Na Waandishi Wetu STAA wa filamu Bongo, Wema Sepetu ametaja sababu zinazomfanya aingie katika mgogoro na mama yake mzazi, Miriam Sepetu kuwa ni suala la uchumba wake na Nasibu Abdul ‘Diamond’ ambao alikuwa akiupinga mara kwa mara. Staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu. Akipiga stori na mapaparazi, Wema alisema kwa muda mrefu alikuwa akitofautiana kauli na mama yake katika suala zima la uhusiano wake na Diamond lakini...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Ajinyonga kisa? Wivu wa mapenzi


NA CHIBURA MAKORONGO,KAHAMA 
MFANYAKAZI wa kampuni ya uchambuaji pamba ya Kahama Oil Mills Ltd, Yusuph Abdallah (55) amekutwa amekufa bafuni baada ya kujinyonga kutokana na wivu wa mapenzi. 
Mwenyekiti wa Mtaa wa Mhongolo, Elias Chuma,  alisema tukio hilo lilitokea juzi  saa tano asubuhi, baada ya mfanyakazi wa usafi wa nyumba ya kampuni aliyokuwa anakaa Abdallah, Pili Makoye, kumkuta Abdallah akiwa amejinyonga.  
Kiongozi huyo alisema baada ya kuona hivyo, Pili alipiga owe ambapo watu...

 

10 years ago

GPL

WASTARA AZIMIA KISA MAPENZI

Waandishi wetu/Mchanganyiko
DIVA wa filamu nchini, Wastara Juma ambaye kwa sasa anaripotiwa kuwa katika mapenzi na mwigizaji mwenzake, Bond Bin Suleiman anadaiwa kupoteza fahamu mara tu baada ya kupewa taarifa kuwa mpenziwe huyo amepata mtoto wa nne kwa mwanamke mwingine, Risasi Mchanganyiko linakupa stori kamili. DIVA wa filamu nchini, Wastara Juma akiwa hospitali baada ya kuzimia. TUJIUNGE NA CHANZO
Kwa mujibu wa chanzo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani