MAMA KANUMBA AKANUSHA KUTOKA NA SERENGETI BOI
![](http://api.ning.com:80/files/HbsRLQ*GNXb5nNvs9BS5Cg7LYRX8XVDzTSEX6QY7AZwa7oUj7P8UMQfjJ4n-mkHEPMESj6B*qdAXBm8oW53IZcuOb3Ug0b3j/mamak.jpg)
Mayasa Mariwata MAMA wa marehemu, Steven Kanumba, Flora Mtegoa amekanusha vilivyo taarifa zilizozagaa kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na kijana mdogo ambaye amemzidi umri (serengeti boy). Mama wa marehemu, Steven Kanumba, Flora Mtegoa (mwenye kipaza sauti) akizungumza jambo. Mama Kanumba ambaye pia amefuata nyayo za mwanaye kwa kujiingiza katika uigizaji, alifunguka hayo alipokuwa akizungumza na mwanahabari wetu mambo...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/eoZ5qo4qa6oCNnHh5vBz0cI20LhwnMw3n7wVOogLhyP12TJRxOtO16wdPOg9jfigSmM14xI-os9ewYrYzWbg2s3Pw7GyiAhj/yemialadee.jpg?width=650)
YEMI ALADE AANGUKIA KWA ‘SERENGETI BOI’
10 years ago
Bongo Movies25 Jan
Mama Kanumba:Nitaendeleza ndoto za Kanumba kupitia "Kanumba Foundation"
Mama wa aliyekuwa nyota wa filamu nchini, marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa amesema kuwa kupitia Kampuni ya Kanumba The Great Film inakamilisha uanzishaji wa taasisi itakayoitwa, Kanumba Foundation.
Pia, alikanusha uvumi kuwa kampuni ya Kanumba imekufa, akifafanua jambo hilo alisema kampuni hiyo inaendelea na shughuli zake. Alisema kutakuwapo Kanumba Foundation ili kusaidia jamii wakiwamo wasanii katika masuala mbalimbali.
Akizungumza na gazeti la Mwananchi, Flora alisema uamuzi...
10 years ago
Bongo Movies07 Dec
MAMA KANUMBA: Skendo ya Kanumba iliyonitesa ni ya Ung'eng'e
Mama wa marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa ambaye kwasasa ameingia kwenye tasnia ya filamu hapa nchini amefunguka kuwa hakuna skendo ambayo ilimsononesha kama ile ya mwanaye huyo kuambiwa hajui Kiingereza .
Mama Kanumba alifunguka hayo juzikati katika mahojiano maalum na Mwandishi Wetu : “Eti Kanumba hajui Kiingereza , hili lilinishtua sana nikalipinga kwa nguvu zote sababu najua mwanangu hata shule alikuwa kichwa, ” alisema mama Kanumba .
Skendo ya kudaiwa kutozungumza Kiingereza...
10 years ago
Bongo Movies18 Feb
Mama Kanumba Awa Mbogo, Kisa Ofisi ya Kanumba…!
KUFUATIA kufungwa kwa ofisi ya aliyekuwa msanii nyota wa filamu marehemu Steven Kanumba ya Kanumba The Great, mama mzazi Flora Mtegoa amegeuka mbogo baada ya kuulizwa kuhusu hatima ya kikazi ya taasisi hiyo.
Watu wamezidi kunifuatilia mambo yangu, sitaki kabisa nimechoka, hii kampuni haimhusu mtu yeyote, hili ni jambo langu siyo lazima niliweke wazi, kama kampuni imekufa au itaendelea haiwahusu, wanaoamini imekufa waamini hivyo, maana hata Yesu walisema atarudi hadi leo mbona hajarudi?...
10 years ago
Bongo514 Jan
Mama Kanumba asikitishwa na wasanii pamoja na wadau wa filamu kususia uzinduzi wa kitabu cha Kanumba
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8KGb8vxx0Yk5nXCP3opYZUlFLA9uhGns2oOx7qGF9YZ4Ulsi6*O6kCXBz9962E6hvQRaQIbuwhnrBfZpeLPzZWc-MmaavlGA/babakanumba.jpg?width=650)
BABA KANUMBA: NITAMPELEKA MAMA KANUMBA SEGEREA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bdOTGlbNKtr1cdVx9tk-ZbNWOxYi05WgkjzV9wU-RTMz9vEPaeNenlkACwbpi2FPah6SXq4YWp5k3WyzAJm0g-u-XDb1wOou/MAMAKANUMBA.jpg?width=650)
MAMA LULU, MAMA KANUMBA WAENDA KULA KIAPO
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nkLEPVQ6s9cKVne0M9OiZ-5-XOtkPZUeDU-x3e5fQ5HZFCXI52MZmjiTOAjF6nrOkAbZvZnHNM0wGBzvePTa-s1-cpP0w8qI/FrolaMtegoa.jpg)
MAMA KANUMBA: MAMA LULU ANGENIPELEKA JELA