Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMA KANUMBA AMWAGA ‘SUMU’ ZA MWANAYE

Stori: MAYASA MARIWATA
MAMA wa aliyekuwa nguli wa filamu Bongo, marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa amesema kama kuna msanii anataka kufikia ‘levo’ za mwanaye basi asali sana. Mama wa aliyekuwa nguli wa filamu Bongo, marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa. Akifunguka mbele ya kinasa sauti cha Risasi Jumamosi, mama Kanumba alisema pengo la mwanaye katika sanaa linaonekana wazi hivyo ni vyema kwa anayetaka...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAMA KANUMBA AFICHUA MAZITO YA RAY, MWANAYE

Stori: Mwandishi Wetu
BAADA ya hivi karibuni siri kufichuka kwamba Kundi la Bongo Movie linateswa na laana ya marehemu Steven Kanumba, mama yake Flora Mtegoa ameibuka na kueleza mazito yakiwemo ya aliyekuwa rafiki wa mwanaye, Vincent Kigos ‘Ray’, Risasi Jumamosi linakupa mchapo. Mama yake marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa. Akizungumza kwa hisia kali Mama Kanumba alisema anaungana na katibu msaidizi wa klabu...

 

10 years ago

Bongo Movies

Mama Kanumba:Nitaendeleza ndoto za Kanumba kupitia "Kanumba Foundation"

Mama wa aliyekuwa nyota wa filamu nchini, marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa amesema kuwa kupitia Kampuni ya Kanumba The Great Film inakamilisha uanzishaji wa taasisi itakayoitwa, Kanumba Foundation.

Pia, alikanusha uvumi kuwa kampuni ya Kanumba imekufa, akifafanua jambo hilo alisema kampuni hiyo inaendelea na shughuli zake. Alisema kutakuwapo Kanumba Foundation ili kusaidia jamii wakiwamo wasanii katika masuala mbalimbali.

Akizungumza na gazeti la Mwananchi, Flora alisema uamuzi...

 

10 years ago

Mwananchi

Mbowe ‘amwaga sumu’ nyumbani kwa Sitta

>Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amefanya mkutano mkubwa Urambo Mashariki na kumshutumu Mbunge wa jimbo hilo, Samuel Sitta kwa kuchakachua maoni ya wananchi katika mchakato wa Katiba Mpya.

 

10 years ago

Bongo Movies

MAMA KANUMBA: Skendo ya Kanumba iliyonitesa ni ya Ung'eng'e

Mama wa marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa  ambaye kwasasa  ameingia kwenye tasnia ya filamu hapa nchini  amefunguka kuwa hakuna skendo ambayo ilimsononesha kama ile ya mwanaye huyo kuambiwa hajui Kiingereza .

Mama Kanumba alifunguka hayo juzikati katika mahojiano maalum na Mwandishi Wetu : “Eti Kanumba hajui Kiingereza , hili lilinishtua sana nikalipinga kwa nguvu zote sababu najua mwanangu hata shule alikuwa kichwa, ” alisema mama Kanumba .

Skendo ya kudaiwa kutozungumza Kiingereza...

 

10 years ago

Bongo Movies

Mama Kanumba Awa Mbogo, Kisa Ofisi ya Kanumba…!

KUFUATIA kufungwa kwa ofisi ya aliyekuwa msanii nyota wa filamu marehemu Steven Kanumba ya Kanumba The Great, mama mzazi Flora Mtegoa amegeuka mbogo baada ya kuulizwa kuhusu hatima ya kikazi ya taasisi hiyo.

Watu wamezidi kunifuatilia mambo yangu, sitaki kabisa nimechoka, hii kampuni haimhusu mtu yeyote, hili ni jambo langu siyo lazima niliweke wazi, kama kampuni imekufa au itaendelea haiwahusu, wanaoamini imekufa waamini hivyo, maana hata Yesu walisema atarudi hadi leo mbona hajarudi?”...

 

10 years ago

Bongo5

Mama Kanumba asikitishwa na wasanii pamoja na wadau wa filamu kususia uzinduzi wa kitabu cha Kanumba

Flora Mtegoa, Mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba amesikitishwa na wasanii wa filamu pamoja wa wadau wa filamu kushindwa kwenda kumuunga mkono katika shughuli ya uzinduzi wa kitabu cha Kanumba ‘The Great Fallen Tree’, uliofanyika ndani ya ukumbi wa Landmark Hotel, Dar-es-salaam January 10. Akizungumza kwa majonzi kwenye Take One Show ya Clouds Tv, Mama […]

 

11 years ago

GPL

BABA KANUMBA: NITAMPELEKA MAMA KANUMBA SEGEREA

Stori: Mayasa Mariwata BABA wa marehemu Steven Kanumba, Charles Kanumba anaonekana kuendelea kuwewesekea mali za mwanaye baada ya kuibuka na kudai kuwa, atampeleka Segerea (jela) mzazi mwenzake, Flora Mtegoa kwa madai kuwa amezifuja mali za marehemu. Mama Kanumba, Flora Mtegoa. Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni kwa njia ya simu, baba Kanumba alisema, ameona taarifa kwenye gazeti kuwa mali nyingi za marehemu Kanumba zimeuzwa...

 

11 years ago

GPL

MAMA LULU, MAMA KANUMBA WAENDA KULA KIAPO

Stori: Mwandishi Wetu
ULE udugu wa ukubwani kati ya wazazi wa mastaa wa filamu Bongo, Lucresia Karugila ‘Mama Lulu’ na  Flora Mtegoa ‘Mama Kanumba’ umezidi kukua kufuatia kwenda Bukoba, Kagera kwa ajili ya kula kiapo cha kuimarisha undugu huo. Kutoka kushoto: Flora Mtegoa, Lulu na Lucresia Karugila katika pozi. Wazazi hao wawili walijikuta katika undugu kufuatia Elizabeth Michael...

 

9 years ago

Bongo Movies

Mama Kanumba Adai Kutukanwa na Mama Lulu

MAMA wa aliyekuwa staa wa filamu Bongo, Steven Kanumba, Flora Mtegoa amedai kwamba mama wa msanii Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresa Kalugira amemtukana matusi mazito yaliyomsababishia presha na vidonda vya tumbo.

 

Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni, mama Kanumba alisema wiki mbili zilizopita mama Lulu alimpigia simu usiku wa manane na kuanza kumporomoshea matusi na kumtaka aache kumfuatilia na mwanaye.

“Kweli hayo matusi yameniumiza, mpaka sasa ninaumwa kwani presha inapanda kila...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani