Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mama Salma atunukiwa tuzo

MKE wa Rais, Mama Salma Kikwete amepewa cheti na Umoja wa Wake wa Mabalozi wa Afrika waishio katika nchi za Umoja wa Ulaya kwa kutambua na kuthamini mchango wake na kazi, anazozifanya za kusaidia wanawake, wasichana na watoto wa Tanzania.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MAMA SALMA KIKWETE ATUNUKIWA KWA JUHUDI ZAKE ZA KUPAMBANA NA SARATANI YA MATITI


Mama Salma Kikwete Jumamosi Tarehe 18. 2014 alitunukiwa tuzo ya juhudi zake anazozifanya za kupambana na Saratani ya Matiti. Tuzo hiyo ilitolewa na taasisi ya African Women's Cancer Awareness Assocition kwenye hafla ya Gala Dinner iliyofanyika kwenye hoteli ya Omni Shoreham Hotel iyopo Washington DC.
Balozi Liberata Mulamula Akikabidhiwa Tuzo hiyo kwa Niaba ya Mama Salma Kikwete na Rais Wa African Women's Cancer Association Ms. Ify Anne Nwabukwu, RN, BSNMuheshimiwa balozi akinyanyuwa Tuzo...

 

11 years ago

Mwananchi

Mama Salma Kikwete apewa tuzo na Amref

Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete ametunukiwa tuzo ya Balozi wa Kampeni ya Simama kwa ajili ya Mwanamke wa Afrika “Stand for African Mother campaign” kutokana na kujitoa kwake kuwahamasisha wake wa marais wa Afrika kusimama na kupigania haki za mama na mtoto.

 

10 years ago

Habarileo

DC atunukiwa tuzo ya uongozi

VIONGOZI wa madhehebu ya dini ya Kikristo na Kiislamu mkoani Mbeya wamemtunuku Tuzo ya uongozi bora Mkuu wa wilaya ya Mbeya, Dk Norman Sigalla.

 

10 years ago

Mwananchi

Mkapa atunukiwa tuzo ya mafanikio

Rais wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa ametunukiwa Tuzo ya Mafanikio Katika Utumishi wa Umma kutokana na mchango alioutoa kwenye uchumi wakati wa utawala wake.

 

11 years ago

Habarileo

JK atunukiwa tuzo nyingine ya kimataifa

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete kwa mara nyingine ametunukiwa Tuzo ya Kimataifa, kwa kuwa mshindi wa Tuzo ya Nyota wa Demokrasia Afrika 2014.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mtanzania atunukiwa tuzo ya ujasiriamali

Julius Shirima ni mshindi kutoka Tanzania wa tuzo ya vijana iitwayo Pan-Commonwealth Youth Award

 

11 years ago

BBCSwahili

Rais Kikwete atunukiwa tuzo ya uongozi

Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania ametunukiwa Tuzo ya Utumishi Bora wa Umma Barani Afrika

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATUNUKIWA TUZO NA TUCTA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea tuzo maalumu toka kwa Gratian Mukoba, Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) wakati wa kilele cha Mei Mosi Uwanja wa CCM Kirumbna jijini Mwanza leo mei 1, 2015. Picha na IKULU

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani