Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mama G na Baba Wanjera Wanogesha Huko Switzerland!

Mwigizaji na mchekeshaji anaefanyia kazi zake huko ughaibuni, Mama G for Germany ‘Ronet’ siku ya jana aliwakonga nyoyo mashabiki wa jijini Zurich nchini Switzerland kwa kutoa burudani ya vichekesho kabla ya msanii Ommy Dimpoz ‘Baba Wanjera’ kutoka hapa bongo kupanda stejini kupiga shoo.

Mama G ni moja kati ya wakali wa sanaa ya vichekesho anaefanya vizuri huko nchi za nje. Tazama moja kati ya kazi zake HAPA

Picha: Ommy Dimpoz akiwa na Mama G for Germany

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mama C’s, Red Lax wanogesha Tamasha la Kizimkazi 2013

MSANII nyota anayetamba na miondoko ya reggae nchini Jamaica na Ulaya, Charley Anderson ‘Red Lax’ usiku wa kuamkia jana amepagawisha umati wa wapenda burudani waliofurika kwenye msimu wa nne wa...

 

9 years ago

Michuzi

Ngoma Africa band na Mama wa Mitindo Asia Idarous-Khamsin wanogesha hafla ya kongamano la Diaspora hoteli ya Serena jijini Dar es salaam

Ngoma Africa band yenye makazi yake nchini Ujerumani na Mama wa Mitindo Asia Idarous-Khamsin walivyonogesha hafla ya Kongamano la Pili la Diaspora lililofanyika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam Agosti 15, 2015 ambapo Ngoma Africa band walituma CD yenye nyimbo kali mbili za kumuaga Rais Kikwete na Mama wa Mitindo alifanya onesho maalumu la mavazi ya Kiafrika.

 

11 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA MRADI WA MAJI WA CHIKONJI HUKO LINDI

 Mke wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa kutoka Lindi Mjini Mama Salma Kikwete akiongea na baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Chikonji Kusini waliofika kuchota maji baada ya Mama Salma kutembelea chanzo hicho  Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha MapinduziWilaya ya Lindi Mjini Mama Salma Kikwete akipata maelezo ya mradi wa maji wa Kwamtokama ulioko Kata ya Chikonji Wilayani  Lindi kutoka kwa Mhandisi Mshauri wa Kampuni ya Don Consult Limited Ndugu Ahmed Salum (kulia) huku baadhi...

 

10 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA SHULE YA SEKONDARI NGONGO HUKO LINDI

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiongea na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Ngongo iliyoko Lindi Mjini tarehe 27.8.2014.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Ngongo iliyoko Lindi Mjini tarehe 27.8.2014.Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiangalia unga wa Muhogo wakati alipotembelea kwenye kiwanda cha kusindika unga huo kinachomilikiwa na  Tawi la Mkumbara katika Kata ya Jamhuri tarehe 27.8.2014.Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri...

 

11 years ago

Michuzi

Maendeleo ya Taarifa ya Msiba wa mama Theonestina Rweyemamu huko new york, marekani

Kufuatia taarifa ya msiba tuliyowatumia jana, tunapenda kuwakumbusha kwamba watoto wa marehemu na ndugu na jamaa watakuwepo nyumbani leo na mnaweza kwenda kuwafariji na kutoa rambi rambi zenu wakati wowote. Address ni:  40 East Sidney Avenue,  Apt # 10C , Mount Vernon,  NY 10550.  Na namba ya simu ya nyumbani ni 914-667-6456. 
Bado harambe ya kutafuta dolla 10,000 za kufanikisha mipango ya mazishi inaendelea.  Tunawaomba mtafute walau muda mchache mweze kujumuika na Watanzania wenzetu...

 

9 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE AZINDUA SHULE YA SEKONDARI J.K.NYERERE HUKO TARIME

. Mama Salma Kikwete akitoa hotua ya uzinduzi rasmi wa Shule ya Sekondari ya J.K.Nyerere katika Kijiji cha Myamwaga kilichoko Mkoani Mara.
 Mama Salma Kikwete akishirikiana na viongozi wa Mkoa wa Mara na wale wa Wilaya ya Tarime na wahisani waliojenga Shule ya J.K. Nyerere kukata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi rasmi wa Shule hiyo iliyoko katika Kijiji cha Nyamwaga. Mama Salma Kikwete baada ya kukata utepe hapa anakiondoa kitambaa kukamilisha sherehe ya uzinduzi rasmi wa shule hiyo.  Mke wa...

 

10 years ago

Michuzi

TANZIA: Mpiganaji Masoud Sanani afiwa na mama yake mzazi huko Pemba

Habari wadau, Naomba kuwajulisha kuwa mwanafamilia mwenzetu mkongwe katika uandishi wa habari za michezo, Masoud Sanani, amefiwa na mama yake mzazi huko kisiwani Pemba. Msiba ulitokea  hukohuko Pemba na maziko yamefanyika Jana asubuhi.
Kwa niaba ya TASWA tunampa pole na tupo naye pamoja katika kipindi hiki kigumu kwake. Kwa wanaotaka kumfariji binafsi Masoud Sanani kwa namna mbalimbali namba zake za simu ni 0712 020020 na 0772003377. Katibu Mkuu TASWA

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani